Mwenyekiti wa Bodi ya Ligi Kuu, Steven Mguto katika mahojiano yake na Kituo cha Habari cha Mwananchi Digital amesema iwapo wao Kama mamlaka za kimpira watashindwa kutatua sakata la Simba na Yanga kuhusiana na kuahirishwa kwa mchezo wa Derby ya Kariakoo basi wataishirikisha Serikali.
"Jambo hili...
Serikali imethibitisha kuwa mradi wa kusafirisha umeme wa kilovoti 400 kutoka Iringa hadi Sumbawanga (TAZA) upo mbioni kukamilika, ukilenga kuunganisha Mkoa wa Rukwa na gridi ya Taifa.
Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga amesema kuwa mradi huo utamaliza utegemezi wa umeme wa diseli katika...
Serikali imetenga kiasi cha Shilingi Milioni 100 kukamilisha Ujenzi wa Zahanati ya Kijiji cha Ugele Kilichopo Manispaa ya Iringa lengo likiwa ni kusogeza huduma za afya kwa Wananchi hususani wakina Mama Wajawazito.
Wakizungumza Wananchi wa Kijiji hicho wamesema Zahanat hiyo itakwenda kuwa...
Makusanyo ya maduhuli ya Serikali kupitia Sekta ya Madini katika Mkoa wa Kagera yatokanayo na mrabaha, tozo na ada mbalimbali kwa mwaka wa fedha ulioanza Julai 2024/ 2025 ni Shilingi Bilioni 3.2
Kagera ilipangiwa kukusanya Shilingi Bilioni 5.8 na mpaka mwishoni mwa mwezi Februari mwaka huu wa...
Mkuu wa wilaya Kilindi Mh Hashim Mgandilwa akiingia katika mfumo wa Centralized GOT-HOMIS ikiwa ni ishara ya uzinduzi wa mfumo huo wa matibabu katika vituo vyote vya huduma za Afya vinavyomilikiwa na serikali.
Uzinduzi huo ulifanyika tarehe 17/03/2025 katika kituo Cha Afya Songe na kuhudhuriwa...
Baada ya kuwepo kwa taarifa ya mashambuliano ya siku mbili mpakani mwa Syria na Lebanon kati ya wafuasi wa HizbuLlah na wapiganaji wa serikali mpya ya Syria,sasa tukio hilo limefuatiwa na mapatano katika ya pande hizo mbili.
Kiasili wapiganaji ya HizbuLlah ni wafuasi wa mrengo wa kishia wakati...
Hii barabara ya mwendokasi ya kupita Mbagala Kila uchwao inaleta ajali, watu wanakufa kila mara bila sababu za msingi na serikali ya mtaa, kata, wilaya, kuu zote zipo na zinajua kinachoendelea. Maana ni wao ndio wameifungulia hii barabara ili gari zipite.
Hii barabara haina alama yoyote ya...
Nimegongewa mlango asubuhi ya leo, na watu waliojitambulisha kuwa ni balozi, mwenyekiti na askari mgambo, Wakieleza kwamba natakiwa kulipa faini jumla sh 12,500/= ambapo 10,000/= ni kwa kushindwa kuhudhuria mkutano walioutangaza hivyo nilipaswa niwepo au nitoe sababu za dharura ya...
Mkoa wa Tabora umeanzisha oparesheni maalamu ya kukabiliana na ugonjwa wa mlipuko wa mpox kwa kuandaa vituo tengefu kwenye Hospitali za Wilaya zote za mkoa huo pamoja na vituo vya afya ili kuwahudumia kwa kina wagonjwa wa mlipuko huo endapo watabainika, huku wataalamu wa afya ngazi ya mkoa...
Inapotokea kuna tatatizo ndani ya nchi liwe kesi,biashara na mengine serikali ya kwetu ndio inaonekana kama imefungwa gori nyingi sana kama wanavyo ipenda yanga na simba kila gori milioni 5.
Kuna kesi ambazo kama tutaka mataifa yaje kuchunguza ni aibu sana ila kwavile wamevaa pajama zetu...
Ma TV, redio na magazeti muda wote, usiku na mchana kipindi cha Magufuli yalikuwa yakimwaga sifa kuwa serikali ya Magufuli ni ya viwanda.
Matakwimu ya uongo kutoka wilayani, mikoani yalikuwa yakipikwa na kupelekwa NBS.
Kwa muda mfupi tu tukaambiwa viwanda vya Magufuli vimeajiri vijana million 2...
Tanzania ina madini, ardhi yenye rutuba, gesi asilia, na rasilimali nyingine nyingi, lakini bado inaagiza bidhaa nyingi kama mafuta ya kula, sukari, na nguo. Je, ni changamoto zipi zinazokwamisha uzalishaji wa kutosha ndani ya nchi?
Mkurugenzi wa Serikali za Mitaa, Tamisemi, Angelista Kihaga, tunakuomba ufanye ziara ya kustukiza kutembelea miradi ya maendeleo inayotekelezwa na Halmashauri ya Moshi Manispaa.
Miradi hii ina umuhimu mkubwa kwa maendeleo ya jamii na inahitaji uangalizi wa karibu ili kuhakikisha inatekelezwa...
Zaidi ya shilingi trilioni moja imetolewa na Serikali kutekeleza mradi wa reli ya kisasa SGR LOT NO 6 ya kutoka Tabora kwenda mkoani Kigoma mpaka Msongati nchini Burundi mradi ambao kwa sasa uko katika hatua za awali ukiwa umefika asilimia 7.
Akizungumza na waandishi wa habari mkoani kigoma...
Chama cha ACT Wazalendo kimeiomba Serikali kuwachukulia hatua viongozi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Makamu Mwenyekiti Bara, Stephen Wasira, na Naibu Katibu wa Habari na Uenezi wa CCM-Zanzibar, Hamis Mbeto, kwa kupotosha umma kuhusu tukio lililotokea nchini Angola.
Wito huo umetolewa leo...
MSEMAJI mkuu wa Serikali Gerson Msigwa ameyaomba makampuni ya utengenezaji wa mabasi kutoka nchini China kuja kuwekeza kiwanda Cha utengenezaji wa mabasi hayo na vifaa vyake Ili Watanzania wajifunze Teknolojia na kupata ajira.
Akizungumza wakati wa uzinduzi wa toleo jipya la mabasi ya kampuni...
Makamu wa kwanza wa Rais Zanzibar, Othman Masoud Othman ameshangaa kauli zilizotolewa na Makamu Mwenyekiti wa CCM Stephan Wasira na Mwenezi wa CCM Zanzibar Khamis Mbeto kufuatia yeye pamoja na viongozi wengine wa kisiasa kuzuiliwa uwanja wa ndege Airport.
Kupata taarifa na matukio yanayojiri...