serikali

  1. JamiiForums Tanzania Kinachoendelea Kampala University ni kama utapeli, matokeo ya Wanafunzi 300+ wa Udaktari yana utata, Serikali itusaidie Wanafunzi

    Chuo cha Kampala University hiki ambacho kipo Gongo la Mboto kina shida kubwa sana, najua wengi mnajua kimewahi kufungiwa siku za nyuma kutokana na magumashi mengi ambayo kimekuwa kikifanya. Serikali iingilie kati kuangalia hiki chuo, sisi wanafunzi ambao tupo chuoni hapo tunapitia wakati...
  2. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Serikali ya Kenya kufungua vituo 25,000 vya Wi-Fi ya bure

    Waziri wa Habari, Mawasiliano na Uchumi wa Kidijitali, Eliud Owalo amesema lengo la kutoa Wi-Fi bure kote nchini ni kukidhi hitaji hilo muhimu kwa wananchi. Amesema "Serikali inaamini katika uwekezaji wa Kidijitali kama njia ya kuwezesha Ujuzi wa Vijana, pia, tutatambua Mapungufu ya Ujuzi na...
  3. JamiiForums Tanzania Ujanja ujanja na utengenezaji wa mazingira ya kibiashara Ofisi za Serikali

    Salaam ndugu zangu, Natumai wote mu wazima. Leo najaribu kugusia na kudokeza baadhi ya tabia za ujanja ujanja zinazofanyika nje ya Ofisi nyingi za umma. Walinzi au watu wa mapokezi wa sehemu hizi wamekuwa chambo Cha kufanya biashara ndogo ndogo wakitumia chambo Cha wananchi kusaka huduma...
  4. JamiiForums Tanzania Naomba Serikali iwaambie Watanzania wote kujiunga Jamii Forums ili kuokoa kizazi hiki

    Nashangaa kuona watu hawatumii huu mtandao Wala sio members wakati kwa Tanzania hakuna mtandao wenye watu smart na Maarifa na uchumi Kama hapa JF. Naomba Serikali waweke mpango kwa kila mtanzania awe na App ya JF katika simu yake . JF Ni kisiwa Cha Maarifa the home of Great thinkers. Hapa ni...
  5. JamiiForums Tanzania Swala la kupanda Bei ya data ilaumiwe Serikali na TTCL ndio wanaouzia makampuni huduma za internet kwa Bei na kutokuwa na mshindani

    Watu wanalaumu kuhusu mb kupanda Bei lkn muuzaji wa huduma hizo Ni Kampuni ya serikali TTCL. Kupitia mkonga wa Taifa. Kifupi kitu kinachoendeshwa na umma na kisichishindani kwa nchi za dunia ya tatu Ni kasoro kubwa na huumiza wanyonge. Kampuni zikiwa huru kupata huduma hizo kupitia satellites...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Shujaa Majaliwa ajira yake, elimu yake inakidhi vigezo vya Serikali?

    Kijana Shujaa Majaliwa kamaliza darasa la saba (kama alivyohojiwa mama yake). Policy/sheria ya uajiri Serikalini inasema lazima uwe at least darasa la 12, ie form 4. Sasa Majaliwa anaajiriwa kwa sheria ipi? Anakidhi vigezo? Note: Sina tatizo/wivu and the like naye kuajiriwa, but tusiwe vipofu...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Tito Magoti: Waziri Mkuu unajisikiaje kuwa Kiongozi wa Serikali usiyetaka kuwajibika?

    Anaandika Tito Magoti. Mheshimiwa Waziri Mkuu, Nakuandikia barua ya wazi kwa heshima kubwa sana! Ni mwaka wa saba tangu uwe Mtendaji Mkuu wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (CEO JTM hapa chini). Kuna mambo mengi unayojivunia. Pengine ndio maana umedumu katika nafasi yako hadi sasa...
  8. JamiiForums Tanzania CHADEMA haina legitimacy ya kuokosoa Serikali hata kama kuna mapungufu ya kukabiliana na majanga. Kama Mbowe alitafuna bil 10 za chama. Hamfai kabisa

    Kama unadhambi ya ubadhirofu wa pesa za umma ambazo kama Chadema wasingelipwa ruzuku na kuzitafuna taifa lingenunua vifaa vya uokozi. Mlitafuna kama njugu pesa za umma. Nyie mna mikono gani mosafi kuilosoa serikali? Aliyemsafi ndio akosoe. Those with clean hands must come to Equity
  9. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanafunzi 8 wafariki kwa Ebola Uganda, Serikali kuzifunga shule zote

    Baraza la Mawaziri limeridhia Shule kufungwa Novemba 25, 2022 ikiwa ni baada ya wanafunzi 23 kupata maambukizi ya Ugonjwa huo. Mke wa Rais Museveni ambaye pia ni Waziri wa Elimu amesema hatua hiyo itapunguza mikusanyiko ya watoto kukutana na wenzao, walimu na wafanyakazi wengine wanaoweza...
  10. JamiiForums Tanzania Serikali kama mmeweza ku-mobilize Pesa ya kumpa zawadi muokoaji Majaliwa ikapatikana, kwanini msifanye ya kununua Vifaa vya Uokoaji Majini?

    Hongereni sana Serikali ya Tanzania (chini ya CCM) kwa kupata Credits kwa Watanzania wengi (japo siyo Wote) walio Goi Goi (Mazuzu) kwa Kitendo chenu Watendaji Wakuu (hasa Premier Majaliwa na RC Chalamila) cha kufanya Mobilization ya Kufa Mtu mpaka Pesa za Kumzawadia Muokoaji Majaliwa...
  11. JamiiForums Tanzania Serikali hongereni kwa kukwepa lawama ya uokoaji manusura wa Ajali ya Bukoba kupitia kupewa zawadi muokoaji Majaliwa

    Naona hivi sasa Watanzania (Waswahili) kama kawaida yao wameshahama katika Kuizungumzia Ajali na Mapungufu yake na sasa 97% ya Waswahili (Watanzania) wapo katika Kumzungumzia na Kumzawadia Muokoaji wa Taifa Dogo Majaliwa. Taifa lenye Watu (Raia) makini kamwe hawawezi Kushadadia na Kufurahia...
  12. JamiiForums Tanzania Msemaji wa Serikali: Helikopta zetu ni za usafirishaji siyo kuvutia Ndege au Meli

    Msemaji Mkuu wa Serikali amesema hayo na kuongeza kuwa watu wanaolalamika na kuhoji juu ya kutotumika Helikopta katika uokoaji kwenye ajali ya Ndege ya Pecision Air wapuuzwe. Amesema Serikali haiwezi kuwa na dhamira ya kuacha wananchi waangamie pale majanga yanapojitokeza na ndiyo maana...
  13. D

    JamiiForums Tanzania Msemaji wa serikali acharuka kwa wanaobeza mbinu za uokoaji! Apongeza serikali

    Kauli yetu mbiu ni watoto wa bata hawadeki Leo Msemaji wa serikali acharuka, Asema wavuvi ni wajibu wao kuokoa, Apongeza uongozi wa kagera kwa jitihada kubwa walizozifanya kuokoa! Asema siku ya tukio wataalamu na wazamiaji walikuwepo eneo la tukio kwa wakati Asema wananchi wasibeze jitihada za...
  14. JamiiForums Tanzania Ajali ya ndege: serikali isitutoe nje ya reli

    Tarehe 06 Novemba 2022 Tanzania iliingia tena kwenye majonzi na simanzi kubwa baada ya ndege ya Precission kuanguka ziwani ilipokuwa inataka kutua uwanja wa Bukoba. Tumepoteza Watu 19 huku kukiwa na sintofahamu kubwa ya namna serikali ilivyoshiriki kuokoa wahanga. Ajali hiyo imemuibua raia...
  15. JamiiForums Tanzania Serikali ya CCM inatufanyia mbaya watanzania. Inatumia bil 733 kununua ndege wakati maji ya kunywa vijijini na mjini ni hakuna

    Hizi ndege haziwezi kumsaidia mwananchi wa kawaida. Hapa kuna siasa za kiswahili na uhuni uliokubuhu.
  16. JamiiForums Tanzania Serikali inapanga kukusanya Tsh. Tril 31.03 na itatumia Tsh. Tril 43.3 mwaka 2023/24

    Serikali ya Tanzania katika mwaka 2023/24, inatarajia kukusanya na kutumia Sh43.3 trilioni ikilinganishwa na makadirio ya Sh41.5 trilioni kwa mwaka 2022/23, ikiwa ni ongezeko la asilimia 4.4. Hayo yamesemwa leo Jumatatu, Novemba 7, 2022 na Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Mwigulu Nchemba wakati...
  17. JamiiForums Tanzania Kwanini mazishi ya waliokufa na ndege huko Bukoba yanagharamiwa na Serikali? Wanaokufaga na mabasi?

    Wadau naomba kujua kwanini waliokufa kwa ajali ya ndege huko Bukoba jana, mazishi yao yanagharamiwa na Serikali. Mbona wanaokufa na treni, mabasi, boti hayagharamiwagi na Serikali? Mwenye ujuzi atujuze...
  18. JamiiForums Tanzania Serikali kufuta vijiji vyote vilivyo ndani ya Mipaka ya Pori Tengefu Loliondo

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imetoa tangazo la kufuta vijiji vyote vinavyopatikana ndani ya mipaka ya pori tengefu Loliondo ili kupisha hatua ya kupima upya maeneo hayo yatakayopangiwa matumizi mengine. Hatua hii iliyotangazwa na Mkuu wa Wilaya ya Ngorongoro inaongeza wasiwasi wa...
  19. JamiiForums Tanzania Wananchi wamepoteza imani kwenye taasisi zote za Serikali. Kama Taifa tunafahamu hatari iliyo mbeleni?

    Wananchi wanapopoteza imani kwenye taasisi za serikali huwa kuna uwezekano mkubwa kwa nchi husika kuingia kwenye korongo. Haijalishi idadi ya hao wananchi, madhara ni lazima yawepo tu. Ukisoma historia, mifano iko mingi mno. Wananchi wakikata tamaa kuna kitu huzaliwa ambacho wengi kifalsafa...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Nashauri Serikali kuwaita raia waliosaidia uokozi wa ajali ya ndege na kuwashukuru kwa kazi ya kizalendo na kishujaa

    Ndugu zangu kwanza Natanguliza pole zangu za dhati Toka ndani ya moyo Wangu kwa familia zilizopoteza wapendwa wao katika ajari ya ndege ya Jana, Najuwa maumivu, machungu, majonzi, huzuni, simanzi waliyonayo mpaka Sasa, Najuwa wanalia mpaka Sasa, Najuwa wanabubujikwa machozi mpaka muda huu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…