Sengerema District is one of seven districts in the Mwanza Region of Tanzania, East Africa. It is bordered to the north and east by Lake Victoria, to the south by Geita Region and to the southeast by the Misungwi District.
As of 2002, the population of Sengerema District was 501,915. The district's population has grown to 663,034 in 2012.
Shule ya Secondary Nyampulukano iliyopo Wilaya ya Sengerema Mkoa wa Mwanza ili kupata nafasi ya kuhamia pale au kwa Wanafunzi wanaoanza kidato cha kwanza wanatozwa Tsh. 320,000 au unapeleka mifuko 10 ya saruji pamoja na Nondo nne, kitu ambacho ni kinyume kabisa na utaratibu wa elimu bila malipo...
Anonymous (6198)
Thread
elimu
elimu bure
kazi
nyampulukano
sengerema
shule
takukuru
Katika tukio la ovyo ni hili lakuambiwa washa tochi mchana halafu mnawasha kweli hii nature ya watu wa Sengerema manzingua sana mnawasha tochi mchana huu kweli au ni usiku huko Mwanza?.
Oky Byee..!!!!!
WAZIRI MAVUNDE: MRADI MKUBWA WA DHAHABU SENGEREMA KUCHOCHEA UKUAJI WA UCHUMI NCHINI
☑️ Serikali yasaini mkataba wa nyongeza ya hisa kutoka asilimia 16 hadi 20 na Kampuni ya Nyanzaga
☑️ Mwekezaji arejesha Leseni Serikalini, Waziri Mavunde aagiza kupewa wachimbaji wadogo
☑️ Mradi kugharimu...
Hii ni baada ya Rais Samia kutoa TZS716.33bn kujenga hili daraja la Kigongo Busisi
Rais alirithi Daraja hili likiwa na asilimia 25 za utekelezaji wake, daraja hili lina urefu wa kilometa 3.2 kwa juu ya Ziwa Victoria, na njia za uunganisho za 1.66 km, ikijumuisha barabara pana ya reli ya T4...
Kama wewe huwajui vzr wanawake wa kisengerema asee usioe nini shida ni hivi
Siku mkigombana afu wewe ukatoka jua ukirudi unakuta chumba cheupeeee mweee😁😁
Wanaroga sana wanaume safari za waganga haziishi.
Ugomvi kidogo anakimbilia kwao au kwa mwenyekiti utasikia unpigiwa simu baba fulani...
Tangia mwaka jana mwezi wa 12 (12/2024) mradi umesimama na mkandarasi hayupo eneo la kazi mpka sasa ningependa kujua shida nini au ni mkandarasi mwenyewe ama mamlaka yaan Tanroads Mwanza.
Mradi huu unaotekelezwa na mkandarasi D4N Company Limited tangu mwaka jana mwezi wa 12 umesimama na...
Aliyekuwa Katibu wa Rais wa awamu ya tano Hayati Dkt. John Pombe Magufuli Ndugu Ngussa Samike leo Jumamosi Juni 28, 2025 amechukua Fomu ya Chama Cha Mapinduzi CCM ya kuomba ridhaa ya kupeperusha bendera ya Chama hicho kwenye Kinyang'anyiro cha Ubunge, Jimbo la Sengerema Mkoani Mwanza katika...
Meneja wa Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) Wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza, Francis Prosper, amempongeza Mbunge wa Jimbo la Buchosa, Eric Shigongo, kwa hatua yake ya kupeleka mitambo maalum ya uchimbaji wa barabara katika maeneo mbalimbali ya jimbo hilo, akiahidi ushirikiano...
▪️Mradi wa ujenzi wa mgodi kugharimu Trillioni 1.4
▪️Mgodi kuzalisha Ajira na mapato kwa serikali
Kampuni ya Perseus ya Nchini Australia yatoa tangazo rasmi la kuanza ujenzi wa mgodi wa dhahabu wa Nyanzaga uliopo Wilayani Sengerema Mkoani Mwanza utakaomilikiwa na Kampuni ya Ubia ya Sotta...
Katibu wa CCM Wilaya ya Sengerema, Rashid Semindu, amewataka wananchi wa Buchosa kuendelea kumuunga mkono Dk. Samia Suluhu Hassan na viongozi wengine walioko madarakani ili waendelee kuwaletea maendeleo.
Kauli hiyo ameitoa katika Kata ya Kalebezo, kwenye mkutano wa hadhara uliotishwa na Mbunge...
Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo amesema serikali inakamilisha ujenzi wa kivuko kilichogharimu shilingi bilioni nane, chenye uwezo wa kubeba zaidi ya abiria 800 na magari zaidi ya 20 kwa mara moja, kwa ajili ya kusaidia kurahisisha usafiri katika Kisiwa cha Kome kilichopo Buchosa, Sengerema...
Mkuu wa Wilaya ya Sengerema, Senyi Ngaga, amesema kumekuwa na changamoto ya usafiri katika kivuko cha Kigongo-Busisi kutokana na kuibuka kwa gugumaji jipya linalosababisha hitilafu kwenye injini za vivuko. Kutokana na hali hiyo, baadhi ya vivuko vililazimika kusitisha safari ili kufanyiwa...
Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Wilaya ya Sengerema wameaswa kutojihusisha na wagombea wa "mfukoni" wanaojipitisha majimboni na kata kutafuta nafasi za uongozi kabla ya wakati rasmi wa mchakato wa chama.
Katibu wa UVCCM Mkoa wa Mwanza, Ibrahim Kandumila, alitoa kauli hiyo wakati...
Vikundi 111 vya akina mama, vijana, na wenye ulemavu katika Halmashauri ya Sengerema, mkoa wa Mwanza, vimenufaika na mkopo wa asilimia 10 kutoka kwa Halmashauri hiyo.
Mkuu wa Wilaya ya Sengerema, Senyi Ngaga, akikabidhi hundi ya Shilingi milioni 362 katika maadhimisho ya Siku ya Wanawake...
Chanzo cha habar toka ndani ya ofis ya mkurugenzi halmashaur ya wilaya ya sengerema zinadai kwamba pesa zilizotolewa na mh rais wa jamhuri ya muungano kwa ajili ya kuwainua vijana , akina mama na wazee zinazotokana na 10% ta mapato ya ndani zimetafunwa na ofis ya mkurugenzi wa halmashauri ya...
Kumekuwa na simtofaham kuhusiana na pesa zinatolewa na serikali kwa ajili ya kuinua uchumi wa vijana, akina mama , wazee na walemavu katika halmashaur ya wilaya ya Sengerema.
Awali kulikuwa na tetes ya kwamba pesa hizo zingetoka kabla ya uchaguzi wa serikali za mitaa lakini mpaka sasa hivi...
Kuna Shule ya Msingi Irunda ipo Kata ya Ngoma Wilayani Sengerema Mkoani Mwanza inakabiliwa na upungufu wa madawati ambapo karibu nusu ya Wanafunzi hulazimika kusoma wakiwa wameketi sakafuni.
Shule hiyo yenye Wanafunzi wapatao 900 ina madawati yasiyozidi 60, inapofika nyakati za Mitihani...
Awali ya yote napenda kuushukuru uongozi wa Jamii Forums kwa kuendelea kuruhusu kufichua maovu yanayoendelea kutendeka katika jamii zetu.
Kuna ukatili wa watoto (wanafunzi unaoendelea katika shule ya binafsi (Experancia) iliyoko wilaya ya Sengerema.
1. Watoto wanapatiwa adhabu zenye kuwazidi...
Anonymous
Thread
binafsi
sengerema
shule
shule binafsi
ukatili
watoto
MGODI MKUBWA WA DHAHABU NYANZAGA - SENGEREMA KUANZA UJENZI MKUBWA JANUARI 2025
⚫️ Utakuwa mgodi mpya mkubwa katika kipindi cha Rais Samia
●Mgodi kutoa ajira zaidi ya 1500
● Waziri Mavunde aelekeza mgodi kufuata mpango wa CSR kwa mujibu wa Sheria.
●Aitaka Tume ya Madini kuwajengea uwezo...
Aliyekuwa Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema kupitia ukurasa wake wa X ameonesha namna ambavyo kumeanza kutokea udhaifu na ubabaifu kwenye mchakato wa kuandikisha wapiga kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa.
Hii ni Kata ya Nyamizeze Sengerema Mwalimu ambaye ni Kiongozi na Kada wa CCM...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.