Nianze kwa kusema kwamba ndugu zangu Watanzania tunachanganya sana mambo.
Frikra za Watanzania walio wengi juu ya serikali ni kwamba serikali ni lijitu lenye manguvu makubwa sana. Na ili kuonyesha manguvu yake basi litanyanganya watu ardhi pasipo fidia inayostahili, litapiga viongozi wa...