serikali ya ccm

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kutokana na yanayoendelea kwa sasa ni vyema ufahamu kuhusu kikundi cha "Anonymous" ambacho kinasumbua Serikali mbalimbali

    Hiki kikundi hakuna serikali kiliwahi kushindana nacho na kipo dunia nzima na kama mnataka kujibizana nacho subirini wafute mifumo yote ndio mkawe na akili sawa. Historia: Anonymous ni kundi lisilo rasmi la watu wanaojitambulisha kama wanaharakati wa mtandao (hacktivists), ambao hutumia mbinu...
  2. S

    Serikali ya CCM itambue huu utitiri unaoongezeka kila siku wa magari ya ving'ora na taa za bluu unawaharibia sifa kuwa wanadamu kama Watanzania wote

    Hali inaongezeka kila siku nchini za viongozi wa Tanzania kutaka kujitutumua na kujitofautisha na Watanzania wengine, wananchi wa kawaida. Ile roho chafu ya "unanijua mimi ni nani" inawapa kiburi sana watu wanaojiona wao ni watawala nchini, pamoja na watu wa vyombo vyao vya dola. Angalia kwa...
  3. S

    Kwa jinsi inavyoshughulika na wageni wanaokuja kwenye kesi ya Lissu, serikali ya CCM inajikaanga kwa mafuta yake yenyewe kwenye uso wa kimataifa

    Ukichukulia kwamba tayari Ubalozi wa Marekani nchini na Bunge la Ulaya tayari wametoa kauli kuhusu serikali ya Samia kufuata haki za binadamu na utawala wa sheria, na haya mambo yanayotokea nchini kuhusu hawa wageni mashuhuri wanaokuja kwa ajili ya kesi ya Lissu, nashindwa kuelewa ni mtu mwenye...
  4. Kitu kimoja serikali ya CCM ilichoweza na kutamba nacho ni kuweka ugumu wa kumiliki silaha za moto

    Naweza kutoa mifano ambayo sio kazi rahisi kama ilivyokuwa kwetu unachukuliwa kizembe tena nyumbani kwako au mazingira yoyote wakiwa na mamlaka ya silaha ila wewe cha kujitetea huna. Siwezi kuwa mchochezi ila tunajifunza na wenzetu kwa nini walikomesha mambo kama haya hata kama watawala...
  5. P

    Serikali ya ccm yakiri bila kutumia dola kubaki madarakani

    Serikali ya Chama cha mapindinduzi imekiri ya kuwa inatumia vyombo vya dola kuteka, kushambulia pamoja na kuua. Ni ngumu kushinda uchaguzi, ndio maana wote wanaikosoa serikali na chama tunawashughulikia haraka iwezekanavyo. Msidhani kama kuna hatua zitakazochukuliwa, mtasubiri sana hata hili la...
  6. Watekaji na wauaji nawashauri mbadili njia ya kufanya Ukatili, mnajiexpose sana

    Kama ingekuwa Ukatili na kuua na kutesa watu ni best approach ya kufanya Censorship….I think JPM would have been a Champion . Binafsi mnajiexpose sana kitaifa na kimataifa which is not Healthy. Madhara ya kujiexpose hata kwenye ulimwengu wa ki intelligence ni kukaribisha wahuni. hamtoweza ku...
  7. L

    PreGE2025 CHADEMA lazima iwe sauti ya haki na mabadiliko. CHADEMA inaweza kuongoza Watanzania

    Hali ya kisiasa Tanzania sasa ni ngumu, na CHADEMA iko kwenye wakati wa changamoto kubwa. Wananchi wanapigwa na polisi, viongozi kama Tundu Lissu na John Heche wanakabiliwa na ukandamizaji, na haki za msingi zinakiukwa. Hapa kuna ushauri wa kimkakati kwa CHADEMA, kwa uchungu na mwelekeo wa...
  8. Nani anaiharibu amani ya Tanzania ni Tundu Lissu wa CHADEMA au ni viongozi wa serikali ya CCM kwa maslahi yao binafsi?

    Katika hali isiyo ya kawaida kumekuwepo na sintofahamu ya kukamatwa Mwenyekiti wa Chadema Mh. Tundu Antiphas Lissu na kufunguliwa mashtaka ya uhaini, swali ni je? nani anaharibu amani ya taifa letu Tanzania, anayetumia nguvu na kusisitiza uchaguzi uende anavyotaka yeye au yule Lissu anayesema...
  9. PreGE2025 Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC): Wote waliokamatwa kwa kudai haki, wakiwemo viongozi wa vyama vya kisiasa, waachiwe haraka na bila masharti

    Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) limetoa wito kwa serikali ya Tanzania kuwaachilia mara moja na bila masharti viongozi wa kisiasa waliokamatwa kwa kudai haki, likisisitiza kuwa hatua hiyo ni muhimu katika kulinda amani ya taifa, hasa kuelekea mwaka wa uchaguzi. Rais wa TEC na Askofu...
  10. Ni Sera za Serikali ya CCM ndizo zimewajaza Wachina Tanzania wanaoiba Ajira za Wazawa

    Serikali ya CCM kama zilivyo Serikali mbalimbali za Kiafrika zinazopokea misaada ya wachina , Shariti Kuu wanalopewa ni Hilo 'Kuruhusu Raia wa kichina watamalaki bila vikwazo ' . Ongezeko Hilo la utegemezi Kwa Wachina, Kuna uwezekano wa 100% Uchina kua na Uwezo wa kuamua Chama gani kiendelee...
  11. Serikali ya Ccm mmeamua kumsaliti mdau wa maendeleo Justin kimodoi na kushindwa kuuleta Mwili wake Tanzania ili uzikwe!

    Wakuu hii ndo Ccm ninayoijua Mimi ambayo haijali wewe ulikuwa nani , umejitoa kiasi gani n.k Mpaka Sasa Justin kimodoi mwili wake haujaletwa kwao Bukoba kwa ajili ya mazishi . Changamoto kubwa ni pesa. Hii ndo Ccm
  12. Ally Kamwe amekamatwa na serikali ya CCM?

    Mkuu wa Mkoa ni kiongozi wa watu wote, taasisi zote na vikundi vyote. Anapokuwa anatumia pesa ya watu wote kuwapa Tabora United inayoshiriki ligi kuu sawa na timu nyingine sio sawa. Hii ni tofauti na goli la mama ambalo linatolewa kwa timu yoyote inayoshiriki mashindano makubwa. Mkuu wa mkoa...
  13. Serikali ya CCM ikubali kulamba matapishi ya makosa yake; yaani unatumia 5% ya GDP kujenga bwawa la umeme halafu uagize umeme nje? Mnajisikiliza??

    Watu wameng'ang'ania kujadili uhalali wa kuagiza umeme nje ya nchi. Kuna shida ingine kubwa haimulikwi. Tatizo haswa la Tanzania ni kwamba, baada ya ule mradi wa bwawa la umeme kupitishwa na kuanza rasmi, kuna kitu kingine kilipaswa kufanywa sambamba na mradi wa bwawa la Nyerere, nacho ni Power...
  14. Naona sasa uchawa umezidi hapa nchini. Nashauri serikali ya CCM ianze kugawa tuzo za machawa

    Kulikua na haja gani mheshimiwa chawa kuvaa nguo ya aina hii? Hakika Anko Magu alituingiza choo cha kike.
  15. A

    PreGE2025 CHADEMA kutoshiriki uchaguzi mkuu 2025 litakuwa ni pigo kubwa sana kwa Rais Samia Suluhu Hassan na serikali ya CCM kidiplomasia na kiutawala

    No reforms, no election ni mfupa mgumu sana kwa CCM kuelekea uchaguzi mkuu wa kitaifa October 2025. Kama serikali ya CCM italazimisha kufanya uchaguzi pasipo ushiriki wa chama kikuu cha upinzani Tanzania yaani CHADEMA basi litakuwa ni pigo kubwa sana kwa Rais Samia Suluhu Hassan kidiplomasia...
  16. PreGE2025 Mwenyekiti UWT Taifa: Lissu asiitishie serikali ya CCM "atulizane"

    Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Taifa, Mary Pius Chatanda amewataka Watanzania kuyapuuza maneno ya Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu na wawe na imani na Serikali ya Chama Cha Mapinduzi. Pia soma: Pre GE2025 - Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote...
  17. Nimeamua kuunga mkono Juhudi za Serikali ya CCM katika kuwaletea watanzania maendeleo

    Wakuu baada ya kujitafakari kwa kina kwa kipindi kirefu Mimi Wakusoma 12 kwa kushawishiwa na vipaumbele vya awamu ya SITA na kwa namna maendeleo hasa kwenye sekta za elemu na afya nimeamua kujiunga na chama Cha mapinduzi. Sababu zilizonifanya Mimi ambaye nilikuwa radical kwenye maswala ya...
  18. Hali halisi ilivyo Ajira portal: Hii ndiyo serikali ya CCM inayojinasibu kumwaga ajira kwa maelfu ya wahitimu

    Katika maelfu na maelfu ya wahitimu walipo mitaani, Serikali haina nafasi hata moja ya kumuajiri mhitimu wa Accounting? Pamoja na wingi wa wahitimu hususan vijana, serikali imeamua kuwafungia vioo vijana Gen Z! ina maana Serikali nzima, pamoja na thinktank zake imefeli kabisa kuokoa taifa la...
  19. PreGE2025 Mwenyekiti wa BAVICHA Taifa amvaa Wasira, adai Serikali ya CCM imetengeneza ugumu wa maisha

    Mwenyekiti wa BAVICHA Taifa, Wakili Deogratias Mahinyila akiwahutubia wananchi wa Mpwapwa mkoani Dodoma amemvaa vikali Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Stephen Wasira na kudai kuwa Serikali ya CCM imetengeneza ugumu wa maisha
  20. Dkt. Abbas afanya ziara TAFORI, ahamasisha watafiti kufanya tafiti za kimaendeleo

    Na Mwandhishi Wetu Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii Dkt. Hassan Abbas amewahamisisha Wataalamu wa utafiti wa Taasisi ya Utafiti wa Misitu Tanzania (TAFORI), kuandaa miradi mbalimbali ya utafiti yenye kuleta maendeleo chanya ndani ya Taasisi na katika sekta ya Misitu na ufugaji...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…