Kwa ujumla inajulikana Watanzania wengi sio waaminifu unapowaajiri kazi. Tena wana ukosefu wa uaminifu wa kijinga sana.
Unakuta umeajiri watu ambao walisota muda mrefu bila kazi, huenda hata wengine ni ndugu zako. Kisha wanatumia hiyo ajira kuiba hadi wanaifilisi biashara au kampuni...
Kuna Binti amemaliza form four 2025 lakini matokeo yake ni division four Sasa anataka kujiunga na VETA lakini hajui ni kozi gani yakwenda kusoma
Ndg wadau naomba msaada wamawazo
Kama una bachelor degree na bado huja upload vyeti vyako ajira portal
Basi tafuta chuo cha kati weka cheti chako cha NTA level 5
Hakika utaitwa sana interview ila kama utaweka bachelor degree basi utalia na kusaga meno
Serikali haina Hela ko inaajili watu wanaolipwa kidogo ahsante
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba amesifu utendaji kazi wa Mbunge wa Lushoto ambaye ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu -TAMISEMI, Prof. Riziki Shemdoe kwa namna anavyotumia uzoefu wake wa utendaji kazi Serikalini katika kuwahudumia na kuwaletea maendeleo...
Ndugu zangu Watanzania,
Kwa hakika vijana wa Taifa hili wana kila sababu ya kumshukuru Rais Samia ,wana kila sababu ya kuendelea Kumuunga mkono ,wana kila sababu ya kumuombea Maisha marefu ,wana kila sababu ya kusema asante Mama kwa moyo wako wa upendo na huruma kwa vijana .
Mama na Rais wetu...
Tunapozungumzia utendaji Serikalini, msisitizo ni uadilifu na uwajibikaji wa Serikali kwa wananchi waliotuchagua ili kuhakikisha wananchi wananufaika na rasilimali za nchi pamoja na kupata huduma wanazostahili - Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba
📍Dodoma-Tanzania
🗓️Januari 27, 2026...
Hakuna watu ninawaonea huruma kama wateule wa rais hasa mawaziri.
Anayeteua amechanganyikiwa sawa na wale anaowateua.
Simbachawene aliongea anayopaswa akaishia kutemwa.
Kwa utawala huu, hata ukijikomba hauko salama.
Usipojikomba hauko salama. Uktenda haki hauko salama.
Ukisifia, hauko...
Kama nchi tukiendelea nao hawa majangiri CCM msije shangaa shilole kuwa waziri wa kilimo.
Ina maana weledi wa waliosomea uwongozi kuwapa waweze kuongoza umekufa kabisa.
Sasa wasanii na chawa ndio vipaumbele vya kuongoza nchi.
Haya ndio matatizo ambayo Katiba iliyofanya yaani Rais kama kamaliza muda wake kutojihusisha na serikali.
Leo hii tumejionea kwa Jakaya Kikwete yaani unaweza kusema bado yupo Serikalini na anafanya kazi kama Rais.
Upande wa chama chao unaona kabisa kama ni mwenyekiti wa maamuzi...
Waswahili waliposema ukivuliwa nguo chutama hawakuwa wamekosea kabisa.
Muda mchache ujao Msemaji wa Serikali anaenda kuongea na Waandishi. tena baada ya CNN kutoa habari ya kutisha kuhusu mauaji yaliyofanywa na vyombo vya ulinzi na usalama wakati na baada ya Uchaguzi wa mwaka huu.
Tuhuma...
Mnyetishaji wangu mmoja ameniambia hili.
Kuna mijadala mikali inaendelea Serikalini. Kuna watu wanataka kwenda kufukua sehemu fulani ya kubumba ili kuendeza propaganda kuwa taarifa ya CNN haiko sawa.
Hofu kuu iliyopo ni kuwa hata wakitafuta eneo kusema wafukue bado Wananchi watauliza ndugu...
Huyu Binti alijivika uchawa kiasi cha kuivuka level ya uchawa na kusimikwa rasmi kama kalikonji wa samia, alikua mstari wa mbele kumpigia debe samia,
Nakuwapa vitisho waaandamanaji. Nataka kujua kama samia kamkumbuka katika serikali yake batili ya mpito
Mjadala wowote unaohusu kupambanisha dini kwenye masuala mapana ya kitaifa haupaswi kuungwa mkono kwa namna yoyote ile.
Nimejiuliza sana hivi hizi Taasisi kukanusha Habari zenye Ukweli kuwa ni Uongo ni kwa faida au kumlinda nani..?
Tuwe makini kuna ajenda ya udini inasikumwa ku divide and Rule.
Mjadala wowote unaohusu kupambanisha dini kwenye masuala mapana ya kitaifa haupaswi kuungwa mkono kwa namna yoyote ile.
Nimejiuliza sana hivi hizi Taasisi kukanusha Habari zenye Ukweli kuwa ni Uongo ni kwa faida au kumlinda nani..?
Tuwe makini kuna ajenda ya udini inasikumwa ku divide and Rule.
Ukifanya upembuzi yakinifu utagundua viongozi wengi serikalini sio kwamba hawaoni yanayotendeka.
Shida inakuja ni kuwa wenye uwezo wa kusema hapana ni wananchi wenyewe. Hivyo viongozi wengi wanasubiri kuona nguvu ya umma ikifanya maamuzi.
Fuatilia kwa umakini tu huko maofisini utagundua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.