serikali

  1. JamiiForums Tanzania CHADEMA someni katiba kwanza badala ya kudanganyana kuwa serikali inamwomba Lissu awe waziri mkuu.

    Siku hadi siku wanaCHADEMA wanazidi kuweka ujinga wao hadharani bila aibu. Huko X wanadanganyana kuwa Lissu anabembelezwa kuwa waziri mkuu huku akiwa hana vigezo. Hii KATIBA MPYA mnayodai ni ipi? Ndo maana wengi wenu kutokana na akili ndogo huwa mnakimbilia kusema TUNATAKA KATIBA YA WARIOBA bila...
  2. JamiiForums Tanzania Serikali ya kiislamu ya Iran iliua waandamanaji 32,000 na dunia iko kimya!!!

    Utawala wa Iran unaongozwa na serikali ya kiislamu ya Ayatollah Ali Khamenei uliza zaidi ya waandamanaji 32,000 huko Iran. Umoja wa Mataifa mashirika ya kutetea haki za Binadamu na assailant za Serikali wote wako kimya hapo ndipo utaiona UNAFIKIRI wa walimwengu...
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Serikali imetususia hii Barabara ya Mkonze - Dodoma Mjini?

    Ubovu wa Barabara ya kutoka Mkonze Shule ya Msingi kwenda Mkonze Zahanati mpaka Mtaa wa Chinyika (Mkonze - Dodoma Mjini) unatia hasira unapopita hapo. Hali ni mbaya mno hasa kipindi hiki cha mvua ni hakupitiki jamani tunaomba msaada kwa Serikali watuangalie tunakwama sana, gari za Watoto wa...
  4. JamiiForums Tanzania Serikali na mamlaka zake ni damaged beyond repair?

    Naangalia mahakama inavyofanya kazi zake, maamuzi zake, upindishaji wa sheria, uvunjaji wa katika wa wazi kabisa Naangalia jeshi linalopaswa kuilinda katiba kufa kupona. Naangalia lilivyolinda wananchi wakati wa maandamano. Naangalia linavyolinda haki ya kuishi nyakati za utekaji Naangalia...
  5. JamiiForums Tanzania Serikali yapitisha mabadiliko ya katiba Simba, uwekezaji sasa njia nyeupe

    Serikali kupitia Baraza la Michezo la Taifa (BMT) imeidhinisha rasmi marekebisho ya Katiba ya klabu ya Simba baada ya kukamilika kwa mchakato wa kisheria uliokuwa chini ya Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Michezo. Ikumbukwe Februari 16, 2026, Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul...
  6. JamiiForums Tanzania Hivi kwanini serikali haijaongeza scale za mshahara kama kima cha chini ni 500k . Kwanini shahada asianze na mshahara wa 1M angalau maisha yamepanda.

    Tupunguze mabajeti ya v8 huko na vitu vya hovyo. Degree mwalimu aanze na 700k mwaka 2016 hadi leo anaanza na 700k ????
  7. JamiiForums Tanzania Je, vijana walioajiriwa serikalini na sekta binafsi wana haki ya kuunda vikundi na kupata mikopo?

    Mh waziri wa Vijana, Nanauke naomba ujibu swali langu hilo maana kuna vikundi vya kutosha sasa vinaomba mikopo na vya watumishi vipo je wanaruhusiwa ? Tujibu tafadhali
  8. JamiiForums Tanzania Mwanza: Mahakama Yaipiga Nyundo Serikali Mahashidi Wa Siri/kificho

    Credit jambo tv Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Mwanza, imetoa uamuzi wa kihistoria kwa kuzuia upande wa Jamhuri kutumia mashahidi wa kificho au siri katika kesi zote za jinai, ikitangaza kuwa utaratibu huo ni kinyume cha katiba ya nchi. Jopo la Majaji watatu- Jaji Fahamu Mtulya...
  9. JamiiForums Tanzania MPYA Ni kweli John Heche ameomba serikali ya Mpito?

    Picha inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii, hususan Facebook, ikidai kuwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa John Heche, ameiomba serikali kuanzisha serikali ya mpito ni ya uongo na inapotosha.
  10. JamiiForums Tanzania Quick question

    Wikend kama hii umeamua kuitoa out familia yako. Let's say umewapeleka mlimani city hivi. Katika mizunguko mle ndani, watoto zako wa kike wanaomba uwapitishe washroom. Mkifika, wanaingia ndani. Kidogo unaliona shoga mbavu linaelekea toilet walipo wanao
  11. JamiiForums Tanzania Bashite kufunga namba za Serikali kwenye magari binafsi, hii imekaaje?

    Huu ushamba haufai kuachwa hivihivi, TISS, TRA, TEMESA sijui nani anahisika hapo atuondolee aibu hii
  12. S

    JamiiForums Tanzania Kama serikali imeshindwa kuendesha mfumo wa ESS , bora waufute au kuwe na mbadala in case mfumo unafeli

    Huu mfumo japo umekuja na mazuri, lakini kwa sasa unageuka kero kwa Watumishi kwa baadhi ya huduma kutopatikana leo ikiwa ni siku ya 2 mfululizo. Mimi nashauri waufute huu mfumo au kuwe na mbadala pale mfumo huu unapofeli kwani unakwamisha sana mambo ya watu na kwa sasa unageuka kero badala ya...
  13. H

    JamiiForums Tanzania Pendekezo la Mfumo wa Action Plan na Uwajibikaji kwa Viongozi Wakuu wa Serikali.

    Katika kuimarisha utawala bora, uwajibikaji wa viongozi, na ufanisi wa utekelezaji wa sera za maendeleo, inapendekezwa kuanzishwa kwa mfumo rasmi wa Action Plan Governance Framework utakaoweka wajibu wa wazi kwa viongozi wanaoingia madarakani, hususan Rais au Mawaziri. Mfumo huu utalenga...
  14. H

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Uhaini ya Lissu: Serikali hii ni ya laana, imewatafuta watu wenye dhiki ya maisha na kuwafanya mashahidi wa kificho

    Kwenye kesi bandia iliyotengenezwa na watawala dhidi ya Lisu, kila mmoja alishangaa kuona wale mawakili wa mchongo wa serika wakikazania kuwa na mashahidi wa kificho. Watu mbalimbali walitoka na hisia tofauti tofauti. Baadhi mpaka walifikia kusema kuwa labda wale waliokuwa viongozi wa CHADEMA na...
  15. JamiiForums Tanzania Serikali ya awamu ya Sita inanuka damu za Watoto wetu

    Salaam Wakuu, Yaani sasa ndo nimegundua kwamba, Mtu akipata madaraka kwa kumwaga damu, anakuwa ananuka damu hata aoge kwa jiki. Juzi Karikaoo wakati wa Uzinduzi wa Soko lililoungua, baada ya Wakina Samia kufika, soko zima likawa linanuka damu za watu. Watu wakawa wanatema mate chini.. Yaani...
  16. JamiiForums Tanzania Makonda: Serikali yampitisha Gamondi timu ya Taifa

    #onemediaupdates🇹🇿 Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Paul Makonda ameweka wazi kuwa Serikali imempitisha Kocha Miguel Gamondi kuwa Kocha Mkuu wa Timu ya Taifa, Taifa Stars, kutokana na uwezo wake aliouonyesha kwenye Michuano ya Kombe la Mataifa Afrika (AFCON) 2025 iliyofanyika...
  17. JamiiForums Tanzania Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega: Siku 100 za Rais Samia Serikali imekamilisha Miradi 40

    Serikali kupitia Wizara ya Ujenzi na Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) imeweka historia mpya katika eneo la King'ori, jijini Arusha na maeneo mengine nchini kwa kuweka tumaini jipya kwa wananchi kupitia ujenzi wa miundombinu ya barabara na madaraja ndani ya siku 100 za Rais Dkt. Samia...
  18. JamiiForums Tanzania Ni kweli hatufanikiwi sababu ya serikali zetu au Kuna namna maisha ya kizungu yametuathiri?

    Maisha ya kwenye runinga ni gharama kubwa sana Kuna picha nzuri ya Teknolojia,majengo,Magari na hali safi ya mazingira Kuna picha ya uhuru wa vyama na Ibada. Unadhifu huu unalinganishwa maendeleo ya nchi zetu ambazo kiuhalisia ni changa,kiuhalisia zimejengwa katika mitazamo mingi,Imani na...
  19. E

    JamiiForums Tanzania Madereva wa malori waipa Serikali siku 2 mwenzao apatikane, la sivyo watagoma

    Chama cha Madereva wa Malori Tanzania, (TATAMATA) kimetoa siku mbili kwa Serikali kushirikiana nao kumtafuta aliyekuwa Mwenyekiti wa chama hicho, Godlove Materu , la sivyo madereva wote wa chama hicho hawatafanya kazi kuanzia Februari 10, 2026 mpaka apatikane. Kwa mujibu wa viongozi wa chama...
  20. JamiiForums Tanzania 90% ya waliohojiwa na Tume ya jaji Othman ni Makada wa CCM na viongozi wa Serikali

    Hii nchi jamani, yaani hii tume useless ata aibu haina, Kwa kilichotokea MO29 unaanzaje kupoteza muda kufanya investigation Kwa kuwahoji kina Majaliwa Nape Nauye Chalamila Dr.Mpango Makalla Wassira Jaji Mtungi Ma polisi Hivi hii nchi ina viongozi wenye akiri kweli? Yaani unafanya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…