serikali

  1. JamiiForums Tanzania LGE2024 Mussa Zungu ajitosa kampeni za Mtaa kwa Mtaa, awaombea Kura Wagombea CCM, Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Mussa Azzan Zungu, ambaye ni Naibu Spika wa Bunge la Tanzania, ameendelea na kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa katika Kata ya Upanga Magharibi, jijini Dar es Salaam. Amengia kuogea na wananchi mtaa kwa mtaa na nyumba kwa nyumba, Zungu amewanadi wagombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika...
  2. JamiiForums Tanzania DOKEZO Serikali itupie macho viwanda vya wahindi, kuna unyonyaji mkubwa dhidi ya wafanyakazi

    Sio siri viwanda ambavyo kuna Wahindi kuna unyonyaji mkubwa sana. Nabaki kushangaa jinsi ambavyo hawa Wahindi kwanza ni wageni katika nchi yetu lakini wanawanyanyasa sana watz mishahara midogo sana. Unamlipaje mtu kutwa elfu 7 yaani atoke asubuhi mpaka jioni saa 11 unampa elfu 7? Hakuna...
  3. JamiiForums Tanzania Itachukua miaka 11 kwa Deni la Serikali kuisha ikiwa hakutakuwa na Mkopo mwingine wowote kwa muda huo huku ikilipa Tsh. Trilioni 8.8 kila mwaka

    Kwa mujibu wa ripoti za Benki Kuu ya Tanzania (BoT) na Wizara ya Fedha, hadi kufikia Septemba 2024, zinaonesha Deni la Serikali lilifikia Tsh. Trilioni 98.5 ambapo kwa kipindi cha miaka 9 Deni hilo limeongezeka kwa Tsh. Trilioni 64.2. Ili Tanzania iondokane na Deni hilo, itachukua miaka 11...
  4. JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 Katibu wa Uenezi CCM Zanzibar: Serikali Ya Umoja Wa Kitaifa (GNU) inaenda kufa 2025. Naumia ila sina jinsi!

    Wakuu, Hivi karibuni Katibu wa Kamati Maalum ya NEC, Idara ya Itikadi,Uenezi na Mafunzo CCM Zanzibar Khamis Mbeto Khamis alisema kuwa serikali ya Umoja wa Kitaifa (GNU) inaenda kujifia 2025 na pamoja na kwamba anaipenda sana aina hiyo ya serikali lakini hana jinsi zaidi ya kuona mwisho wake...
  5. JamiiForums Tanzania Tunaomba serikali iliangalie jengo la Simba hapo msimbazi

    Hili jengo limechoka sana na nashangaa serikali imekaa kimya kwasababu tumetoka kupata majanga wiki iliyopita nilitegemea Ili jengo lingebomolewa maana limechoka. Ndugu zangu siku ya Leo nikiwa katika pita pita zangu nimelishuhudia likidondosha mchanga na Lina nyufa kwenye baadhi ya Kuta...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Serikali inasema kilimo na ufugaji ni muhimu nchini lakini effort yao haipo

    Ukiangalia sector ya kilimo na ufugaji hutupatia fedha nyingi na ajira nchini lakini serikali haiweki macho katika nyanja za mwanzo na zenue kuleta wataalam katika sector hizi. Ukiangalia katika ufugaji na vyuo vyao majengo ni ya mwaka 1950 na ni maeneo wanayotakiwa kusomea maafisa wakuja...
  7. JamiiForums Tanzania LGE2024 Freeman Mbowe akinukisha Uyole Mbeya Serikali za Mitaa. Kumbe CHADEMA ina Watu

    Mkutano wa kwanza leo Novemba 24, 2024 kwa mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Mbowe uliofanyika asubuhi leo Uyole, Mbeya. Mwenyekiti ameambatana na mwenyeji wake mwenyekiti wa Kanda Mhe. Sugu, pamoja na viongozi wengine.
  8. JamiiForums Tanzania Samia Kagera CUP Yahitimishwa kwa Kuwahamasisha Vijana Kushiriki Uchaguzi Serikali za Mitaa

    Mashindano ya Samia Kagera Cup 2024 yaliyowakutanisha vijana na wananchi wa Mkoa Kagera kwa kuwahamasisha kushiriki kikamilifu na kupiga kura katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika tarehe 27 Novemba 2024, kushiriki shughuli za maendeleo, kuonyesha vipaji pamoja na kuongeza ushiriki...
  9. JamiiForums Tanzania Serikali Ijenge shule za Michezo kila Mkoa

    Ndugu wana Jamiiforums Kwanza nianze kwa kuipongeza timu yetu ya taifa (Taifa Stars) kwa kufuzu kushiriki fainali za kombe la Mataifa ya Africa zitakazofanyika nchini Morocco. Ni hatua nzuri na ya kujivunia kuona soka la Tanzania linazidi kukua na kuonesha mwanga mwema wa mafanikio. Pia ni...
  10. D

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Spika Tulia Ackson ajitosa kampeni za Serikali za Mitaa

    Ama kweli kampeni zimeshika kasi. Spika wetu Dk. Tulia Ackson sasa ni mtaa kwa mtaa Mbeya mjini. Baada ya kumaliza mitaa kadhaa sasa amejikita Mtaa wa Ilindi akimpigia kampeni mgombea wa CCM Ndugu Abdul Kilasi na wajumbe wake. "Wana Ilindi twendeni na Abdul Kilasi na wajumbe wake. Huyu ni...
  11. JamiiForums Tanzania LGE2024 Tamko la kutangaza siku ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa kuwa siku ya mapumziko la mwaka 2024

    TAMKO LA KUTANGAZA SIKU YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA KUWA SIKU YA MAPUMZIKO LA MWAKA 2024 KWA KUWA kifungu cha 3 cha Sheria ya Sikukuu za Kitaifa, Sura ya 35, kinampa Rais mamlaka ya kutangaza siku yoyote kuwa siku ya mapumziko kama nyongeza ya siku zilizoainishwa kwenye Jedwali la Sheria...
  12. JamiiForums Tanzania LGE2024 Juma Duni Haji: Serikali ya Mtaa ndio Ufalme wenu, pigeni kura

    Mwenyekiti Mstaafu wa ACT Wazalendo, Juma Duni Haji akiwanadi wagombea wa ACT Wazalendo wa Mitaa ya Mwinyimkuu na Idrisa katika mkutano uliofanyika Mtaa wa Mwinyimkuu Kata ya Mzimuni Jimbo la Kinondoni, Novemba 22, 2024, amesema: "Sasa nyinyi mumeachiwa mitaa miwili. Itakuwa miujiza mitaa hii...
  13. JamiiForums Tanzania Vyuo vikuu Tanzania havina umuhimu wowote, serikali iwekeze kwenye vyuo vya kati

    Ninayeandika hapa si mhanga wa ajira baada ya kumaliza chuo kikuu , maana hamchelewi kusema stress za unemployment zinanichanganya. Nina elimu ya university mwenye shahada ya Usimamizi wa Rasilimali watu na vifani vingine vingi. Ingawa sifanyi kazi ya HRM. Iwe na sharti kila mahali penye...
  14. JamiiForums Tanzania LGE2024 Uchaguzi wa Serikali za Mitaa: Kura yako ni muhimu, usiache kupiga kura

    Kura yako ni muhimu, jitokeze kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa tarehe 27.11.2024, vituo vitafunguliwa saa mbili asubuhi na kufungwa saa kumi jioni.
  15. JamiiForums Tanzania Uchaguzi Serikali za Mitaa, Tunawapongeze Viongozi wa Dini Wanaokemea Udhalimu.

    Toka mchakato wa uchaguzi wa Serikali za Mitaa ulipoanza, tumeshuhudia mambo mengi ya hovyo yakifanywa na TAMISEMI, chini ya Waziri Mchengerwa, kuanzia kutunga kanuni mbaya za kusimamia uchaguzi, kama ile ya kuwalinda wasimamizi wa uchaguzi wasishtakiwe wanapofanya makosa hata ya kijinai wakati...
  16. JamiiForums Tanzania LGE2024 Uchaguzi Serikali za Mitaa, hongereni viongozi wa Dini kwa kusimama katika Imani

    Toka mchakato wa uchaguzi wa Serikali za Mitaa ulipoanza, tumeshuhudia mambo mengi ya hovyo yakifanywa na TAMISEMI, chini ya Waziri Mchengerwa, kuanzia kutunga kanuni mbaya za kusimamia uchaguzi, kama ile ya kuwalinda wasimamizi wa uchaguzi wasishtakiwe wanapofanya makosa hata ya kijinai wakati...
  17. JamiiForums Tanzania Kwanini kozi za uongozi wa serikali za mitaa zitolewe chuo kikuu mzumbe halafu za maedeleo vijijni zitolewe Chuo mipango Dodoma?

    Samia yuko Morogoro, time to trigger Hawa wa mitaa waungane hapo Dodoma?
  18. J

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Wajibu wa Wadau wa Uchaguzi wakati wa Kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    1. Jeshi la Polisi 2. Vyama vya Siasa - 3. Wananchi - 4. Msimamizi wa Uchaguzi Chanzo: TAMISEMI 2024
  19. JamiiForums Tanzania Shule ya Meta Sekondari Mbeya ni mali ya serikali, serikali itueleze CCM waliipataje?

    Shule ya Meta Sekondari ambayo miaka kadhaa kabla ya Uhuru ilijulikana kwa jina la N. A. Middle School, ni moja ya shule za boding'i za wavulana tu na baada ya Uhuru ikajumuisha na wasichana wasiolala shuleni. Mji wa mbeya ulikuwa na shule za tatu kati(middle) tatu, yaani N.A. wavulana, Meta...
  20. JamiiForums Tanzania Ninachojua kuhusu Dhamana za Serikali za muda mfupi /T Bills

    1. Dhamana za muda mfupi zinaitwa Tresury Bonds au T bills✅ 2. Ni uwekezaji kama wa hisa✅ 3. Hazina kodi ✅ 4. Huwezi chukua muda wowote✅ 5. Zinauzwa siku maalumu✅ 6. Ni za serikali siyo binafsi✅ 7. Watu wengi. hawaujui kabisa aina hii ya uwekezaji✅ 8.Dhamana za muda mref zinaitwa Premium...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…