sgr

The SGR-A1 is a type of sentry gun that was jointly developed by Samsung Techwin (now Hanwha Aerospace) and Korea University to assist South Korean troops in the Korean Demilitarized Zone. It is widely considered as the first unit of its kind to have an integrated system that includes surveillance, tracking, firing, and voice recognition. While units of the SGR-A1 have been reportedly deployed, their number is unknown due to the project being "highly classified".

View More On Wikipedia.org
  1. Pelekeni SGR as a seperate company DSE kabla haijaanza kuleta hasara , tupo tayari kuwekeza.

    Serikali imetangaza SGR imekusanya bil 15 kwa miezi hii michache japo haijasema matumizi ni kiasi gani bado kuna dalili njema kwamba mambo ni mazuri. Serikali iuze share kwa watanzania , ili kukuza mtaji na kuboresha utendaji. Serikali ibakie na 49 % na itakua na uhakika wa kupata gawio kubwa...
  2. Kumbe Kenya wana SGR Train kali kuliko Tanzania

    Ebwana eeh leo ndio nimeshituka kuona Kenya wana SGR kali kuliko Bongo. Katika pitapita zangu mjini Instagram nikakutana na post ya mdada mmoja mkenya anaelezea maisha ya utalii, gafla nikaona anaingia kwenye SGR train, kuona rangi ya behewa nikajua ni zile SGR zetu lakini wahudumu kidogo rangi...
  3. SGR kwanini sikurejeshewa Pesa yangu?

    Kuna siku nilikuwa natakiwa kusafiri kuelekea Dar es Salaam kutokea Morogoro. Wakati nakata tiketi ya SGR mtandaoni nikiwa Morogoro, badala ya kuandika Morogoro kama kituo cha kuondokea, nikaandika Dar es Salaam. Hivyo, tiketi ikawa inasomeka kutoka Dar kwenda Morogoro ingawa nilitakiwa kusafiri...
  4. Sgr Dar to Moro

    Wakuu nataka kwenda moro kwa Sgr, je utaratibu ukoje,ticket naweza kwenda katia palepale asubui au
  5. W

    KERO TRC boresheni miundombinu katika Vyoo vya Kituo cha SGR - Dar

    Moja kati ya vitu ambavyo nilikuwa najiuliza ni kama Watanzania tunaweza kutunza Miundombinu yetu ya Reli ya SGR, bila unafiki ukiitazama imekaa poa kwa asilimia kubwa. Lakini jioni ya leo Oktoba 18, 2024 wakati najiandaa kusafiri na usafiri huo nilipoingia kwenye Choo cha Kituo cha SGR Dar...
  6. Treni ya SGR angalieni upya gharama za parking za magari

    Kwanza niwapongeze kwa huduma zetu nzuri za usafiri wa treni, hata hivyo kuna hii changamoto naileta kwenu; Kuna baadhi ya vituo vipo nje kabisa ya Mji, mfano; MOROGORO, Pugu nk na hakuna usafiri wa kueleweka zaidi ya bajaji; sasa mtu anakwenda na usafiri wake asubuhi ili jioni akirudi apate...
  7. N

    Usafiri wa treni ya SGR sio usafiri wa uhakika

    Tokea wiki iliyopita naangalia tiketi ya safari kwenda morogoro siku ya Alhamis sioni safari! Wanaweka safari ya siku moja moja. Unaweza ukasema usubirie waiweke safari ya siku unayotaka na wasiiweke, siku hiyo kukawa hakuna safari kwahiyo inakua kama umepoteza muda kusubiria. Huu usafiri si...
  8. DOKEZO Responded Hujuma Kubwa SGR: Inagoma kukata tiketi

    Rais Samia, kuwa makini na watumishi wa SGR, mfumo unagoma kukata ticket. Process ya kukata ticket, inaenda mpaka unafikia hatua ya kuchagua seat, ukishachagua seat unapotaka kuelekea mbele kwa ajili ya malipo, mfumo unazunguka tu. Ukisema uanze upya unakuta ile seat uliyokuwa umeichagua...
  9. TRA kusanyeni kodi toka kwa wafanyabiashara wa ndani ya treni ya SGR

    Kunawafanyabiashara ambao wanauza vyakula na vinywaji ndani ya treni ya SGR ambao hawatoi risiti ya EFD kama sheria inavyotaka. Wafanyabiashara hawa hawalipi Withholding Tax kwa kukosa kodi ya pango, pia hawana Hati ya Mlipakodi TRA(TIN) kama ambavyo wenzao wa mitaani walivyonavyo ambavyo...
  10. Naibu Waziri Kihenzile: Sekta Binafsi Kuingia Kwenye Usafirishaji wa Reli (MGR & SGR)

    Naibu Waziri wa Uchukuzi David Kihenzile akimwakilisha Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt. Doto Biteko leo Oktoba 01, 2024 amezindua usafirishaji wa bidhaa mbichi zikiwemo mbogamboga na matunda kwa treni, kupitia Shirika la Reli Tanzania (TRC) kutoka Morogoro kwenda Dar es Salaam...
  11. Mkurugenzi mkuu wa TRC, Masanja Kadogosa amegoma kuja JF atufafanulie uhalali wa makatazo wanayofanyiwa wasafiri wa SGR

    Wasafiri wanaotumia treni ya SGR ya TRC wamekumbana na makatazo ya vitu ambavyo ni haki yao kutembea navyo, mfano maji ya kunywa na mfuko unaohalalishwa na Serikali! Tumejitahidi kumuita aje atupe ufafanuzi wa madhara ambayo TRC imeyaona ikiruhusu abiria waingie navyo kwenye treni yao tofauti na...
  12. A

    Magufuli angekuwepo, awamu mpya ya SGR ingekua Dodoma - Arusha na Moshi

    Naanza kwa kuipongeza Serikali kwa kazi nzuri ya Ujenzi wa Reli ya Mwendo kasi inayo endelea, hakuna shaka yeyote kwasasa watanzania wamesha anza kuonja matunda ya reli hiyo wakitokea Dar - Dom na Dom - Dar, ikijumuisha maeneo yote yaliyo kati ya Dom Dar nao wananufaika Kwa namna inavyoonekana...
  13. A

    DOKEZO Treni ya SGR Dar-Moro inasafiri na nafasi wazi zaidi ya nusu wakati awali tiketi zilikuwa zinaisha siku 1 kabla; Tatizo ni nini? Ushahidi huu hapa

    Habari wanabodi Hapo awali treni ya SGR Morogoro - Dar inayochukua abiria takribani 900 ilikuwa inajaa siku 1 au 2 kabla ya safari. Ukiingia mtandaoni hupati tiketi. Utafiti wangu nilioufanya kwa siku kadhaa kupitia mfumo wa mauzo ya tiketi na kuuhitimisha tarehe 25 Sept 2024, dakika 25 kabla...
  14. Nilikamatwa Morogoro stesheni ya SGR nikituhumiwa kusafirisha chupa ya mil.500 ya maji ya kunywa!

    Ijumaa tarehe 20 saa 1:15 asubuhi haikuwa siku njema kwangu, nilifika stesheni ya SGR nikiwa na furaha ya kuanza safari ya kuelekea Dar es Salaam, baada ya kukaguliwa tikiti yangu nikaambiwa niweke begi kwenye mtambo wa ukaguzi kisha nikaenda upande wa pili wa mtambo kulipokea begi. Nilipofika...
  15. M

    Lini kipande cha SGR Dodoma Mwanza kitakamilika? Umuhimu wa usafiri wa treni kwa uchumi wa taifa la Tanganyika umeonekana

    Leo hii tumetambua umuhimu wa treni kwa uchumi wa taifa letu. Mabasi ni kero kubwa sana. Na yanachelewesha sana. Sasa lini? Dodoma Mwanza kitakamilika? Soma Pia: Samia Great Railway (SGR): Kichocheo Kipya cha Maendeleo Tanzania
  16. SGR Tanzania

  17. SGR ipate mapumziko ya siku 3 kwa wiki katika kipindi hiki cha mwanzo

    Huenda SGR inafanyishwa kazi kupitiliza uwezo wake kwa sasa ndio maana inapata majanga ya kukwama mara kwa mara, sasa TRC wajaribu kuipa mapumziko ya siku 3 kwa wiki. Yani ifanye kazi Jumamosi na Jumapili, ipumzishwe Jumatatu, ifanye kazi Jumanne, ipumzike Jumatano, ifanye kazi Alhamisi...
  18. Treni ya SGR Dodoma kwenda Dar imekwama kituoni Mkata SGR station toka saa 1 jioni

    Kama kichwa cha habari kinavyosema, tunasubili mrejesho tuendelee na safari. Ni saa la pili sasa inasemekana Kuna marekebisho mbele huko. ===== UPDATES: 2200HRS ====== TRC: Hii Treni haijakwama bali ilikua ikisubiria kupishana na treni nyingine. Abiria walitangaziwa. UPDATES 2...
  19. A

    KERO SGR stesheni ya Dar es Salaam haina seats za kutosha eneo la kusubiria. Wakata tiketi pia hawatoshi

    Waiting haina seats za kutosha abiria wanalazimika kusimama for 2 hours, tickets printing area kuna uhaba wa wafanyakazi. Tunaomba waongeze viti sehemu ya abiri kwa sababu kusumama for 2 hours siyo sahihi.
  20. C

    Ushauri: Ili kuwahi kufika Mwanza ktokea Dar es Salaam panda SGR (Dar-Dom) malizia na basi

    Safari ya Dar-Mwanza inachosha ili kupunguza muda wa safari kamata SGR mpaka Dom (kuwasili saa 4 asubuhi) kisha kwea Basi mpaka Mwanza. Asanteni
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…