Picha inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii, hususan Facebook, ikidai kuwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa John Heche, ameiomba serikali kuanzisha serikali ya mpito ni ya uongo na inapotosha.
Serikali ya mpito nchini Venezuela imeanza kuwaachilia watu wanaosadikiwa kuwa wafungwa wa kisiasa na mashirika ya kutetea haki za binadamu, katika kile maafisa walichoeleza kuwa ni ishara ya nia njema.
Wizara ya mambo ya nje ya Uhispania ilisema raia wake watano, akiwemo raia mmoja aliye na...
Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Kata ya Manzese wilaya ya Ubungo jijini Dar es salaam, wamekosoa vikali kauli zilizotolewa na Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA John Heche kuhusu madai ya kutaka Uchaguzi Mkuu uliofanyika Oktoba 29 urudiwe wakisema kauli hiyo inapaswa kupuuzwa kwani hakuna...
"Chadema na watanzania tunataka serikali ya mpito isiyoongozwa na Samia itakayowekwa chini ya uangalizi wa taasisi huru za kimataifa kwa kuwa serikali haina uhalali wowote CHADEMA inataka kuanzishwa kwa serikali ya mpito " Mh. John Heche akizungumza na waandishi wa habari leo Desemba 11,2025...
PRESS RELEASE
‼️UTARATIBU WA SERIKALI YA MPITO‼️
Tumetafakari kwa umakini na tumeazimia ✊🏽
👉🏽 Sisi Wananchi wa Tanzania tunasisitiza kwamba hakukuwa na uchaguzi uliofanyika nchini Tanzania tarehe 29 Oktoba 2025 hivyo hadi sasa hakuna utawala wa serikali halali iliyowekwa na wananchi kwa...
Kwa wanaoitakia mema Tanzania, nashauri tuwe wakweli. Serikali ya sasa ni batili na haramu. Hivyo, nashauri tuunde serikali ya mpito kama walivyofanya Bangladesh na Nepal ambapo serikali ya mpito itasimamiwa na mtu mwenye udhu kama Jaji Joseph Warioba.
Hatuhitaji kuletewa na Machawakwera...
Taarifa Kwa Umma na Vyombo vya Habari.
- Maridhiano hayawezi kuongozwa na watu ambao hawafahamu na/au wamegoma kutambua kiini cha machafuko yanayoendelea Tanganyika, nchini Tanzania.
- Tunawaonya watu binafsi, makundi, na wengine wanaojitokeza kushiriki katika kiinimacho cha maridhiano...
Ili Tanzania irudi tulipokuwa nchi ya amani, utu na heshima tunahitaji kwanza kuwa na Serikali ya Mpito (Interim Government). Hii ni kwa sababu kile kinachoitwa serikali ya sasa kimekuwa chanzo kikuu cha migogoro, mateso na maumivu makubwa kwa wananchi.
Kwa muda mrefu tumeona na kushuhudia...
TRANSITIONAL GOVERNANCE IN TANZANIA, FOLLOWING THE 2025 ELECTIONS
WRITTEN BY Nicolas Jovin Clinton Gabone
I do not claim the Authority to act, rather, these are my Personal views as a Tanzanian who is deeply dissatisfied with the arrogance, indifference and disregard shown by the Government...
Serikali ya mpito ya mwaka mmoja ni muhimu Tanzania. Jeshi litangaze kwamba hakuna tena serikali ya Samia na badala yake kuundwe serikali ya mpito kutoka kwa wadau wazalendo.
Lengo ni kupata katiba ambayo ndiyo itatumika, team napendekeza hawa;
1. Dr Slaa
2. Warioba au Butiku
3. Anna Makinda...
Rais wa Mpito, Jenerali Oligui Nguema amepiga marufuku maafisa wa serikali wa nchi hiyo kusafiri nje ya nchi kwa ajili ya likizo. Pia ameweka ukomo wa likizo kwa muda usiozidi wiki moja kwa maafisa hao wa serikali
Msemaji wa Serikali ya Mpito alifafanua kuwa maamuzi haya yanalenga kuhamasisha...
Ndugu zangu Watanzania,
Kule Bangladeshi siku chache zilizopita vijana wa Taifa hilo hususani wanafunzi waliongoza Maandamano makubwa ya kumuondoa Madarakani Sheikh Hasina ,ambaye yeye na serikali yake walikuwa wanatuhumiwa na kushutumiwa kwa masuala mbalimbali ikiwepo kukithiri kwa Vitendo vya...
Muhammad Yunus
Muhammad Yunus, ambaye ni mshindi wa Nobel ndiye atakayeongoza serikali ya mpito ya nchi ya Bangladesh baada ya Waziri Mkuu wa zamani Sheikh Hasina kujiuzulu na kukimbia nchi kufuatia vuguvugu kubwa la kupinga utawala wake lililoongozwa na wanafunzi.
Tangazo hilo limetolewa...
1/7/2024
Vifo vinavyotokana na maandamano ya kushinikiza Rais Ruto aachie ngazi vyafikia 26, baada ya watu wawili zaidi kutokana na majeraha
Kevin Madanga (22) ambaye alipigwa risasi 3 wiki iliyopita amefia Nakuru na Daniel Kakai (17) mwanafunzi kutoka Bungoma aliyepigwa risasi Alhamisi...
Viongozi wa Sudan Kusini wametangaza hii leo kwamba Serikali ya mpito ya nchi hiyo itasalia madarakani kwa miaka miwili zaidi ya muda uliokubaliwa, katika hatua ambayo washirika wa kigeni wamesema inakosa uhalali.
Waziri anayehusika na masuala ya baraza la Mawaziri Martin Elia Lomuoro, amesema...
Wasalaam,
Nimehamasika kuja na uzi tajwa baada ya kumsikia mama rais Samia akionesha kushangazwa na kusikitishwa na minong'ono iliyokuwepo bungeni kipindi kile baada ya aliyekuwa rais wa Tanzania JPM kufariki dunia
Kwa mujibu wa mama,ilimbidi kusoma katiba na hakaona kitu kinachoitwa...
Ndege nyingi za mizigo za US Air Force zimekuwa zinatua Djibouti siku za karibuni.
Hawa TPLF,Tigray People's Liberation Front ilipoanzishwa ilikuwa inaitwa Marxist-Leninist League of Tigray.
Since, I don't know when,there have always been Marxist-Leninists rioting in Ethiopia. Na sasa hivi...
Mkuu wa Jeshi, Jenerali Abdel Fattah al-Burhan, amekubali kuharakisha mchakato wa kurejesha Serikali ya Mpito kufuatia mazungumzo na Marekani na Umoja wa Mataifa (UN)
Mjumbe Maalum wa UN, Volker Perthes amesema majadiliano hayo yametoa Muhtasari wa Mpango unaoweza kukabiliana na Mapinduzi ya...
Serikali ya Mpito Nchini Mali imetoa saa 72 kwa Mwakilishi wa Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi za Afrika Magharibi (ECOWAS) kuondoka Nchini humo kufuatia vitendo visivyoendana na hadhi yake.
ECOWAS imekuwa ikishinikiza Mali kuheshimu ahadi yake ya kufanya uchaguzi wa Urais na Wabunge Februari 2022...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.