series

  1. JamiiForums Tanzania Kufananisha Subaru SJG na LC 300 series ni matusi!

    Wanabodi za wikiendi! Nimekuwa nikifuatilia huu mjadala unaoendelea Instagram kuhusu Subaru SJG vs Land Cruiser 300. Kuna hoja zinatolewa kwa confidence sana kwamba Forester SJG inaweza kuipiku LC300. Binafsi nikaona ni vyema tuweke hisia pembeni, tuangalie uwezo wa magari haya kwa uhalisia wa...
  2. JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu Aftermarket Accessories (Dashboard & Android TV) kwa BMW 3 series za miaka ya nyuma.

    Habari za mda Wana jukwaa, Naomba tupeane madini /maoni, hasa kwa wajuzi na Wamiliki wa BMW 3 series sedan (hasa za kuanzia 2011 kurudi nyuma). Kumekuwa na trend ya kufunga aftermarket Accessories kama...
  3. JamiiForums Tanzania Series ya Jack Ryan S02 (2019): Ilitabiri Tukio la Venezuela — Miaka 6 Baadaye Marekani Ikapiga kwenye mshono

    Kuna series moja nzuri sana ambayo sasa ndio inashika vichwa vya habari duniani kote na hii series inaitwa Tom Clancy's Jack Ryan. Mfululizo wa Tom Clancy’s Jack Ryan unamuhusu mwamba mmoja wa kuitwa Jack Ryan, mfanyakazi wa CIA anayejihusisha na ujasusi wa kimataifa, uchambuzi wa mambo hatari...
  4. JamiiForums Tanzania Kwa Mil 6 Unapata iPhone 17 Pro Max Bila Charger wala Cover au BMW 3 Series na chenji ya Service!

    Maisha yako speed. iPhone 17 Pro Max 512 GB pale iStore Mlimani City inauzwa Mil 6. Kwenye package unapata iPhone, USB C, pini ya kutolea laini na Makaratasi. Hamna kichwa cha chaja, hamna protector, earphone wala kava. Ila kwa iyo iyo bei unapata BMW E90 2007 namba D na inabaki pesa ya...
  5. JamiiForums Tanzania Je M-wekeza ya vodacom wanazingatia formula ya compound interest ya kwenye topic ya sequence and series?

    Heri ya mwaka mpya wanafamilia ya jamii forum. Kwa wenye uzoefu na m-wekeza ya voda, mfano ukiwekeza let say Tsh. 10,000,000/= kwa miaka 10 kwa riba ya 13% kwa mwaka, je baada ya miaka 10 utaweza kupata kias cha Tsh. 33,945,673.899? Kama formula ya compound interest ilivyo? Au wao voda...
  6. JamiiForums Tanzania Contemporary and cross cutting issues, Hii Korean TV series inaweza ikawa case study.

    Affection | The King's Affection. :
  7. M

    JamiiForums Tanzania Hii series ya Daudi na Goliati imenibamba sana

    Nimetokea kuikubali sana hii series Maisha ya Daudi akiwa mchungaji wa kondoo huko milimani akipambana na wanyama wakali huku kaka zake wakiwa nyumbani Maisha ya mfalme Sauli aklivyolewa sifa kuona mafamiko yote ni yake na jinsi alivyo kiuka maagizo ya Mungu Nabii Samueli alietumika kumsaidia...
  8. JamiiForums Tanzania Wazee wa Pixel: Google wamezindua Pixel 10 Series!

    Siku ya leo tar 20 August, Google wamezindua simu zao za Google Pixel kupitia event yao ya Made by Google 2025. Baadhi ya simu zilizozinduliwa ni Pixel 10, Pixel 10 Pro, Pixel 10 Pro XL, na Pixel 10 Pro Fold. Mbali na simu, Google wamezindua pia Pixel Watch 4 Smartwatch na Bud 2a earpods...
  9. JamiiForums Tanzania Ila wanangu hii JF ina mambo hata kama kuna watu wanatuangaliaga kama series huwa wanacheka sana na kutamani season mpya

    Mwamba anasema amejaribu kupata mtoto na mkewe kakosa, akapewa connection na jirani akajaribu kwa mganga ila bado chali alafu anamuambia jirani mtoa connection amjaribu yeye kama kweli atapata mimba, mara paaap jirani kapata mimba na mtoto hataki kutoa🤣🤣🤣 Ila sisi waafrika🚮🚮
  10. S

    JamiiForums Tanzania Website Kali Kwa Tanzania zinazotambulika Kwa movie na series zilizotafasiliwa Kwa Kiswahili

    Leo katika pitapita yangu wadau nnimekutana na moja ya website makini sana ambayo inahusika na maswala ya movie na series zilizotafasiliwa Nahitaji mnisaidie kunipatia majina mengine ya website maana nimekutana na site moja hapa inaitwa SWAFLIX Hii website ipo na movie na series zote za madj...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Nina visa kadhaa vya kusisimua katika maisha yangu, ni wapi naweza kuiuza kwa watengeneza movie / series ?

    Ni visa ambavyo vimewahi kufanya watu wanisikilize kwa umakini mkubwa, kuwa na hamu ya kuendelea kuwasimulia nilipoishia na kuniomba updates. Sioni haja tena ya kusimulia visa vyangu kama hakuna pesa, ni wapi naweza kuuza hivi visa ambavyo ni true life stories na nipate motivation ya kuingia...
  12. JamiiForums Tanzania Honda wanakuja na Honda 0 Series SUV: Baya kuliko Cybertruck ya Tesla!

    Tushawahi kuongelea humu EV kutoka Honda ambayo ni sedan, iliopo katika series 0. Honda 0 Series Saloon: EV yenye muonekano wa ki-future! Hawa jamaa sasa wanaleta SUV yake. Ingawa taarifa za specifications, bei na upatikanaji hazijatolewa, ila ndio hii production type.
  13. JamiiForums Tanzania Acha nitulie sasa nimalizie series yangu kali sana

  14. M

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Nauza BMW 5 SERIES (DYS) TZS. 8m

    Gari haina tatizo lolote Haijawahi kurudiwa rangi popote AC, Engine, Gear box vyote safi . Makumbusho - Dsm . 0717 650800
  15. JamiiForums Tanzania Muhusika wa series ya Mr robot ndio kacheza sinema ya The mature.Ila zinaonesha kuhusu serekali na ubabe na jinsi ya kushindana nazo

    Kwa wale waliofatilia MR robot Mtakuwa sio wageni kuhusu mambo ya utawala na ushenzi wa dunia ulivyo kwa watawala. Sasa amekuja na sinema ambayo kumbe serikali kuna ponjoro wengi.
  16. JamiiForums Tanzania Jitengenezee Streaming Server (Kama Netflix) Local (ya Nyumbani Kwako) [Tutorial]

    Wengi wetu ni wapenzi wa Movies na Series. Streaming services zililetwa kupambana na hali ya watu kutotaka kulipia cable services na pia watu kutumia piracy. Mwanzoni ilikuwa idea nzuri, lakini baada ya streaming companies kuongezeka na bei zao kupanda, inakuwa ngumu sana (haswa kwa sisi wa 3rd...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Series za Marekani / Hollywoon naanza kuziona hazina vibe, Naombeni series za nchi nyingine type ya Narcos

    Series zao wanaingiza sana mambo ya WOKE, kutaka kulazimisha mwanamke aonekane anaweza kazi maalum za wanaume, kuingiza sana mambo ya upinde, kuchochea ubaguzi, n.k. Naombeni series za nchi nyingine type za kina Narcos
  18. JamiiForums Tanzania Nahitaji Series ya THE OVAL uanzia season 03 tafadhali

    Hii series nimeipendea confor ya Mr President. ila pia malezi yawatoto mwenye nayo naomba usiku huu huuu Tyler Perry's The Oval - Season 3 hii link sio rafiki
  19. JamiiForums Tanzania Casting Hercules for God Of War series ( parody)

    Who's your favourite person to play the character of Hercules for God Of War series. 1. Triple H 2. Uncle Snoop 3. Kanye West 4. Hulk Hogan 5. Rambo 6. Van Damme 7. Liam 8. Jack Chan
  20. JamiiForums Tanzania Tecno camon 40 series simu bora kwa mwaka 2025

    Kama utaniambia ni simu Gani unaweza tumia bila wasiwasi kwa mwaka 2025 basi hii ni Series' ya Tecno Camon 40 na Camon 40 pro Toka kampuni Bora kabisa Afrika Tecno. 🎈 Kwanza simu hii imeundwa kwa muundo wa Galaxy Black , ikiwa unaishika mida ya usiku utaipenda sana inavyoonekana sio poa ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…