shahidi

Shahidi (Persian: شهیدی‎) is a common surname in Iran, Afghanistan and Tajikistan. Like the given name Shahid, it is a Muslim theophoric name, from Aš-Šāhid (الشهيد), one of the 99 names of God in the Qur'an.
It is derived from šāhid شاهد, the Arabic word for "witness" or "martyr".

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Yaliyojiri katika kesi ya Freeman Mbowe na wenzake, kesi imeahirishwa mpaka 15, Nov 2021

    Salaam Wakuu, Leo tarehe 12/11/2021 anatarajiwa kusikilizwa shahidi mwingine katika muendelezo wa kesi Mwenyekiti wa CHEDEMA Freeman Mbowe. Kujua jana kesi ilipoishia, soma: Kesi ndogo ya Freeman Mbowe: Shahidi akamilisha ushahidi wake, Shahidi mwingine kuendelea tarehe 12/11/2021 Ungana...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Tupate uthibitisho wa tuhuma zinazomkabili ASP Jumanne shahidi Na. 8 wa Jamhuri kesi ya Mbowe

    Naomba kwa mwenye usahihi wa tuhuma zinazoelekezwa kwa shahidi Na. 8 atusaidie kuziweka hapa for future reference lakini pia kusaidia familia yake kujua kijana wao huko kazina anatumikia umma au anajitumikia. Hadi Sasa zipo tuhuma tatu nzito dhidi yake ambazo Ni: 1. Anatuhumiwa kumwekea...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Taarifa za shahidi wa 7 wa Jamhuri ndugu Mahita kuondokewa na mtoto siku Moja baada ya kumaliza Ushahidi wake zina ukweli?

    Zipo Taarifa kwamba Mahita Junior amefiwa na mtoto Arusha na watazika Morogoro kesho, je Taarifa hizi Zina ukweli? Nini chanzo? If so,poleni familia
  4. B

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Mbowe: Mashahidi wa Mashtaka wana nini Kipya?

    Kwa hakika tangu kesi nzito hii kwa jina imeanza, ushahidi wa kuendana nayo umeshindikana kutolewa. Bila shaka kwa upande wa mashtaka, ushahidi wa Luteni Urio ulikuwa ndiyo wa muhimu zaidi. Lakini kama ni hawa kina Mahita, Kaaya, Wauza mbege, Kingai au yule jamaa wa Tigo, labda ilikuwa muda...
  5. JamiiForums Tanzania Yaliyojiri kesi ya Mbowe leo Novemba 05, 2021: Inspector Mahita Mohamed atoa ushahidi

    Baada ya jana kuahirishwa, Kesi ya mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe inaendelea kuunguruma leo mahakamani. Jana Mrakibu Mwandamizi wa Jeshi la Polisi, Sebastian Madembwe alitoa ushahidi wake. Jaji aliahirisha mpaka leo. Kuwa nami. ======= Jaji ameingia Mahakamani Kesi namba 16 ya Mwaka 2021...
  6. JamiiForums Tanzania Kesi ya Mbowe Novemba 4, 2021: Mrakibu Mwandamizi wa Jeshi la Polisi, Sebastian Madembwe atoa ushahidi. Kesi yaahirishwa hadi Novemba 5, 2021

    Baada ya jana kuahirishwa, Kesi ya mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe inaendelea kuunguruma leo mahakamani. Jana kesi iliahirishwa kutokana shahidi kupata dharura ya kiafya na upande wa utetezi haukutoa kikwazo chochote kwenye sababu hiyo. Jaji aliahirisha mpaka leo. Kuwa nami. ==============...
  7. JamiiForums Tanzania Yaliyojiri kesi ya Mbowe leo Novemba 3, 2021: Shahidi Upande wa Mashitaka ashindwa kutokea Mahakamani, kesi yaahirishwa hadi Novemba 4, 2021

    Baada ya jana kuahirishwa, Kesi ya mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe inaendelea kuunguruma leo mahakamani. Jana kesi ilisikiliza shahidi ambae ni mwanasheria wa kampuni ya mawasiliano ya Tigo. Leo Jamhuri inaleta shahidi mwingine. Kuwa nami. ========= Jaji ameingia.. Kesi inatajwa...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Mbowe: Shahidi #5 ana nini kipya?

    Imebidi kujiridhisha mambo kadhaa kwanza: Amesikika shahidi #5 kwenye kesi hii akijitambulisha kama Fred Kapala (lawyer), japo TLS anasomeka kama Fred Kapara: Ikumbukwe Fred Kapara aliwahi ibuka pia kwenye case almaarufu ya kujiteka kwake bwana Abdul Nondo. Huko pia bwana huyu alikuwa...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Mbowe: Thamani ya ushahidi wa shahidi #4 ni ipi?

    Anita Valerian Mtaro shahidi #4 mkristo mwuuza pombe za kienyeji, alitimba mahakamani incognito ndani ya vazi la kiislam akiwa pia katupia barakoa lenye kumwachia macho ya kuweza kuona peke yake. Shahidi huyu wa upande wa mashtaka amesikika akisema alishuhudia zoezi zima la kukamatwa kwa...
  10. JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Kesi ya Mbowe na Wenzake Mahakama Kuu Divisheni ya Uhujumu Uchumi na rushwa. Shauri kuendelea kesho Nov, 2, 2021

    Kesi inayomkabili Freeman Mbowe na wenzake itaendelea leo katika Mahakama Kuu, Divisheni ya Uhujumu Uchumi na Rushwa, ambapo upande wa mashitaka utaleta shahidi mwingine. Fuatilia hapa kujua kitakachojiri katika mchakato mzima wa kesi hiyo kwa siku ya leo 11/01/2021 ========== Watuhumiwa wote...
  11. JamiiForums Tanzania Justine Eliya Kaaya anayetoa ushahidi kwenye kesi ya Mbowe ni nani?

    Taarifa zinaonyesha kwamba huyu mtu alikuwa mfanyakazi binafsi wa Sabaya, baadaye wakatofautiana kutokana na malipo, Yaani Sabaya alimdhulumu Kaaya malipo ya miezi mingi na ndipo Kaaya akaamua kuacha kazi za Sabaya. Jambo la kuacha kazi lilimuudhi mtukufu Sabaya ambaye alilichukulia kama kiburi...
  12. JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Kesi ya Mbowe: RPC Kingai aeleza Mbowe alivyopanga kumdhuru Ole Sabaya. Kesi yaahirishwa hadi 27 Oktoba 2021

    Tayari baadhi ya Wadau wa Maendeleo, akiwemo Mwakilishi wa Ubalozi wa Canada wamewasili Mahakamani. Hadi saa 3:30 asubuhi hii Watuhumiwa walikuwa bado hawajaletwa Mahakamani. ==== Hatimaye Mbowe na wenzake wameletwa Mahakamani Jaji Joachim Tiganga ameingia Mahakamani Wakili wa serikali...
  13. JamiiForums Tanzania Wakili Msomi Peter Kibatala alivyomkaanga mtoto wa IGP Mahita kwenye kesi ya Mbowe

    Wakili msomi Peter Kibatala V/S Mtoto wa IGP Mahita. KIBATALA: Inspekta Mahita nimekufuatilia wewe ndiye ulikuwa arresting Officer? MAHITA: Sahihi. KIBATALA: Kazi ya Kingai ilikuwa nini? MAHITA: Alikua Mkuu wa Msafara. KIBATALA: Mkuu wa msafara ni role gani kwenye arresting? MAHITA: Kimya...
  14. C

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri kesi ya Mbowe na Wenzake Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Uhujumu Uchumi - Sept 17, 2021

    Hali ya ndani ya mahakama kuu Divisheni ya makosa ya uhujumu uchumi na Rushwa ni shwari Leo tumepita getini bila bugudha na hakuna polisi wa nje zaidi ya hawa maalum wa mahakama Hakika Jambo la jana kupigania haki ya mahakama na kutaka isimame kama mhimili huru ni nzuri sana Jopo la mawakili...
  15. JamiiForums Tanzania Voice video: Tundu Lissu afunguka akiuchambua ushahidi wa shahidi No. 1 wa Jamhuri ACP Ramadhani Kingai

    NOTE: å Nadhani hii ndiyo imefanya jamhuri kuanzisha fujo leo mahakamani ili tu kuzuia usikilizwaji wa kesi inayomkabili m/kiti wa CHADEMA (taifa) ndugu Freeman Mbowe ushindwe kuendelea... å Ni jambo jema kuwa haya mambo yanafanyika mchana kweupe kila mtu akiona. Na uzuri ni kuwa hapa ni...
  16. JamiiForums Tanzania Kesi ya Mbowe na Wenzake: Polisi Wazuia watu kuingia kufuatilia, Mawakili wa Utetezi watoka nje. Kesi yarejea na kuahirishwa mpaka 17 Sept

    Freeman Mbowe na wenzake wameletwa tayari. Lakini ulinzi mkali umeimarishwa. Askari wengi. Pia kuna zuio la watu kuingia ndani ya mahakama. Wanasema ni mawakili 20 tu, wanahabari 10 (leo wameruhusiwa), ndugu 5, Viongozi 5, lakini simu marufuku. Askari magereza wanalalamika kwamba jana tumefanya...
  17. JamiiForums Tanzania Shahidi wa nane kesi ya Sabaya: Mume wangu hakupigwa wala kunyang'anywa simu

    Katika muendelezo wa kesi ya unyang'anyi wa kutumia silaha inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake wawili, Shahidi wa nane wa Jamhuri dhidi ya Sabaya ameieleza mahakama kuwa hakumshuhudia mumewe akipigwa kama alivyoeleza. Pia, ameeleza bayana kuwa simu zake...
  18. JamiiForums Tanzania Shahidi Kesi ya Sabaya aangua Kilio Mahakamani “Alitaka Kunipiga Bastola”

    Yaliojiri majaksmani leo Shahidi wa sita wa Jamhuri katika kesi ya unyan’ganyi wa kutumia silaha inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya, Bakari Msangi ameangua kilio mahakamani wakati akielezea mahakama alipokuwa akitishiwa bastola na Sabaya huku akiwa amefungwa pingu...
  19. JamiiForums Tanzania Shahidi: Sabaya alinifunga Pingu miguu na Mikono na nilipigwa nusu ya kifo

    Shahidi wa sita katika kesi ya Unyang'anyi wa Kutumia Silaha na uporaji inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai Mkaoni Kilimanjaro,Lengai Ole Sabaya(34) na wenzake wawili,Bakari Rahibu Msangi ameieleza Mahakama kuwa kipigo alichokipata ni sawa na nusu kifo kwani alipoteza fahamu kwa muda...
  20. JamiiForums Tanzania Kesi ya Sabaya: Shahidi aeleza Sabaya alikuwa na vijana zaidi ya 10 alipovamia duka

    Arusha. Shahidi wa tano wa Jamuhuri katika kesi ya unyang'anyi wa kutumia silaha inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya, Seleman Kassim Msuya (36) ameileza mahakama kuwa akiwa nje dukani kwake alimuona Sabaya akiongoza vijana wake kati ya 11 hadi 12 kuingia dukani kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…