serikali

  1. D

    JamiiForums Tanzania Salam ya Mh.Raisi Samia kufunga mwaka 2024 haina chembe ya uwajibikaji wa serikali katika kupunguza ajali barabarani

    Matatizo ya ajali barabarani tunaweza kuyaondoa haraka endapo mamlaka za serikali zitachukua hatua leo. kama hatutabadili namna ya kufikiri itatuchukua miaka mingi sana kupunguza matatizo ya ajali Tanzania. Takwimu alizotoa rais wakati akifunga mwaka 2024 zinaonesha ajali zilizotokea ni 1735 na...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Nyerere alikemea rushwa ndani ya CCM na serikali na aliwakemea viongozi walipobioronga hadharani. Lini aliwahi kuitwa mropokaji?

    Kama kuna kiongozi aliekuwa anawakemea watawala wanapoboronga tens hadharani, basi Nyerere alikuwa kiboko. Kama kuna kiongozi aliekuwa anakemea rushwa ndani ya chama chake(CCM) tena hadharani, basi Nyerere alikuwa hana mfano Nyerere alikemea wala rushwa, wauza mashirika ya umma, wanauza nchi...
  3. B

    JamiiForums Tanzania ASKOFU BAGONZA - TUSIITAKE SERIKALI KUINGILIA UHURU WA KUABUDU, LABDA PAWEPO JINAI

    WARSHA KUHUSU MAFUNDISHO POTOSHI Katika kongamano lililowaleta viongozi kadhaa wa dini mbalimbali Tanzania, baba Askofu Bagonza alichangia mada Bagonza ataja hatari SITA kuhusu Mafundisho potoshi. Wewe zako ni zipi? https://m.youtube.com/watch?v=ZGhFhp6v6WE Baba Askofu Bagonza amesema kuna...
  4. JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa kijiji na serikali yake wahitajika kituo cha polisi kwa kosa la kuwahoji wafugaji walioingia kijijini bila utaratibu wa kisheria

    NAMTUMBO -RUVUMA Nawasalimu kwa jina la jamhuri ya muungano wa Tanzania. Mimi ni mkazi wa mjini Songea ila mzaliwa wa wilaya ya Namtumbo katika kijiji cha Songambele. Kutoka na maisha ya mjini na changamoto zake nikaamua kuja kijijini kwa ajili ya kilimo cha mahindi ili mambo yaende sawa...
  5. JamiiForums Tanzania MAONI: Serikali iboreshe mfumo wa ukataji tiketi SGR

    Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Najikita moja kwa moja kwenye mada husika. Naiomba serikali iboreshe mfumo wa ukataji tiketi kwenye tren yetu ya mwendokasi SGR. Nalisema hili kwa sababu nimeshuhudia zaidi ya mara moja mfumo unaonesha tiketi zimeisha (nafasi zimejaa)...
  6. JamiiForums Tanzania Huduma ya Unlimited Internet kwa shule na vituo vya afya vya Serikali

    TANGAZO TANGAZO HlHabari njema kwa vituo vya afya au shule za serikali Kuna huduma ya internet kutoka Vodacom, unachagua package mnawezeshewa. Huduma hii kuwezeshewa ni bure kabisa. Vigezo ✅Tin namba ya shule/kituo cha afya cha serikali ✅Kitambulisho cha muwakilishi anaefuatilia ✅ Barua ya...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Mfahamu Dk. Zakir Naik: Muhibiri aliyealikwa TZ kufanya mihadhara ya Jesus vs Muhammad anatafutwa kwa kuchochea ugaidi nchini kwake

    Dk. Zakir Naik ni mhubiri ambaye amealikwa kuja kufanya mijada ya kidini Tanzania, anatarajiwa kufanya mihadhara mitatu Mihadhara hiyo itakuwa inajadili kuhusu Mtume Muhammad na Yesu Mihadhara yake itarushwa live na Azam TV na ZBC2 Mhadhiri huyu ana asili ya India na anamiliki channel...
  8. JamiiForums Tanzania Nashauri serikali ianzishe route za daladala zinazo zunguka duara bila kurudi nyuma pia daladala zipewe namba maalumu ili zitambuliwe na abiria

    Kuboresha Mfumo wa Usafiri wa Umma: Pendekezo la Njia za Duara na Namba za Daladala Usafiri wa umma ni moja ya huduma muhimu kwa wakazi wa miji mikubwa kama Dar es Salaam, ambapo watu wengi wanategemea daladala kama njia ya usafiri wa kila siku. Hata hivyo, kuna changamoto nyingi zinazohusiana...
  9. JamiiForums Tanzania Ombi langu Kwa serikali kuzuia majaribio yanayofanywa kwenye mwezi na jua

    Wadau nimekuwa nikifikiria sana kuhusu majaribio yanayofanywa kwenye jua na mwezi. Hivi karibuni ndugu zetu India japo Wana matabaka makubwa sana ya matajiri na maskini lakini wameweza kufika kwenye mwezi Tena kwenye darkside of the moon ambako hakuna inchi umewahi fika. Media hasa za uingereza...
  10. JamiiForums Tanzania Lipumba: Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 Ulitarajiwa Kuponya Majeraha ya Kidemokrasia, Lakini Umezidisha Maumivu

    "Uchaguzi Serikali Mitaa 2024 ulitarajiwa kuponya majeraha ya Kidemokrasia yaliyotokana na Uchaguzi wa 2019 na 2020 lakini umezidisha maumivu na kuwakatisha tamaa wananchi na wadau wote wa demokrasia juu ya uwezekano wa kutopata Uchaguzi huru na wa haki hapa nchini, Matokeo ya Uchaguzi...
  11. JamiiForums Tanzania Serikali yapanda miti mingine zaidi ya 1500 eneo la Milala (Mpanda - Katavi) baada ile ya awali kunyauka

    Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kuripoti juu ya kutelekezwa kwa Mradi wa upandaji miti eneo la Bwawa la Milala, Manispaa ya Mpanda unapojengwa mradi mkubwa wa maji wa Miji 28, Serikali imechukua hatua ya kupanda miti mtingine. Awali, Mwanachama huyo alisema kulikuwa na Kampeni ya...
  12. JamiiForums Tanzania Serikali imejipangaje kidiplomasia kumruhusu mhubiri dini mtata anayesakwa na India kutua nchini?

    Nimeona tangazo la Dr. Zakir Naik anayetafutwa kufikishwa mahakamani na mamlaka za nchi yake ya India tangu mwaka 2016 kwa makosa ya ugaidi, utakatishaji fedha na kauli za chuki kuwa nchini wiki ijayo kwa shughuli za kidini. Hili jambo tumepima kama halitatuleta shida zinazoepukika na utata...
  13. JamiiForums Tanzania Mbeya: Serikali imeshindwa kutengeneza barabara, sasa wanatumia wazee kufanya kazi kutengeneza barabara ndipo wawape pesa za TASAF

    Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) Ulianzishwa kwa lengo la kunusuru kaya masikini na kusaidia wananchi wasiojiweza wakiwemo wazee. Baada ya kufikiwa na mpango huo kwa baadhi ya wananchi waliopo kijiji cha Shibolya kilichopo wilaya na Mkoa wa Mbeya ulionekana kuwa msaada mkubwa katika...
  14. T

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Serikali Wilayani Ludewa chunguzeni mwenendo wa Mwalimu huyu, analalamikiwa na wengi

    Lamwike JF Huku kijijini kwetu Njelela kilichopo Kata ya Mundindi, Wilaya ya Ludewa, Mkoa wa Njombe kuna Mwalimu anatutesa sana, kwa sasa amekaimu Utendaji wa Kijiji baada ya Mtendaji aliyekuwepo kwenda likizo ya uzazi. Mwalimu huyo (jina nalihifadhi kwa muda) anachotutendea sisi Wakazi wa...
  15. JamiiForums Tanzania Je ni kweli kuwa kuna askari wa Tanzania wanaosaidia serikali habithi ya William Ruto kuwateka wakenya kama walivyozoea kufanya Tanzania?

    Kuna habari kuwa Gen Z wa Kenya wana mpango wa kukinukisha tena. Katika kusikiliza habari baada ya kutekwa kwa mchoraji vibonzo vinavyompinga Ruto aitwaye Kibet Bull, wamesema kuna watekaji toka nchi jirani. Kumbuka. Wakati wa maandamano ya Gen Z kulizuka shutuma kuwa askari polisi wa Tanzania...
  16. JamiiForums Tanzania Mtandao wa Twitter uliokuwa maarufu kwa Serikali na viongozi wa dini umepoteza heshima baada ya kuitwa X, viongozi wengi duniani wameupuuza

    Mtandao wa X uliokuwa maarufu kwa Serikali na viongozi wake umepoteza heshima baada ya kuitwa X, viongozi wengi wa Serikali duniani wameupuuzia mbali Zamani ukiitwa Twitter, viongozi wengi wa Serikali na dini duniani waliutumia kama chombo cha mawasiliano cha watu wenye hadhi kubwa duniani...
  17. JamiiForums Tanzania TBC: Sauti ya Watanzania, sio sauti ya Serikali

    Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) inapaswa kuwa sauti ya mwananchi, chombo huru na tegemeo la jamii katika kutoa taarifa sahihi, za kina na zenye kuwajibisha. Katika enzi ya habari zinazoenezwa kwa kasi kubwa, TBC inapaswa kuwa mstari wa mbele katika kuripoti matukio muhimu yanayoikumba...
  18. JamiiForums Tanzania Ujumbe wangu mahsusi wa chrismas kwa serikali ya Tanzania hasa wizara husika kuhusu ajali za barabarani.

    Taifa linapoteza nguvu kazi kwa kasi ya mchongoko si kwa mapenzi ya Mungu bali kukosa maarifa. Ni mwendawazimu pekee anaweza kujiaminisha kuwa hizi ajali tunazozishuhudia ni mapenzi ya Mungu. Nchi serious ninazozijua kuruhusiwa kuingia barabarani na chombo cha moto ni mchakato very strict na...
  19. JamiiForums Tanzania Serikali kuombwa christmas iwe inafanyika kitaifa Moshi-Kilimanjaro.

    Sikukuu ya Christmas ambayo ni kumbukizi ya kuzaliwa kwa Yesu Kristo [Mungu] ambaye alizaliwa Israel katika mki wa Bethlehemu , miaka 2024 iliyopita. Wachagga, katika kikao chao cha Mwisho wa mwaka 2024 wameomba vijana wao Bungeni akina Mkenda, Tarimo, Mollel na Ndakidemi waiombe serikali...
  20. JamiiForums Tanzania David Kihenzile: Serikali Itaendelea Kuboresha Bandari Katika Maziwa Makuu

    DAVID KIHENZILE: SERIKALI ITAENDELEA KUBORESHA BANDARI KATIKA MAZIWA MAKUU Naibu Waziri wa Uchukuzi Mhe. David Kihenzile amesema kuwa Serikali ya awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imewekeza na itaendelea kuwekeza Katika Maziwa makuu kwa kuboresha Bandari, Kuendelea...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…