Mimi ni mwalimu nimeajiriwa mwaka 2014.
Pamoja na kuwa ni mujibu wa sheria mtumishi kupanda daraja Kila baada ya miaka mitatu, sisi hatukupanda hata baada ya miaka 7, tulidhulumiwa madaraja mawili na serikali ya Magufuli, tukapewa daraja moja na mama mwaka 2021, Mungu amlinde Kwa Nia njema...
Kiukweli watumishi watumishi wa umma na wale wa sekta binafsi wanakubwa na changamoto nyingi sana za kiutumishi,kijamii,kisiasa na kiuchumi pia suala hili serikali isipolipa uzito mapema matokeo yake itakuwa na madhara makubwa sana haswa Kwa watumishi wa umma ambao changamoto hii ni kubwa sana...
Pindi reli ya SGR kutoka Dar es Salaam hadi Dodoma itakapokamilika serikali iweke muongozo madhubuti kwamba watumishi wote wa umma kuanzia mawaziri hadi wale wa chini kabisa watumie treni hiyo kwa safari za Dar-Dodoma badala ya gari au ndege.
Hii itasaidia kuokoa gharama za mafuta, manunuzi ya...
1/7/2024
Vifo vinavyotokana na maandamano ya kushinikiza Rais Ruto aachie ngazi vyafikia 26, baada ya watu wawili zaidi kutokana na majeraha
Kevin Madanga (22) ambaye alipigwa risasi 3 wiki iliyopita amefia Nakuru na Daniel Kakai (17) mwanafunzi kutoka Bungoma aliyepigwa risasi Alhamisi...
Serikali ya Tanzania kupitia Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, imekubali ombi la Mabalozi wa nchi mbalimbali walioomba kikao cha kujadili masuala ya kodi kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), kwa lengo la kujadili malalamiko yalitolewa na baadhi ya wawekezaji kutoka...
Licha ya kupiga hatua kwenye kuvutia wawekezaji na kuwa kivutio cha FDI sasa hali imeanzakudhoofishwa. Mabalozi wameanza kulalamika kuwa wawekezaji wao wengi wanakumbana na usumbufu mkubwa kutokana na notisi zisizothibitishwa kutoka kwa TRA zinazodai malipo na usuluhishi wa akaunti wa miaka 15...
Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kulalamikia kuhusu Mradi wa Machinjio uliopo Goweko akidai umekwama kuendelezwa licha ya fedha za walipa kodi takribani Shilingi Milioni 25 kutumika, hatua zimeanza kuchukuliwa.
Malalamiko ya member ~ Haya machinjio ya Nyama Wilayani Uyui (Tabora) ni...
The government is always there for welfare maximization but not profit maximization. Sasa kwa nini serikali huwa haifikiri kuwa na bank yake ya biashara ili wananchi wawese kuinjoy welfare hiyo?
Kuna sababu gani za kiuchumi zinazokataza
Ndugu zangu Watanzania,
Msemaji mkuu wa serikali atazungumza na waandishi wa habari jioni hii,ambapo atakuwa live au mbashara kupitia vyombo vyote vya habari hapa Nchini yaani vile vya serikali na vile vya binafsi vitarushaa matangazo hayo na mkutano huo na waandishi wa habari muda wa saa kumi...
Bongo sidhani kama kuna msanii au wanasanii wanao weza kusimama na Wananchi, hawa ni ndio watu wanaingoza kwa uchawa nchi hii na still bado huwa tuna wapapatikia mbaya mno.kiwango cha uchawa wa wasanii hata raia wakawaida hawakifikii.
Mimi nisha acha kushabikia aina yoyote ya msanii Chawa hapa...
Salaam, Shalom!!
Sina ugomvi binafsi na Ndugu Mwigulu, ugomvi wangu ni juu ya Elimu ya Uchumi na maamuzi ya mtu huyu mwenye kibri ajiitaye msomi kuliko wasomi wengine.
HIZI HAPA FAIDA ZA KUPUNGUZA KODI HASA KWA WATU WA KIPATO CHA KATI NA WA KIPATO CHA CHINI.
1. BIASHARA ZILIZOKUFA ZITAFUFUKA...
Namna pekee itayoweza kutuamsha kama nchi toka usingizini ni kujiuliza maswali kadhaa…
1.) Tanganyika inakopa jumla ya Trillion ngapi kwa mwaka?
2.) Tanganyika inalipa madeni Trillion ngapi kwa mwaka?
3.) Tanganyika inakusanya mapato ya ndani Trillion ngapi kwa mwaka?
Majibu
1.) Tangu 2021...
Nigeria imetangaza kusitisha matumizi ya plastiki leo Juni 27, 2024 katika ofisi za serikali kama hatua ya awali kabla ya kusitiza matumizi ya kitaifa kuanza Januari 2025
Kulingana na tafiti zilizofanyika na Shirika la (US Agency for International Development) zinaonyesha kuwa Nigeria ni...
Hebu mjitafakari hasa walimu na watumishi wengine.
Tgs A ni shilingi za kitanzania 330000 kwa njinsi maisha yalivyo magumu. Hii pesa mtu unaweza kutoboa kweli?
Sukari bei juu, kodi ya pango juu, alafu mei mosi inapita patupu bila nyongeza ya mshahara.
Wafanyabiashara wamegoma na...
Habari, naomba nitoe taarifa kwa JWTZ ya kwamba Kuna mtu anajiita Generali Charles Mwamwega na kudanganya watu yeye ni makubwa jeshini na anafanya kazi kwenye ofisi ya Rais wa Zanzibar Ikulu. Ukienda pale ikulu Zanzibar hayupo mtu Kama huyo na ukienda kwenye data base ya JWTZ Hilo jina halipo...
egron rweyemamu
jenerali mwamwega
jwtz
kati
mkubwa
mkuu
osward rweyemamu
sakata
serikali
udhaifu
utapeli
utapeli kutumia majina ya viongozi
waziri
waziri mkuu
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), kimeeleza kwamba kuendelea kuongezeka kwa deni la Taifa kunaashiria kwamba ukali wa maisha unaweza kuongezeka ukisababishwa na kulipa deni hilo.
Ili kupunguza makali hayo wanashauri "Ni maoni yetu kuwa , ni muhimu kwa Serikali kupunguza gharama za...
Nilimsikia Kitila Mkumbo akisema kuna bidhaa 8 wamekubaliana na wafanyabiashara kuziingiza kwenye mfumo bila ufafanuzi zaidi na leo nimemsikia tena Mwigilu akisema kuna bidhaa 8 ambazo wafanyabiashara wamekubaliana na serikali ziwe na bei elekezi. Hizo bidhaa ni zipi na serikali wamekubaliana...
Nashukuru sana kupata nafasi ya kushiriki kwenye Stories of change.
Nimekuwa nikitoa maoni yangu kwenye mtandao wa X kwamba Serikali inaonaje kama ingeshusha ushuru wa kuagiza bidhaa toka nje ya Tanzania. Hapa namaanisha bidhaa kama magari, mashine na vifaa vyote vya kielectronic; bidhaa hizi...
"Moja ya hoja iliyokuwa inatolewa ni kushushwa kwa VAT kutoka 18% kwenda 12%, na mimi ningetamani iwe hata 10% lakini hatujaacha tu kuishusha sababu ya kiburi cha Wizara au Serikali tu imekataa, hatujashusha kwasababu kuna nambo mengi ya msingi tunatekeleza."
"Ukishusha 2% ya VAT unapoteza...