shamba

Sergei Shamba (Abkhazian: Сергеи Шамба, Georgian: სერგეი შამბა) is a senior politician from Abkhazia. He is currently a member of the People's Assembly of Abkhazia and Chairman of United Abkhazia. He was Prime Minister of Abkhazia under President Sergei Bagapsh from 13 February 2010 until 27 September 2011. Between 1997 and 2010 he had been Minister for Foreign Affairs under both Bagapsh and his predecessor Vladislav Ardzinba, with only a half-year interruption in 2004. Shamba has twice unsuccessfully participated in Presidential elections, in 2004 and 2011. He has been a staunch proponent for dialogue between Abkhazia and Georgia.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kijana wa kusimamia shamba la mifugo na kilimo yupo

    Habarini wanajukwaa.... Kwa yeyote mwenye shamba la kilimo na ufugaji na anahitaji matokeo bora katika mradi wake yupo kijana ana uzoefu wa kutosha kwenye kilimo na ufugaji hasa kuku na nguruwe, pia ni mtalaamu wa tiba za mifugo hiyo. Kiufupi kijana amenyooka katika ufugaji na kilimo na yupo...
  2. JamiiForums Tanzania Chadema ishakua shamba la bibi, kila mtu anachangisha

  3. JamiiForums Tanzania Tanzania si nchi ya kununua unga wa ugali nyie mliokuja kijijini msiondoke bila kulima eka 1 ya shamba la mahindi

    Nianze na kumpongeza Mh. Rais Dr Samia Suluhu Hassan 🇹🇿 kwa kuenzi falsafa ya Mwl Nyerere ya Siasa na kilimo. Toka aingie madarakani Mh. Rais ameendelea kugawa matani kwa matani ya mbolea za ruzuku kwetu sisi wakulima. Asante sana Rais WETU🙏 Mtanzania kununua unga wa ugali na hii ardhi nzuri...
  4. JamiiForums Tanzania Tanzania ni shamba la bibi ndio maana taasisi na mabenki ya kila aina yamejazana kwa sababu ya riba soma hapa

    Nilikuwa naambiwa na jamaa mmoja ni raia wa nje kuwa riba ya mikopo kwa ina asilimia ndogo ukilinganisha hapa. --- 🏦 1) Riba ya Mabenki Kuu (Central Bank / Policy Rates) – Sera za Riba Hizi ni viwango ambavyo benki kuu za nchi zinatumia kudhibiti uchumi. 🇪🇺 Uropa (Eurozone) European...
  5. JamiiForums Tanzania Shamba la Urithi

    Inaumiza kichwa sana kwani ukiwa nje huwezi kuona ya ndani (sio nje ya nchi) .. 15 ni namba iliyo leta miyegusho kwa Taifa .. lakini ilileta Nuru na mwanga kwa kizazi Mengi ambayo yalishikiliwa na wachache sasa yakawa yanapenyeshwa kwetu kwa namna ya utofauti mkubwa .... Katika picha ya...
  6. JamiiForums Tanzania Unamfahamu Mfugaji wa Kuku ambae anapata changamoto kusimamia Shamba lake la Kuku?

    🌞 Heri ya wiki mpya mfugaji! 🐔 Anza wiki hii kwa ubora zaidi ukitumia toleo jipya la Fuga App sasa ni rahisi zaidi kusimamia shamba lako, kufuatilia matumizi, uzito wa kuku na faida zako! 📲 Pakua sasa Fuga App kupitia Playstore: [Fuga - Apps on Google Play]
  7. JamiiForums Tanzania Geuza Shamba Lako la Kuku Kuwa Mashine ya Kipato cha Uhakika kwa kutumia Fuga App

    Fuga App inakusaidia kuacha kupoteza fedha, kufuga kuku wenye afya bora, na kugeuza ufugaji wako wa kuku kuwa biashara yenye kipato cha uhakika hata kama umewahi kupata changamoto hapo awali. Pakua Fuga App leo na chukua udhibiti wa shamba lako!
  8. JamiiForums Tanzania CCM Msitufanye Shamba la Bibi: JamiiForums Sio Mali Yenu, Ni Uhuru Wetu wa Kikatiba

    Hivi jamani, kila siku CCM mnadhani hii nchi ni mali yenu? Kila mtu akisema kitu against serikali, mara ohh kufungia, mara ohh kuzima.! Hivi mnaona Watanzania wote ni ma-idiot wa kufuata tu mnavyoamuru? Jamii Forums siyo mali ya mtu binafsi, ni jukwaa la wananchi. Ni platform ya maoni, freedom...
  9. JamiiForums Tanzania Kwenye Shamba la Wanyama kinachohitajika Sio Kumfukuza Binadamu, bali kuondoa Mentality kwamba baadhi ni Bora kuliko Wengine

    Bila kufanya hivyo tutakuwa tunabadilisha wanyonyaji na sisi wabadilishaji kuendelea kunyonywa..., hivyo basi kuliko kusubiri siku tukishawabadilisha labda tutaacha kunyonywa, tuanze kuwasihi wa leo wasitunyonye na wao waache kunyonya (wajifunze kula na vipofu). Kinachoendelea sasa katika...
  10. JamiiForums Tanzania Nimesikitika; Yule Shangazi aliyenihonga Shamba la heka 20 amefariki leo asubuhi.

    Hamjambo Wote! Leo nimepokea kwa Masikitiko makubwa Taarifa ya Msiba wa Aunt Dory, Moja ya Wamama ambao walikuwa wananikubali Sana enzi za uhai wake. Taarifa hiyo nilipoipata moja kwa moja ikanirudisha Mwaka 2015 nilipokuwa Udsm Mwaka wa Pili. Nikiwa na hekaheka, za ujana kukimbizana na kila...
  11. JamiiForums Tanzania GE2025 Tukishinda Urais kila kijana tutampa ekari 5 za shamba

    Wagombea wa nafasi ya Urais na Makamu wa Rais kupitia Chama cha Demokrasia Makini, leo wamewasili katika ofisi za Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi kuchukua fomu za kuwania nafasi hizo katika Uchaguzi Mkuu ambapo ametaja vipaomEKARI tano ikiwa ni pamoja na kuwapatia vijana mashamba ya umwagiliaji...
  12. W

    JamiiForums Tanzania Tukisherehekea Sikukuu ya Wakulima, hivi ukipewa shamba unaweza kulima heka ngapi?

    Nane Nane au Sikukuu ya Wakulima huadhimishwa Nchini Tanzania Agosti 8 kila Mwaka ikilenga kutambua Mchango wa Wakulima na Sekta ya Kilimo kwa Taifa. Sherehe za Nane Nane huratibiwa na Wizara ya Kilimo, Taasisi mbalimbali za Umma na Binafsi pamoja na Mtu mmoja mmoja kutoka katika shughuli za...
  13. JamiiForums Tanzania Wahamiaji haramu zaidi ya 98,000 wakamatwa kipindi cha Rais Samia

    Tanzania sio shamba la bibi wahamiaji haramu 98,000 wakamatwa kipindi cha Rais Samia. Chini ya amiri jeshi mkuu Dkt Samia Suluhu Hassan amewapandisha vyeo wakaguzi na askari 3,115, na askari wapya 2,251 wameajiriwa, Ili kuimarisha doria, misako na operesheni katika maeneo mbalimbali nchini...
  14. JamiiForums Tanzania Shamba linauzwa wilaya ya Handeni mkoa wa Tanga

    Shamba linapatikana Kijiji cha Kwa Msangazi, Wilaya ya Handeni Mkoa wa Tanga. Shamba lina rutuba ya kutosha halihitaji mbolea ya aina yoyote ile kwa kilimo cha mazao ya chakula na biashara, halikadhalika linafaa kwa shughuli za ufugaji. Shamba lina ukubwa wa Ekari 16 na kila Ekari moja inauzwa...
  15. JamiiForums Tanzania Shamba la mitik linauzwa lipo Tanga Korogwe kijiji mgambo

    Shamba lipo Tanga Korogwe ni hekari 6 jumla ya miti ya mitiki ni 2100 Shamba linauzwa pamoja na miti yake kwa milioni 150 dalali ukileta mteja 10% ya kwako Miti ina umri wa kuanzia miaka 9 mpaka 14 0615636384 0653172333
  16. JamiiForums Tanzania Shamba lenye miti ya mitiki linauzwa ekari 6 tanga Korogwe

    Shamba lipo Tanga Korogwe ni hekari 6 jumla ya miti ya mitiki ni 2100 Shamba linauzwa pamoja na miti yake kwa milioni 150 dalali ukileta mteja 10% ya kwako miti ina umri wa kuanzia miaka 9 mpaka 14
  17. JamiiForums Tanzania Kama wewe ni mfugaji wa kuku app hii itakusaidia kusimamia shamba kiurahisi mno

    Kabla hatujaanza kutengeneza Fuga, tulizungumza sana na wateja wetu, tukijitahidi kuelewa changamoto zao na kujibu maswali ya kila siku wanayokutana nayo katika shughuli zao za ufugaji wa kuku. Moja ya maswali yaliyoulizwa sana na ambalo tunafurahia kulitatua kupitia app yetu ni hili hapa : ⏳ Ni...
  18. JamiiForums Tanzania No Reforms No Election. Hii siku ya October nitakuwa zangu shamba tu nahangaikia ugali

    Juzi Alhamisi nilifika Muheza Tanga usiku. Nilipokuwa home umeme ulikatika kama mara mbili hivi huo usiku. Kesho yake ijumaa simu ikawa inakaribia kuisha chaji. Nikatoka kwenda kununua waya wa chaji mana sikuja nao nilipokuwa huko nilipotoka. Ile ijumaa Umeme ulikatika saa 5 asubuhi kama...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Natafuta shamba la kukodi morogoro kwaajiri ya kufuga

    Kwa aliye tayari kunikodishia anitafute tupange biashara
  20. L

    JamiiForums Tanzania Ntatafuta shamba Morogoro kwaajili ya ufugaji

    Nahitaji shamba kwaajili ya ufugaji
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…