shambulio

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. U

    Niliambia upande mwingine, nilisema, una siku 60 za kufanya makubaliano. Siku ya 61, walishambulia. Leo ni 61 kweli, na lilikuwa shambulio la mafaniki

    Wadau hamjamboni nyote. "Niliambia upande mwingine, nilisema, una siku 60 za kufanya makubaliano. Siku ya 61, walishambulia. Leo ni 61 kweli, na lilikuwa shambulio la mafanikio," Trump aliambia WSJ. “I told the other side, I said, you have 60 days to make the deal. On the 61st...
  2. Mayu

    Shambulio la Iran; IDF wako vizuri sana kwenye intelijensia

    Tazama jinsi mmoja wa viongozi walio uwawa alivyopigwa akiwa chumbani kwake sijui amelala au anamgegeda wife Unajiuliza hawa jamaa walikusanya vipi hizi intel na kupiga shabaha zao zote kwa ufani mkubwa? Halafu kuna watu wanadai eti pale Gaza IDF inakazi ya kupiga wanawake na watoto Kama...
  3. Echolima1

    Wanajeshi wawili waangamizwa katika shambulio la anga la Israel

    Shambulizi la anga la Israel limewaangamiza Mahmoud Abu Nar, mwanachama mkuu wa Harakati ya Mujahidina aliyehusishwa na utekaji nyara wa familia ya Bibas. Na pia Wapalestina wanaripoti kuangamizwa kwa Mahmoud Abu Naar, mjumbe wa baraza la kijeshi la Mujahidina Brigedi na kamanda wa Gaza ya...
  4. Fbn

    Je, Katuni na Sinema Zilitabiri Shambulio la 9/11? Ukweli Kuhusu Ujumbe Uliofichwa Kabla ya Majengo Pacha Kuporomoka

    Kushambuliwa kwa Majengo Pacha ya Marekani (Twin Towers) — Tukio la Septemba 11, 2001 (9/11) Tukio la Septemba 11, 2001, ambalo pia hujulikana kama 9/11, ni mojawapo ya mashambulizi ya kigaidi yaliyotikisa dunia kwa kiwango kikubwa na kubadili kabisa historia ya usalama wa kimataifa. Tukio...
  5. Carlos The Jackal

    Kilichotokea Ofisi za CHADEMA Nyasa ni Shambulio la Kigaidi la silaha za Kikemikali lilolenga mauaji ya Halaiki

    CCM CCM CCM hata nyinyi hamtakua salama kama mtaendeleza siasa hizi. CCM CCM CCM narudia, msilazimishe njia mloichagua kua njia ya maisha ya kisiasa. CCM CCM CCM endapo vifo vitaanza kutokea kwa wanachadema wote waliolala mahali hapo, na vifo hivo vikawa ni leo au huko mbeleni, CCM...
  6. Webabu

    Shambulio la kielektroniki ndilo lililoinyamazisha India

    Makamo wa raisi wa Marekani JD Vance amesema walipata taarifa za kientelijensia za kutisha na ndipo juhudi kubwa zikafanyika kusitisha vita kwa kumpigia waziri mkuu wa India,Neranda Modi haraka ambapo ilichukua usiku mzima kuzungumza nae ili vita visimame. Waziri wa Ulinzi wa Pakistan amedokeza...
  7. Roving Journalist

    Polisi: Tunamshikilia Mtu mmoja kutokana na tukio la Padri Kitima kushambuliwa

    MMOJA ASHIKILIWA KWA KUHUSISHWA NA TUHUMA ZA KUJERUHIWA KWA PADRI KITIMA Tarehe 30 April 2025 majira ya saa nne usiku maeneo ya Baraza la Maaskofu Tanzania Kurasini Temeke Dar es salaam ilipokelewa taarifa ya kujeruhiwa kwa Padri Charles Kitima ambaye ni Katibu wa Baraza la Maaskofu Tanzania...
  8. Webabu

    Ndege ya pili ya kivita ya USS Truman yaangukia baharini

    Imefahamika kuwa ndege ya pili ya kivita ya Marekani katika wiki moja ilikuwa imedondoka ndani ya bahari nyekundu muda mfupi tu kabla ya raisi Trump kutangaza kusitisha vita. Msemaji wa jeshi la Marekani amesema ndege hiyo ilipata mkasa huo wakati ikijaribu kutua kwenye deki la meli ya USS...
  9. Doctor Mama Amon

    Maajabu: Jasusi alijipenyeza Makao Makuu ya Kanisa Katoliki Tanzania kwa Miezi Miwili akiwa anapanga Shambulio dhidi ya Padre Kitima

    BADO kuna maswali mengi kuhusu tukio la kuvamiwa, kupigwa na kujeruhiwa kwa Katibu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padre Dkt. Charles Kitima. Wakati majibu ya maswali hayo yakiendelea kutafutwa, Pambazuko lina taarifa za kina kuhusu jinsi sehemu ya njama za kumdhuru kiongozi huyo...
  10. Dalton elijah

    Netanyahu Ameapa Kuchukua Hatua Dhidi ya Houthis Baada ya Shambulio Kwenye Uwanja Mkuu wa Ndege wa Israeli

    Waziri mkuu wa Benjamin Netanyahu ameahidi Israel itawashambulia Wahouthi wa Yemen na baada ya kombora ambalo limerushwa na wanamgambo wa yeman kugonga eneo la uwanja mkuu wa ndege wa Israel. Kupitia chapisho lake kwenye mtandao wakijamii wa x zamani twiterr amenukuliwa akisema kuwa ameapa...
  11. Waufukweni

    Dkt. Mpango: Serikali inalaani shambulio dhidi ya Padri Kitima

    Makamu wa Rais, Dk Philip Mpango ameagiza kuundwa kwa timu maalumu kushughulikia mgogoro wa muda mrefu wa ardhi kati ya Jimbo Katoliki la Morogoro na Chuo cha Aderm, akitaka suala hilo litafutiwe ufumbuzi wa kudumu. Dk Mpango ametoa agizo hilo leo, Jumapili Mei 4, 2025, katika hafla ya...
  12. Just Pray

    TEC: Shambulio dhidi ya padre Kitima lilitaka kupora haki ya uhai, uhuru wa kusema na kutenda kadiri ya wito wake

    Makamu wa Rais Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania TEC Askofu Eusebius Nzigilwa akizungumzia tukio la kushambuliwa kwa katibu wa baraza hilo Padre Charles Kitima amesema Shambulio hilo lilitaka kupora haki ya uhai, uhuru wa haki yake ya kusema na kutenda kadiri ya wito wake aliojaaliwa na...
  13. Dalton elijah

    Askofu Mwamakula Afunguka: Shambulio la Fr. Kitima Tunataka Haki, Rais Atanyooshewa Kidole!

    Mwamakula Ametuma salamu za pole huku akilaani tukio hilo huku akieleza kuiwa tukio hilo haliwezi kuwarudisha nyuma katika kudai haki nchini tanzania ameeleza kuwa misimao hiyo intoka na kile ambacho inatokana na fr kitima kutoa tamko kuhusu hali ya demokrasia nchi na kuelezea kuwa tukio...
  14. M

    Kuhusu shambulio la Fr. Kitima

    1. Kanisa litafakari kwa kina na kuchukua hatua kali zaidi dhidi udhalimu. Hapa tatizo si kushambuliwa kwa Fr. Kitima na wengineo bali UDHALIMU ulioota na unaoendelea kuota mizizi kwa kasi zaidi kuliko wakati mwingine wowote ule. 2. Kanisa liwaunganishe Watanzania wote kupinga udhalimu katika...
  15. Mangole Valles Michael

    Hii kesi niiendesheje ili kunufaika na shambulio hili

    Wasaalam wakuu, usiku wa jumamos nilitoka kwenda kuchek gam ya Madrid na Barcelona huku nikiwa natumia Moja baridi Moja moto baada ya game nikawa narudi home wakati nipo njiani ni main load nilikutana na kundi la watu zaidi ya sita (Police jamii) mda huo skuwafaham walinisimamisha na kunihoji...
  16. Yoda

    Magaidi waua watu takribani 30 Kashmir, India katika shambulio la bunduki Modi akiwa Saudia Arabia

    Huko India katika eneo mojawapo la kitalii Pahalgam, Jammu katika jimbo la Kashmir limepigwa shambuli baya la magaidi na kuua watu zaidi ya 24. Narendra Modi aliyekuwa na ziara yake Saudi Arabia ameikatiza na kurudi India kushughulikia maafa.
  17. gallow bird

    Houthi wadai uss truman haifanyi kazi baada ya shambulio la mwanzo

    Mkuu wa houthi,jana,alitoa taarifa ya uss truman kutofanya kazi na kupoteza uongozi wake baada ya shambulio lao la awali dhidi ya meli vita hiyo,jambo lililopelekea marekani kutuma meli nyingine
  18. Smartkahn

    Shambulio katika jengo la idara fulani kugharimu maisha hasa watoto.

    Tukio litafanyika ila lengo la tukio halitatimia kwa asilimia 100, kwasababu huyo kigogo wa idara hiyo hakuwepo. Kitengo cha accommodation (kinachohudumu sehemu ya kupumzika wageni) kulaumiwa kwa uzembe, na ikumbukwe kua kabla ya tukio siku chache nyuma katika idara hii kulifanyika mabadiliko...
  19. ELI COHEN

    Trump ameshare video ya shambulio la mlipuko kutoka kwa jeshi lake dhidi Wahouthis waliokuwa katika mkusanyiko huko Yemen

  20. Financial Analyst

    Austria: Atekeleza tukio la mauaji huku akipiga kelele za "Allahu Akbar", alikuwa akitabasamu alipokamatwa na polisi

    Mi nataka tu kujua ni Mungu yupi huyo wa kweli anaewatuma watu kwenda kuua watu wengine kinyama. Unaweza kudhania huyu mtu ana tatizo la akili ila ni mhanga wa ITIKADA ZA KITAPELI
Back
Top Bottom