Nime ulizwa hili swali, kutokana na taaluma yangu, na huyu dada nikakimbia kuangalia ingredient, naona vitamin c, glutathione ila bado Nina mashaka sana nikaona nilete Kwa wataalamu husika watupe elimu Kwa manufaa ya wote, pliz wazee wa kutukana tafdhali hapa ni ulingo wa elimu si kubezana