sekta binafsi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    Suala la mtu kula kwa urefu wa kamba yake lifanyie kwenye ajira za serikalini, ukijaribu sekta binafsi utanyongwa kwa urefu wa hiyo kamba yako!

    Kwa ujumla inajulikana Watanzania wengi sio waaminifu unapowaajiri kazi. Tena wana ukosefu wa uaminifu wa kijinga sana. Unakuta umeajiri watu ambao walisota muda mrefu bila kazi, huenda hata wengine ni ndugu zako. Kisha wanatumia hiyo ajira kuiba hadi wanaifilisi biashara au kampuni...
  2. Fascinating

    Mwongozo Mpya: Kima cha Chini cha Mshahara Sekta Binafsi (Januari 2026)

    Kufuatia marekebisho ya serikali kupitia Labour Institutions (Minimum Wage for Private Sector) Order, 2025, viwango vipya vya mshahara vimeanza kutumika. Ni muhimu kwa kila mfanyakazi na mwajiri kufahamu viwango hivi ili kuhakikisha haki na wajibu vinatekelezwa kwa mujibu wa sheria. Hapa kuna...
  3. Amicable Group

    Je, una jambo lolote linalohusu mifumo ya Serikali au sekta binafsi lakini hujui uanze wapi au ufanyeje?

    Je, una jambo lolote linalohusu mifumo ya Serikali au sekta binafsi lakini hujui uanze wapi au ufanyeje? Je, unajiuliza ni nani wa kumuamini akusaidie kutekeleza majukumu muhimu ya kibiashara au binafsi kwa niaba yako? Jibu ni Amicable Group Holdings Limited. Ni kampuni iliyosajiliwa kisheria...
  4. J

    RC Mtaka adai Wakinga, Wapemba, Wanyantuzu, Waha, na Wachaga, ndio vinara wa sekta binafsi Tanzania.

    ..RC Mtaka anadai Kariakoo haiwezi ku-survive bila ya uwepo wa Wakinga. ..sikiliza mahojiano yake hapa chini. https://www.youtube.com/watch?v=USgtsZ6LwvY
  5. H

    Njia madhubuti ya kupunguza tatizo la ajira Tanzania ni kwa kuweka nguvu zaidi kwenye sekta binafsi

    Uimarishaji wa Sekta Binafsi: Sekta binafsi ndio chanzo kikuu cha ajira katika nchi nyingi duniani. Mfano, nchini Kenya, serikali imewekeza katika kuimarisha mazingira ya biashara kwa sekta binafsi kupitia mpango wa Big Four Agenda, ambapo viwanda vya ndani vimepewa kipaumbele. Tanzania pia...
  6. robbyr

    Mateso ya Sekta binafsi ye NSSF wanatunyima mafao yetu

    Tuliofanya kazi sekta binafsi kwa mshahara kidogo na mateso makali na mwisho Mungu akajalia tukapata serikali leo tunajua pesa ya NSSF itakuwa msaada kwetu lakini sheria za hovyo alizopitisha Magufuli tunanyimwa. Naomba serikali ione huruma ili tunaopata kazi serikali tulipwe hiyo pesa ili...
  7. M

    Serikali yaongeza mshahara wa kima cha chini Sekta binafsi mpaka Tsh 358,322

    Serikali kupitia Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu imetangaza kima cha chini cha mshahara wa sekta binafsi ambapo sasa itakuwa ni Sh358,322 kutoka Sh275,060 ikiwa ni ongezeko la asilimia 33.4. Kima hicho kitaanza kutumika rasmi Januari Mosi mwaka 2026. Ikumbukwe Serikali...
  8. Analogia Malenga

    Kwanini Sekta binafsi inapaswa kuwekeza katika Takwimu

    Takwimu zipo katika kiini cha maendeleo, zikichochea maamuzi na uwekezaji unaosaidia kupunguza umasikini na kujenga mustakabali endelevu. Hata hivyo, mifumo mingi ya kitaifa ya takwimu katika nchi za kipato cha chini na kipato cha kati haina rasilimali za kutosha na haijajiandaa kutoa takwimu...
  9. J

    Uchumi wa Tanzania umekamatwa na sekta binafsi wanamiliki trilioni 54 kati ya 77

    ==Kuongezeka kwa rasilimali za sekta binafsi nchini kunatafsiri sera madhubuti za Rais Samia katika kukuza Uchumi shindani na jumuishi ,Mwaka 2020 thamani ya rasilimali zote za Serikali, Mashirika na Taasisi nchini Tanzania thamani yake ilifikia TZS 60.12Trilioni wakati rasilimali za sekta...
  10. Mkalukungone Mwamba

    Serikali Kusaini Sheria ya Kima cha Chini cha Mishahara Sekta Binafsi

    Serikali imesema inatarajia kusaini Sheria ya Mwongozo wa Kima cha Chini cha Mshahara kwa Taasisi za Sekta Binafsi, zinazofanya kazi nchini. Imesema katika mwongozo huo wa hivi karibuni, unatarajia kuainisha viwango vipya vya mshahara, kwa wafanyakazi wa sekta binafsi kulipwa. Waziri wa Nchi...
  11. R

    Rais Samia: Wadau wa Sekta Binafsi wapewe nafasi ya kununua vichwa vya Treni na Mabehewa ili Reli itumike kikamilifu

    Rais Samia akiwa katika ziara Mkoa wa Pwani ameshiriki uzinduzi rasmi wa safari za mizigo za reli ya SGR, Uzinduzi wa kituo cha kimataifa Logistic cha Kwala na uzinduzi wa Bandari Kavu ya Kwala amewataka Viongozi kuendelea kuhamasisha wadau wa sekta binafsi wa ndani na nje ya nchi kuchangamkia...
  12. G TARIMO

    Ongezeko la mshahara sekta ya umma limeshatangazwa sekta binafsi tuendelee kusubiri 😔

    Habari wanajukwaa, Naitwa Godfrey Tarimo, mdau wa maendeleo na mfuatiliaji wa masuala ya kijamii na kiuchumi. Kama wengi mnavyokumbuka, katika maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi (Mei Mosi) mwaka huu, Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania alitangaza rasmi ongezeko la mshahara wa...
  13. CM 1774858

    Thamani ya uwekezaji imefikia Dola Bilioni 12.44 sawa na TZS 33 Trilioni na ajira 188,000 kwa miradi 707 inayotekelezwa na sekta binafsi

    Rais Samia katika kuimarisha dipolomasia ya Uchumi amekuza thamani ya uwekezaji na kufikia $12.44bn sawa na TZS33Trilioni na ajira 188,000 kwa miradi 707 iliyoko katika hatua mbalimbali za utekelezaji. Moja wapo ya nguzo kuu za Dira 2050 ni kuwa katika miaka 25 ijayo nchi yetu iwe na uchumi...
  14. M

    Ilikuwaje Rostam Aziz akapewa nafasi kuwakilisha sekta Binafsi kwenye siku muhimu !?

    Rostam Aziz ni Mfanya biashara mkubwa .Pengine ndiye Mfanyabiashara mkubwa aliyewahi kuingia kwenye siasa kwa kiwango cha juu.Mohamed Dewj pia anaweza kuingia katika orodha hii.Tofauti yao ni kuwa Rostam amekuwa akiingia katika Sayansi ya Siasa kimkakati zaidi. Katika Hali hii ya ushiriki wake...
  15. W

    Nje ya kampuni za kizungu na kijapani, mazingira ya ajira katika kampuni nyingi Tanzania yamejaa mateso, figisu, ubaguzi, maumivu na manyanyaso

    Unakuta hakuna mikataba ya ajira, likizo haijulikani, na ukihoji unaambiwa ‘mlango upo wazi’.” Wanaajiri kwa kuahidi mishahara mikubwa, lakini wanakupa pesa nusu na matusi kamili. Wengine hufanyishwa kazi saa 12+ kwa siku bila malipo ya ziada overtime, muda mchache wa kupumzika au kula ubaguzi...
  16. Jackpiano

    Sekta binafsi baadhi wamepoteza misingi ya uaminifu kwa wafanyakazi nimeona ili sehemu tujadili wenda ikapatikana ufumbuzi

    "Kila mtu anasema 'usimuamini mtu' – Je, jamii yetu na waajiri wa sekta binafsi wamepoteza misingi ya uaminifu?" Ni kawaida siku hizi kusikia msemo: Lakini hali imekuwa mbaya zaidi kwenye ajira, hasa sekta binafsi. Watu wanajituma kazini kwa miaka – kuna likizo kama ukiuza kuna malipo...
  17. W

    Serikali na sekta binafsi kuanzisha vituo vya kukodisha mitambo ya uchimbaji madini

    Serikali kwa ushirikiano na sekta binafsi imejipanga kuanzisha vituo vya ukodishaji mitambo ya uchimbaji madini kwa wachimbaji wadogo ili kuwawezesha kutumia teknolojia za kisasa kufanya shughuli zao kwa tija. Hayo yamesemwa leo tarehe 06 Juni, 2025 na Waziri wa Madini, Mh. Anthony Mavunde...
  18. Bodhichitta

    Kama una mahusiano na mwanamke aliyeajiriwa (iwe sekta binafsi au serikalini) na una nia ya kumuoa, tafadhali tafakari mara mbili

    aslaam, Hakika narudia tena, kama wewe mwanaume una mahusiano yawe ya muda mrefu au mfupi na mwanamke aliyeajiriwa iwe sekta binafsi au serikalini na umeweka Nia ya kumuona hakiyamungu jiulize mara mbili kabla hujachukua huo uamuzi. Nataka nikuambie kitu hapa, ukikutana na mwanamke mwenye...
  19. B

    Kafulila awaita wananchi kushiriki kongamano kubwa la kujadili mchango wa sekta binafsi kwa Tanzania tuitakayo 2050

    Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo Cha Ubia Sekta Binafsi na Sekta ya Umma (PPP CENTRE) na Mtaalamu wa Sera za Maendeleo, David Kafulila, amewataka wananchi kujitokeza kwa wingi kushiriki katika mjadala wa kihistoria kuhusu nafasi ya Ubia kati ya Sekta ya Umma na Binafsi (PPP) unaotarajiwa kufanyika...
  20. B

    PPP na UDSM kujadili mwenendo wa uchumi na nafasi ya sekta binafsi kuelekea Tanzania 2050

    Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPP) kwa kushirikiana na Taasisi ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) imekuja na Kongamano la Wanazuoni kujadili mwenendo wa uchumi na nafasi ya Sekta Binafsi kuelekea Tanzania 2050. Kongamano hili litafanyika Jumanne tarehe 27/05/2025...
Back
Top Bottom