serikali

  1. PreGE2025 Uchaguzi wa serikali za mitaa 2024 - sera (tutawainua kiuchumi na kifikra)

    MAPENDEKEZO KUHUSU SERA NA KAULI MBIU KATIKA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA - 2024 MKOA WA DAR ES SALAAM ( WILAYA YA KINONDONI ) Na Comrade Ally Maftah JITU LA MIRABA PENDEKEZO LA KAULI MBIU "TUTAWAINUA WANACHI KIUCHUMI NA KIFIKRA" Mapendekezo yatakuja zaidi kwa maana ya matamshi. MANTIKI YA...
  2. W

    Kipindi cha Uangalizi kwa Mama aliyejifungua Mtoto Njiti sio likizo ya Uzazi

    Makamu wa Rais, Dkt. Philip Isdor Mpango, akiwa katika Sherehe za Kilele cha Mei Mosi Kitaifa, zilizofanyika jijini Arusha alitangaza kuongezeka kwa Siku za likizo kwa Wanawake wanaojifungua Watoto Njiti (Kabla ya Wiki 36 za Ujauzito) Kuanzia sasa iwapo Mfanyakazi atajifungua Mtoto Njiti...
  3. B

    Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Jaji Mkuu wajitokeze Kujibu au kufafanua Hoja za Tundu Lissu. Hawa wengine wanajichanganya tu

    Mpaka sasa watu wanaoaminika kwa hoja na weledi ndani ya Chama cha Mapinduzi Ndugu Comrade Kinana Makamu mwenyekiti wa Chama Taifa na Ndugu Ali Happy ambaye mpaka sasa sijui cheo chake wamejitokeza kujaribu kujibu Hoja za Tundu Lissu. Wakati wa wiki mbili zilizopita Mh Wakili Tundu Lissu Makamu...
  4. Katibu mkuu kiongozi wa Serikali ya mapinduzi ya Zanzibar azindua mtandao wa Tshrmnet

    KATIBU MKUU KIONGOZI WA SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR AZINDUA MTANDAO WA TPSHRMNET. Na Prisca Libaga, Arusha. Katibu Mkuu Kiongozi wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Zena Said amezindua rasmi mtandao wa mameneja rasilimali watu katika utumishi wa umma barani Afrika ,Tawi la Tanzania...
  5. PreGE2025 Mbunge ashauri Serikali kuajiri vijana wa kujibu 'wapotoshaji' Twitter

    Akiwa bungeni Dodoma, Ezra Chiwelesa, Mbunge wa Biharamulo ameitaka serikali kuajiri vijana kwa ajili ya kuijibia na kuitetea Serikali pale kunapotokea upotoshaji kwenye mitandao ya kijamii. Mbunge huyo amedokeza kuwa Serikali mara nyingi imekuwa kimya pale ambapo taarifa zisizo sahihi...
  6. PreGE2025 Hii Serikali inayosifiwa kwenye mabango nchi nzima nini hasa dhumuni lake?

    "Siku mkisikia wazungu wananisifu tambueni nimewasaliti" ni maneno ya Samora Machel kwa wananchi wake. Tuje hapa kwetu sasa. Hii serikali inayosifiwa kwenye mabango nchi nzima Nini hasa dhumuni lake?. Kwanini imekimbilia kwenye mabango kujitangaza na si kuacha kazi ijitangaze yenyewe? Ukweli ni...
  7. K

    Ushauri kwa Serikali kuhusu uzalishaji mkubwa wa zao la mpunga msimu huu

    Kwanza tunamshukuru Mungu kwa uzalishaji mkubwa wa zao la mpunga kwa msimu huu. Kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha wananchi wamepata mavuno makubwa ya mpunga. Kwa sasa bei ya mchele inazidi kuteremka na ninaambiwa kuwa maeneo ya Katavi kilo moja ya mchele umefika Tshs. 600. Pia...
  8. SoC04 Kuimarisha Udhibiti wa Dawa za Asili: Kuunda Mfumo Thabiti wa Kuhifadhi na Kudhibiti Dawa Zilizothibitishwa kwa Matumizi ya Binadamu

    Utangulizi: Matumizi ya dawa za asili yamekuwa ni sehemu muhimu ya utamaduni na afya katika jamii nyingi nchini Tanzania. Hata hivyo, ongezeko la matumizi ya dawa hizi limeibua hoja ya kuwepo kwa mfumo thabiti wa udhibiti na uhifadhi wa dawa zilizothibitishwa ili kuhakikisha usalama na ufanisi...
  9. B

    DOKEZO Serikali za Mitaa zinavyoshilikiana na polisi wa Madale kuwaumiza wananchi kwa rushwa

    Habari ndugu! Kuna kero inaendelea huku Tegeta Msigani kwenye Mto wa Kinondo. Mwenyekiti wa CCM wa Serikali za Kijiji amezidiwa tamaa ya pesa na mapolisi wa Madale. Kuna wachota mchanga kwenye bonde ambapo sasa hivi limepanuka zaidi na kuwa mto, hivyo wanafunzi wanaosoma Msigani Primary wapo...
  10. SoC04 Nchi inahitaji uongozi shirikishi ili kuondoa malalamiko, na chuki dhidi ya Serikali

    NCHI INAHITAJI UONGOZI SHIRIKISHI ILI KUONDOA MALALAMIKO, NA CHUKI DHIDI YA SERIKALI. Utangulizi: "Tanzania tuitakayo" Taifa letu TANZANIA ni Taifa ambalo linahitaji uongozi shirikishi ,kuanzia ngazi ya Taifa ,mkoa ,wilaya hadi mtaa, kijiji na kitongoji, ili kuifikia Tanzania tuitakayo. Kama...
  11. A

    KERO Kaliua, Tabora: Huduma za Afya kituo za Ulyankulu zina walakini mkubwa

    Nimempeleka mke wangu Kwa ajili ya kujifungua katika kutuo cha AFYA cha serikali Ulyankulu. Na ikahitajika kufanyiwa upasuaji ila cha ajabu gharama nilizopewa nilishangaa sana. Huduma ilisuasua hadi pale nilipotoa pesa waliyohitaji. Nilijaribu kukutana na Daktari na kumuuliza kwanini fedha na...
  12. Je, Ukiwa mtumishi wa serikali ukitaka kujiendeleza kimasomo ngazi ya shahada unaruhusiwa kuomba MKOPO kutoka HESLB?

    Je? Ukiwa mtumishi wa serikali ukitaka kujiendeleza kimasomo ngazi ya shahada unaruhusiwa kuomba MKOPO kutoka HESLB
  13. S

    Serikali ifanye maamuzi magumu ya kupiga marufuku bodaboda mjini, zitumike vijijini ili kupungiza ajali au iweke kodi kubwa

    Leo hii kuna ajali imetokoe huko. Misungwi ambapo bodaboda zinazodaiwa kuwa katika mwendo wa kasi zimegongana na waliokuwa kwenye hizo pikipi kuungua moto vibaya sana ingawa wanacnhi waliwaokoa kwa kuwamwagia mchanga. na sidhani kama wote wame-survuve (mtu anaangua kama nyama iliyowekwa kwenye...
  14. Kiongozi wa Serikali ya Tanganyika Soma Hii; kwa Nini Viwanda Vidogo Nchini Pakistan ni Vingi?

    Viwanda vile huitwa Cottage au SSI's kiufupi ni households industries, Karibia asilimia 45 ya vijiji vya Pakistan vinajitosheleza kwa mahitaji ya Viatu, Pamba kutoa nguo, spare za pikipiki, Cherehani, na vifaa vya kilimo, Kila familia ina Kiwanda kidogo na havifanani bidhaa. IPI NI FAIDA YA...
  15. Serikali Kufufua Usafiri wa Reli ya Kati Kiwango cha META GAUGE Kutoka Dodoma Mpaka Singida

    SERIKALI KUFUFUA USAFIRI WA RELI YA KATI KIWANGO CHA META GAUGE KUTOKA DODOMA MPAKA SINGIDA "Je, Serikali ina mpango gani wa kufufua usafiri wa Reli kutoka Dodoma kwenda Singida? - Mhe. Martha Nehemia Gwau, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Singida "Serikali kupitia Shirika la Reli Tanzania (TRC)...
  16. C

    Naomba kujua kama online courses serikali ya Tanzania inazi acknowledge kwenye soko la AJIRA

    Naomba kwa mtu anayejua kama hizi course zinatambulika au laa linapokuja swala la kutafuta AJIRA bongo maana nimeona course Fulani zinatolewa na GOOGLE, MICROSOFT,COUSERA,IBM,UDEMY N.K ziko vizuri na certification wanatoa Je, nikipiga hii course na Cheti nikapata nitatambulika kwenye soko la...
  17. Tuseme ukweli, kisiwa cha Mafia umeshawahi kusikia habari yoyote mfano kama Serikali zinavyofanyika mikoa mingine

    Leo baada ya kuona video ikionesha madhara ya kimbunga Hidaya ndio nikajiuliza hivi kisiwa cha Mafia kwa shughuli za Serikali kila siku zinazofanyiwa kikazi upande wa Mafia mbona kama ni kimya sana. Wajuzi
  18. T

    SoC04 TANZANIA TUITAKAYO: Matumizi ya Sayansi na Teknolojia Katika Uchaguzi Mkuu na Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Utangulizi: Uchaguzi ni Haki ya msingi katika nchi yenye utawala bora ambao ni utawala unaofuata misingi ya sheria, haki, usawa, uwajibikaji, ushirikishwaji, demokrasia katika kuchochea uhuru binafsi katika ushiriki wa wananchi kuchagua viongozi wanaowahitaji na kuwaona wanafaa katika kuwaletea...
  19. Serikali Yaahidi Kuchukua Hatua Kali za Kisheria kwa Mabaraza Yanayofanya Maamuzi ya Migogoro ya Ardhi kwa Mienendo ya Rushwa

    SERIKALI YAAHIDI KUCHUKUA HATUA KALI ZA KISHERIA KWA MABARAZA YANAYOFANYA MAAMUZI YA MIGOGORO YA ARDHI KWA MIENENDO YA RUSHWA "Lini Serikali itahamisha Mabaraza ya Ardhi kwenda kwenye mfuko wa Mahakama?" - Mhe. Jafari Chege Wambura, Mbunge wa Jimbo la Rorya "Katika jitihada za kuboresha mfumo...
  20. P

    Je wewe ni mpinzani, mkosoajiau, waibua kero kwa Serikali?

    Naomba niweke mambo sawa ili tusiendelee kuumizana. Kutokana na kwamba baadhi ya watu wana uelewa finyu kuhusu misamiati ya mpinzani, mkosoaji, mwanaharakati na sisi waibua kero; kuna watu wameumizwa kwa kuonekana kana kwamba ni wapinzani. Mfano: Bwana mmoja aliona mabweni ya wanafunzi yana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…