Salaam wana JF, kama TUCTA wamefanya utafiti na kuona kiwango cha shilingi 975,000/= ndo kinafaa kama kima cha chini cha mshahara kwa watumishi wa umma na wafanyakazi kwenye sekta binafsi kuweza kumudu gaharama za chini kabisa za maisha (basic human needs), inakuwaje serikali haitaki kuwalipa...