Waoneeni size yenu Chadema
Huko mnakokwenda sio
Hivi mnajua nguvu ya FBI na CIA, hao sio TISS inayotumwa na Mafweli na kuendeshwa na Abduli
Yaani Mwanajeshi kutoka USAF umkamate Tanzania Rorya akiwa na mabomu ya kurusha? 😃
Hivi mnaona hayo mabomu ya kurusha ni silaha kubwa na USAF?
Hayo mabomu...
Donald Trump anadai idara ya ya sheria ya Marekani/Department of Justice(DoJ) imlipe $230 million kwa kadhia za uchunguzi na kesi mbalimbali zilizoendeshwa na idara hiyo dhidi yake katika miaka iliyopita, madai hayo itabidi yapitie kwa watu aliowateuwa kuongoza idara hiyo ambao wengi wao...
Serikali ya Marekani imefungwa rasmi baada ya Bunge la Congress kushindwa kufikia makubaliano ya ufadhili wa kuendesha shughuli za kila siku, na hali iliyobaki kuwa sintofahamu kuhusu kinachofuata
Ni mara nyingine tangu 2019 Serikali kufunga shughuli zake, ambapo vyama vya Republican na...
Mnamo Agosti 2025 Serikali ya Marekani ilitangaza ongezeko la zawadi hadi dola milioni 50 kwa yeyote atakayetoa taarifa zitakazosaidia kukamatwa kwa Rais wa Venezuela Hatua hiyo ilichukuliwa kutokana na tuhuma kwamba Maduro anaongoza mtandao mkubwa wa usafirishaji wa dawa za kulevya...
Mtoto Wa El chapo Ovidio Guzman Lopez amekiri kosa baada ya kukutwa na hatia kesi ya kuendesha magenge ya madawa ya kulevya nchini marekani.
Ameweka wazi na kukubali kushirikiana na serikali ya marekani dhidi ya familia yake kwa lengo la kupunguziwa adhabu au muda wa kukaa jela.
Mtoto kaamua...
Shirika la Fedha la Maendeleo ya Kimataifa la Marekani (DFC) wiki hii lipo nchini Tanzania kujadili mikakati ya jinsi ya kuwavutia wawekezaji wa Kimarekani kuja Tanzania ili kushirikiana na makampuni ya Kitanzania, hasa katika sekta za miundombinu na madini muhimu. Kaimu Balozi Andrew Lentz...
Serikali ya Marekani imekifungia Chuo Kikuu cha Harvard kudahili wanafunzi wa kimataifa, na kuamuru wanafunzi wa kigeni waliopo wahamie vyuo vingine au wapoteze sifa ya kisheria ya kuishi nchini humo.
Uamuzi huo umetokana na chuo hicho kuchochea vurugu na chuki dhidi ya Wayahudi, na...
Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia afya ya uzazi na jinsia (UNFPA) limetangaza kuwa Serikali ya Marekani imeamua kukata ufadhili wake wa baadaye kwa shirika hilo. Hatua hii itasitisha msaada muhimu kwa mamilioni ya watu walioko katika mazingira ya migogoro, na kwa wakunga wanaookoa...
Serikali ya Trump imepiga marufuku mahusiano ya mapenzi kati ya wafanyakazi wake walio China na Wachina nchini humo.
Wachina wanamtisha sana mwendawazimu wannabe dictator Trump.
Nitafutieni kiongozi yeyote wa Serikali ya Marekani na majimbo yote 50 ambaye kwenye jina lake anaanza na Professor fulani kama utapata!
Hili ni jina linatumika wakati wewe bado ni mwalimu wa chuo! Ukiacha ualimu hutakiwi kuitwa Professor tena!
Professor kabudi na Tibaijuka wasingetakiwa...
Kampuni ya akili mnemba ya Kimarekani OpenAI yaitaka serikali ya Marekani kuipiga marufuku akili mnemba Deepseek kutoka China ikiita kampuni inayopata usaidizi wa serikali na kudhibitiwa na serikali.
OpenAI calls on US government to ban DeepSeek, calling it ‘state-subsidized’ and...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.