shahidi

Shahidi (Persian: شهیدی‎) is a common surname in Iran, Afghanistan and Tajikistan. Like the given name Shahid, it is a Muslim theophoric name, from Aš-Šāhid (الشهيد), one of the 99 names of God in the Qur'an.
It is derived from šāhid شاهد, the Arabic word for "witness" or "martyr".

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Yaliyojiri kesi ya Mbowe 01/02/2022. Luteni Denis Urio amaliza kutoa ushahidi wake. Shahidi wa 13 kuanza 04/02/2022

    Habari Wakuu, Leo 01/ 02/ 2022 shahidi wa 12 Denis Urio amemaliza kutoa ushahidi wake kwenye kesi inayomkabili Mbowe na wenzake 3. Kujua Kesi ilipoishia fungua kiungo hiki: Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Ugaidi inayomkabili Mbowe na wenzake. Shahidi wa 12 Luteni Denis Urio kuendelea kutoa...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Upande wa utetezi waweke pingamizi la kupokelewa ushahidi wa Denis Urio hadi wajiridhishe majina yake, zipo taarifa mitandaoni zinadai huyu siyo Denis

    Kwa wale manofuatilia taarifa za usahihi wa utambulisho wa Denis Urio nadhani mmeona waliosoma sekondari ya Kingori wakikataa kutomfahamu shahidi huyu means awakusoma naye. Nimetafuta ilipo Kingori Secondary inasomeka ipo wilaya ya Arumeru siyo Hai. Nimetafuta wanafunzi waliomaliza form four...
  3. JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Ugaidi inayomkabili Mbowe na wenzake. Shahidi wa 12 Luteni Urio kuendelea kutoa ushahidi Januari 31, 2022

    Habari Wakuu, Leo tena shahidi wa 12 Denis Urio anaendelea kutoa ushahidi wake kwenye kesi inayomkabili Mbowe na wenzake 3. Kujua Kesi ilipoishia fungua kiungo hiki: Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Ugaidi ya Mbowe na wenzake: Kesi imeahirishwa hadi 28/01/2022, Luteni Denis Urio kuendelea na...
  4. JamiiForums Tanzania Yaliyojiri katika kesi ya Ugaidi inayomkabili Mbowe na Wenzake tarehe21/01/2021. Kesi imeahirishwa hadi 24/ 01/ 2022

    Salaam Wakuu, Leo tarehe 21/01/2022 kesi ya Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe inaendelea. Ungana nami katika uzi huu ili kujua kila kinachojiri Mahakamani. Kujua kesi ilipoishia soma: Yaliyojiri katika kesi ya Mbowe na Wenzake leo 20/01/2022. Shahidi 10 amaliza, shahidi wa 11 mwingine...
  5. JamiiForums Tanzania Shahidi Inspector Innocent Ndowa wa Jamhuri ndiye binadamu wa kwanza duniani kudukua mawasiliano Telegram

    Shahidi wa Jana wa jamuhuri kwenye kesi ya Mbowe, alisema aliweza ku-hack Telegram ya Mweshimiwa Mbowe na Kina Urio. Kupitia ku-hack Telegram aliweza kusoma meseji za Mbowe na kuona wanavyopanga ugaidi. Toka kuanzishwa kwa Telegram hakuna binadamu yeyote ashawahi hack- Telegram, serikali ya...
  6. JamiiForums Tanzania Gladys Fimbari shahidi kesi ya Mbowe amesahau umri wake?

    Nikiri tu kuwa namfahamu huyu shahidi vizuri, nimesoma nae shule ya msingi na nikafanya nae kazi sehemu. Akihojiwa jana kwenye cross examination na wakili Kibatala alidai ana miaka 36, Tulianza darasa la kwanza pamoja mwaka 1989. Kudai kuwa ana miaka 36 ina maana kazaliwa mwaka 1986/1985 je...
  7. JamiiForums Tanzania Kesi ya Ugaidi yazidi kufichua Mazito. Shahidi aulizwa kuhusu utekaji wa Ben Sanane, Magoti na shambulio la Lissu

    Haya yote yamesemwa jana na mawakili wa Utetezi wakati wa cross examination, ambapo walimhusisha SP JUMANNE na kutekwa kwa Erick Kabendera, Titto Magoti, Ben Saanane na kwamba alihusika na Shambulio la Lissu. Shahidi SP JUMANNE alihojiwa pia kuhusu Uhusiano wake na Paulo Makonda. MUHIMU: Kuna...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Mbowe: Kesho shahidi J4 Kizimbani na Kielelezo Chake Tata

    Kesho tutakuwapo kukipokea kile kielelezo kisichojulikana kilivyomfikia Jumanne mahakamani tokea alipomwachia Inspector Swilla. Pamoja na kuwa kina kurasa 2 na ni ukurasa wa kwanza pekee ulio na sahihi, mchumi wa maneno aliyedhamiria anaweza kutatizika vipi hata kwenye hali tata kama hizo...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Shahidi wa michongo Afande Jumanne kuja na jipya lipi leo?

    Tunaona kila kitu kinavyoenda na kwa kweli sio mbaya kabisa kwani Mbowe akifungwa itakuwa ni chachu Zaidi ya mapambano kwani very soon we will see the right light! Leo Shahidi wa michongo Afande Jumanne anakuja kuendelea kutoa ushahidi wake wakati hata yeye anajua fika kuwa yeye ni Shahidi wa...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Mbowe: Commando Mhina, Shahidi Mwaminifu na Rafiki wa Kweli

    Komando Mhina popote pale alipo na apokee salamu za kheri kutoka kwetu tunaoyaishi machungu yao. Akiwa mtu huru, Commando Mhina alifika mahakamani kufanya sehemu yake ya kuuanika ukweli. "Kwani nani anapenda kufika kwa ridhaa yake polisi au katika mahakama zinazosifika kwa dhuluma?" "Kwa...
  11. JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Mahakama Kuu divisheni ya Makosa ya Uhujumu Uchumi na Rushwa, kesi ya Mbowe na wenzake - 30 Nov 2021

    Kesi inayomkabili Mbowe na wenzake 3 inaendelea mahakamani leo Novemba 30, 2021 ======= Wakili wa Serikali: Mheshimiwa Jaji Shauri limekuja kwa ajili ya Kusikilizwa, Naomba tupatiwe Nyaraka ilikuweza Kuzikagua. Wamekabidhiwa Nyaraka na Kuanza Kukagua Moja baada ya Nyingine. Wakili wa...
  12. C

    JamiiForums Tanzania Saed Kubenea amburuza Paul Makonda Mahakamani, kupanda kizimbani Desemba 3, 2021 kwa makosa ya jinai

    HABARI Aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amefunguliwa kesi ya jinai Mahakamani akituhumiwa kwa mambo mbalimbali ikiwemo matumizi mabaya ya madaraka ikiwemo suala la kuvamia kituo cha televisheni cha Clouds Media, Machi 17 mwaka 2017 Kesi dhidi ya Makonda imewasilishwa...
  13. JamiiForums Tanzania Kesi ya Sabaya: Ushahidi wa Video za CCTV waonesha shahidi akitoa fedha benki alizomkabidhi Ole Sabaya

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha imelazimika kuahirisha kuendelea kusikiliza kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake sita baada ya shahidi wa 10, Francis Mrosso kudai kuwa anajisikia vibaya. Leo Novemba 24, 2021 shahidi huyo wa Jamhuri...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Jaji Tiganga kwamba huenda Shahidi Ling'wenya alikuwa anapewa majibu ya maswali aliyoulizwa yawaibua Wadau

    Leo Jaji kaongea hayo maneno! Je wanasheria kwa uelewa wenu hayo maneno yanaweza kuja kutumika kukatiwa rufaa au kwa sasa hivi kumkataa Jaji?
  15. JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Mahakamani kesi ya Mbowe na wenzake: Upande wa Utetezi waanza kutoa ushahidi. Kesi yaahirishwa mpaka 26 Novemba, 2021

    Kesi ya ugaidi ( kesi ndogo katika kesi kubwa) inayoendeshwa divisheni ya Uhujumu Uchumi na rushwa inaendelea leo ambapo upande wa Jamhuri utaleta shahidi mwingine. Leo upande wa Mashtaka walisema wanafunga ushahidi hawataendelea na shahidi mwingine. Hivyo upande wa Utetezi walianza kujijejea...
  16. JamiiForums Tanzania Anayepaswa kupeleka shahidi Mahakamani ni nani?

    Anaepaswa kumtaarifu mtu kuwa anatakiwa kwenda kutoa hasa kwa upande wa mashitaka hususan Jamuhuri?? Je ni Dpp? Je ni DCI ? Au ni Polisi??
  17. JamiiForums Tanzania Shahidi kesi ya Sabaya aieleza mahakama alivyotoa Sh90 milioni

    Mfanyabiashara Francis Mrosso (44) anayedaiwa kuombwa rushwa ya Sh 90 milioni na aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake sita, ameanza kutoa ushahidi wake katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha, akidai kuwa alitishiwa asipotoa fedha hizo atafunguliwa kesi ya uhujumu uchumi...
  18. JamiiForums Tanzania Wakili Kibatala: Mheshimiwa Jaji ukiisoma hukumu hii UGANDA Vs OKUMU REGAN AND OTHERS pingamizi letu juu ya diary ya shahidi utaliona ni sahihi

    Kibatala: Mheshimiwa Jaji niende kwenye hii Kesi ya Wenzetu ya UGANDA Vs OKUMU REGAN AND OTHERS Kama Kuna Kesi itakuisaidia basi kesi hii.. Na Kupeleka Ukurasa wa Tano, Sisi tumesema Kwamba Shahidi Ni INCOMPETENT. Kibatala: Kama unaona Kuna ugumu wa kufanya uamuzi kwenye kesi hii naomba itumie...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Mbowe: Usalama wa Diary ya Msemwa unahakikiwa vipi?

    Shahidi Msemwa kwenye shauri ndani ya shauri la kesi hii, alikutikana na vitu vya chabo asivyopaswa kuwa navyo kizimbani. Kwanini utetezi hawakwenda mbele zaidi kuhitaji kumkagua thoroughly kujiridhisha na kuvipata vyote? Kwanini simu alirejeshewa bila kuwa imefanyiwa dodoso lolote? Kwanini...
  20. JamiiForums Tanzania Yaliyojiri katika kesi ya Freeman Mbowe na wenzake, kesi imeahirishwa mpaka 15, Nov 2021

    Salaam Wakuu, Leo tarehe 12/11/2021 anatarajiwa kusikilizwa shahidi mwingine katika muendelezo wa kesi Mwenyekiti wa CHEDEMA Freeman Mbowe. Kujua jana kesi ilipoishia, soma: Kesi ndogo ya Freeman Mbowe: Shahidi akamilisha ushahidi wake, Shahidi mwingine kuendelea tarehe 12/11/2021 Ungana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…