sekta ya elimu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Just Pray

    PostGE2025 Waziri Mkenda na Wanu, wasisitiza kuendeleza mageuzi sekta ya elimu

    Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Mhe. Prof. Adolf Mkenda, pamoja na Naibu Waziri, Wanu Hafidh Ameir, wamesisitiza dhamira ya Serikali ya Awamu ya Sita kuendeleza mageuzi makubwa katika sekta ya elimu nchini. Akizungumza mara baada ya kuwasili katika Ofisi za Wizara tarehe 18 Novemba 2025...
  2. P

    Miaka minne ya Rais Samia katika sekta ya elimu

    Miaka Minne Ya Mama Nyumba 159 za walimu wa shule za msingi zimejengwa katika Mkoa wa Songwe. Ujenzi wa nyumba hizo umewezesha walimu kukaa karibu na shuleni hivyo kutumia muda mwingi kufundisha wanafunzi. #kurayakwanzakwasamia #haijapatakutokea
  3. Nipe Maji

    GE2025 Bilioni 36.596 za mradi wa sequip zilivyo inufaisha dodoma kwenye sekta ya elimu

    Mkoa wa Dodoma ni miongoni mwa maeneo ambayo yamepata fedha nyingi kupitia mradi wa kuimarisha ubora wa Elimu ya sekondari nchini SEQUIP ambapo umepokea zaidi ya Bilioni 36.596 Fedha hizo ambazo zimetolewa na serikali zimetumika kujenga shule mpya 41 za Sekondari ambazo miongoni mwake ni pamoja...
  4. T

    Dkt. Hussein Omar aipongeza TET, atoa wito kuandaa Mtaala utakaosaidia kukabiliana na changamoto ya taka ngumu

    Avutiwa na Utendaji katika Mifumo ya TEHAMA NAIBU Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Dkt. Hussein Mohamed Omar ameipongeza Taasisi ya Elimu Tanzania (TET) kwa jitihada wanazofanya za kukuza Sekta ya Elimu nchini hasa kupitia eneo la mifumo ya TEHAMA inayosaidia katika ujifunzaji...
  5. Nipe Maji

    GE2025 Serikali yatoa zaidi ya Shilingi Bilioni 98 kuimarisha sekta ya elimu Mbeya na Mtwara

    Serikali imetoa zaidi ya Shilingi Bilioni 98.893 kwa ajili ya kuimarisha sekta ya elimu katika mkoa wa Mbeya na Mtwara. Fedha hizo zimetolewa kupitia Mradi wa kuboresha Ubora wa Elimu ya Sekondari-SEQUIP kwa ajili ya kukarabati shule kongwe, kujenga shule mpya, madarasa, nyumba za walimu, na...
  6. R

    Upungufu wa watumishi sekta ya Afya na Elimu Morogoro

    Mkuu wa mkoa Mororgoro Adam Malima amedhiinisha kuwepo upungufu wa waalimu 800 na watumkishi zaidi ya 500 sekta ya Afya, amesema hayo katika baraza Maalum la Madiwani wa Halmashauri ya wilaya ya Mlimba leo Juni 11, 2025 ==== Kikao cha Baraza Maalum la Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Mlimba...
  7. Just Pray

    PreGE2025 Kamati ya bunge ya utawala, katiba na sheria yapongeza uwekezaji wa TASAF sekta ya elimu

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria imeeleza kuridhishwa na uwekezaji wa Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) katika miundombinu ya elimu katika mikoa ya Tanga na Pwani, ikisema miradi hiyo ni hitaji kubwa kwa wananchi wa maeneo husika. Kamati hiyo imetoa pongezi hizo siku ya...
  8. Just Pray

    Mamlaka ya Udhibiti Mkondo wa Juu wa Petroli yaongeza jitihada kufungamanisha sekta ya mafuta na gesi na sekta ya elimu nchini

    Mamlaka ya Udhibiti Mkondo wa Juu wa Petroli (PURA) imeendelea kutekeleza programu mbalimbali zinazolenga kufungamanisha sekta ya mafuta na gesi asilia na sekta ya elimu nchini. Miongoni mwa programu hizo ni pamoja na kutoa fursa kwa wadau wa sekta ya elimu kutembelea miundombinu ya uzalishaji...
  9. S U N N Y

    Maswali yangu kumi kwa sekta ya elimu. Tukiyajibu kwa vitendo tutakua tumewajibu NETO kwa usahihi

    Leo asubuhi nilichapisha uzi hapa kwenye jukwaa la siasa kuhusu Interview za walimu, wengi waliunga mkono hoja ya kuwa interview ziendelee lakini wachache waliendelea kuweka msimamo kua interview ziondolewe kabisa. Bado msimamo wangu mimi mwalimu SADATY H. DAUDI ni kwamba tusiingize siasa...
  10. Just Pray

    PreGE2025 DC Momba amshukuru Rais Samia kwa kutoa fedha nyingi za miradi, katika sekta ya elimu

    Mkuu wa Wilaya ya Momba, Elias Mwandobo, amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa juhudi zake za kutoa fedha nyingi za miradi, hasa katika sekta ya elimu. Akizungumza katika ziara yake ya kampeni ya kuandikisha na kusajili watoto walio nje ya mfumo rasmi...
  11. W

    Unadhani Akili Mnemba (AI) inawezaje kuboresha sekta ya Elimu?

    "Shule za Msingi 1 kati ya 4 Duniani bado hazina Umeme na asilimia 50 ya Shule za Sekondari ndiyo zina Huduma ya Intaneti" Chanzo: UNESCO Siku ya Elimu Duniani huadhimishwa Januari 24 kila mwaka ikiangazia maendeleo na umuhimu wa Elimu katika kuleta maendeleo, usawa na amani. Mwaka huu 2025...
  12. S

    TAMISEMI na Sarakasi za Mtaala Mpya

    Kama kumbukumbu zangu hazijakosea ni mwaka 2004/2005 waziri mwenye mamlaka alibadilisha mtaala ambapo moja ya vitu vya hovyo vitakavyobaki kama simulizi za muda mrefu ni kuunganisha somo la fizikiz na kemia na kupata somo la physics with chemistry pia kufuta somo la agricultre na mengine...
  13. M

    Ajira, elimu na afya: Je, tusiiamini Serikali yetu?

    Toka mwaka jana Serikali iliahidi kutoa ajira kadhaa kwenye sekta ya afya na elimu, kati ya mwezi wa kwanza au wa pili na haijawa, katika bunge la bajeti waziri akaahidi kabla ya June 31 ajira zitakuwa zimetolewa ila hadi leo mwaka mwingine wa fedha umeanza bado kimya. Je, kama hawakuwa na...
  14. C

    SoC04 Maboresho Sekta ya Elimu Tanzania kwa miaka kumi na tano (15) ijayo

    Maendeleo ni Jambo linalohitaji Jitihada kubwa na jumuishi katika Sekta Muhimu kama vile ELIMU, UTALII, VIWANDA, AFYA, SAYANSI NA TEKNOLOJIA Kwa Uhakika Suala la maendeleo ni mchakato wa muda mrefu unaohitaji mikakati na akili kubwa katika kujipanga na kuutekeleza ili kuyafikia matunda yake kwa...
  15. R

    SoC04 Nuru ya Tanzania miaka kumi ijayo Sekta ya Elimu

    NURU YA TANZANIA MIAKA KUMI IJAYO SEKTA YA ELIMU '' Elimu ni ufunguo wa maisha '', huu ni wimbo mkubwa Kwa wanafunzi unaonesha umuhimu wa Elimu katika jamii. Elimu ni ujuzi unaomwezesha mtu yeyote kufanya jambo Kwa ufanisi. Tanzania tumejaaliwa kuwa na vituo mbalimbali vinavyotoa elimu kwa...
  16. Sking zone

    SoC04 Tanzania tuitakayo juu ya sekta ya elimu

    Na hii ndiyo Tanzania tuitakayo hapo baadae juu ya nyanja ya elimu hapa nchini Tanzania Elimu sahihi na bora itafanya kuinua na kuchochea mambo mbalimbali hapa nchini kwani nchi itazalisha wasomi wengi na wenye weledi wa hali ya jui endapo mipango madhubuti itachukuliwa hatua Ili kuujenga...
  17. B

    SoC04 Sekta ya elimu inaitaji marekebisho makumbwa

    1 elimu tulio nayo atuna uhitaji nayo kwa sasa. tuzalishe watoto wenye ujuzi mbali mbali wasome Toka darasa la 5 2 tupuguze muda wa kukaa darasani muda mwingi wa kusoma unafanya elimu isiwe na msaada tena unakuja kuanza kazi unamajukumu mengi umri pay umesha kuacha 3 mtoto anapo fika...
  18. N

    SoC04 Tanzania Tuitakayo: Kwa Miaka 5-25 Ijayo - Katika Sekta ya Elimu

    Katika kipindi cha miaka 5 hadi 25 ijayo, Tanzania inahitaji kuchukua hatua thabiti na bunifu ili kufanikisha malengo ya maendeleo endelevu. Miongoni mwa sekta muhimu zinazohitaji maboresho makubwa ni elimu . Kwa kuzingatia umuhimu wa sekta hii, ni muhimu kuunda mikakati inayohakikisha...
  19. F

    SoC04 Njia za kuifikia Tanzania tunayoitaka katika Sekta ya Elimu

    Katika kutafuta Tanzania yenye maendeleo endelevu na ustawi wa jamii, sekta ya elimu imebeba jukumu kubwa na la msingi. Elimu ni ufunguo wa maendeleo na mabadiliko chanya katika jamii yoyote ile. Katika miaka mitano(5), kumi(10), kumi na tano(15) hadi ishirini na tano(25) iajayo, ni muhimu kuwa...
  20. C

    SoC04 Mabadailiko chanya katika Sekta ya Elimu

    Kwa miaka kadhaa sasa kumekua na wimbi kubwa la vijana wasomi mtaani wasio na ajira, jambo hili limekua likiwavunja moyo wanafunzi waliopo mashulen kwa wakati husika na kupelekea wanafunzi wengine kukatisha masomo yao kabla ya muda sahihi wa kumaliza shule na kisingizio kimekua ni “ hawaoni...
Back
Top Bottom