sekretarieti

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Sekretarieti ya Bunge: Kuna mapungufu katika Mkataba wa Bandari na DP World; ukomo wake uwekwe wazi

    Kwa furaha kubwa kabisa napenda kuwataarifu wana JF kuwa kwa tukio litakalotokea leo tarehe 24/07/2023, mjadala wa Dp world ndio unafika mwisho, tujipongeze wote tulioshiriki. Ahsanteni sana. ========== Mdau mwingine pia aliandika: =====
  2. JamiiForums Tanzania Maombi ya Rais Samia Yajibiwa, Tanzania Yachaguliwa Kuwa Makao Makao Sekretarieti ya Baraza la Michezo Afrika Kanda ya IV

    Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Balozi Dkt. Pindi Hazara Chana anayofuraha kuwajulisha Watanzania kuwa kikao cha Baraza la Michezo la Umoja wa Afrika Kanda ya IV Nazi ya Mawaziri kimeichagua Tanzania kuwa Mako Makuu ya Sekretarieti ya Baraza hilo. Aidha, wajumbe wa mkutano wameazimia...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kero ya kuripoti kazini baada ya kupangiwa ajira na sekretarieti ya ajira, halafu unaambiwa urudi nyumbani mpaka upigiwe simu kuitwa!

    Inawezekanaje watu wapange utaratibu ambao siyo rafiki kwa waajiriwa wapya? Iko hivi: Ukipangiwa ajira na sekretarieti ya ajira kwa maana ya kufaulu usaili, unapewa barua ya kuripoti kazini ndani ya siku 14 vinginevyo nafasi yako atapewa mwingine! Hii inamfanya mwajiriwa atafute nauli hata kwa...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Maboresho katika sekretarieti ya ajira: Kwanini mtu wa 'degree' asiruhusiwe kuomba kazi za wenye 'diploma'?

    Kuna jambo gumu kidogo kuhusu sekretarieti ya ajira hususani kwenye ajira zinazowahusu diploma huku wenye 'degree' wakizuiwa kuomba wakati mwenye 'degree' anaweza kuleta matokeo na ufanisi mzuri zaidi. Ombi langu kwa sekretarieti ya ajira na Serikali fanyeni mabadiliko ya sheria au utaratibu...
  5. JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo na Sekretarieti yake hawajui walifanyalo

    ACT wanaishi katika mkumbo mkubwa sana na wala hawatafika popote kwa maana hawana dila za mbele badala yake wanaangalia nyuma. Kitendo cha ACT Wazalendo kumruhusu kiongozi wake kupambana na marehemu kwenye ziara zake za mikoa minne kwa kisingizio cha kuing'oa CCM hakiwezi kufanikiwa. Hakuna...
  6. JamiiForums Tanzania Nukuu za Viongozi wa Sekretarieti ya CCM mkoani Tanga

    NUKUU ZA VIONGOZI WA SEKRETARIETI YA CCM HANDENI MKOANI TANGA. Baadhi ya #NUKUU Hotuba ya Katibu wa NEC, Idara ya Itikadi na Uenezi Ndg. Sophia E. Mjema na Katibu wa NEC, Idara ya Organaizesheni Ndg. Issa Haji Ussi (GAVU) wakati wakizungumza kwenye ukaguzi wa Jengo la huduma za Mama na Mtoto...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Sekretarieti ya CCM ziarani mkoani Tanga

    Wajumbe wa sekretarieti ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Cde Gavu, Cde Mjema na Kenan watafanya ziara mkoani Tanga ya kukagua utekelezaji wa ilani ya uchaguzi na kuimarisha uhai wa chama hicho. #KaziInaendelea
  8. JamiiForums Tanzania Mwenye maswali yanayoulizwa kwenye paper ya written ya Assistant Tax Management officer huko sekretarieti ya Ajira yaweke hapa tujadilieni

    Mwenye maswali yanayoulizwa kwenye paper ya written ya Assistant Tax Management officer huko sekretarieti ya Ajira yaweke hapa tujadiliane.
  9. JamiiForums Tanzania Sekretarieti ya ajira ondoeni kigezo cha cheti cha ERB kwa kozi za mafuta na gesi (petroleum) wekeni kigezo cha COMMON QUALIFICATION SYSTEM

    Kazi yoyote inayohusu mafuta na gesi (petroleum) watangazieni wote waliosomea mafuta na gesi na mwaite wote wafanye usaili atakayepita ndio huyohuyo. Kazi hizi ni: Production, Reservoir, Drilling, Petroleum, Exploration, Processing, Oil and Gas Operation, Quality Assurance and Control. Hizo...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Ifahamu Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma na Majukumu yake

    Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma imeanzishwa kwa mujibu wa kifungu cha 29(1) cha Sheria ya Utumishi wa Umma, Sura ya 298 (iliyorejewa 2019) kwa ajili ya kushughulikia mchakato wa Ajira katika Utumishi wa Umma na kuanzishwa rasmi tarehe 1 Machi, 2010. Majukumu ya...
  11. JamiiForums Tanzania Ukifanya Oral Interview sekretarieti ya ajira wanachukua muda gani kuibadilisha status ya account yako?

    Naombeni kuuliza kuna ndugu yangu anataka kujua: Ukifanya oral interview sekretarieti ya ajira wanachukua muda gani kuibadilisha status ya account yako.
  12. JamiiForums Tanzania Sekretarieti ya Maadili kuhakiki Vigogo 658 wakiwemo Mawaziri na Makatibu Wakuu

    Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma nchini Tanzania imewataka viongozi 658 waliochaguliwa kwa ajili ya uhakiki, kufanya maandalizi ya uhakiki huo. Hayo yamesemwa leo Jumatano Novemba 2, 2022 na Kamishna wa Maadili Jaji Mstaafu Sivangilwa Mwangesi wakati akizungumzia kuhusiana na...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Sekretarieti ya ajira inawanyima haki watanzania kushiriki usaili wa ajira

    Ndugu wanajamvi pazeni hili jambo ratiba za usaili wa NAOT na bodi ya mikopo(Heslb) sio rafiki kwa wasailiwa na inakatisha tamaa kushiriki hatimae vijana wengi wanaotafuta ajira hushindwa kuhudhuria nafasi hizo za usaili. Usaili wa written ufanyike Dodoma Kisha practical ufanyike dar es salaam...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Ajira Portal inahitaji mabadiliko, inakatisha ndoto za vijana wengi kwenye kuomba ajira

    Niende moja kwa moja kwenye point. Lengo la hii mifumo ni kurahisisha process ya kuomba ajira na kuongeza umakini katika kuhakiki taarifa za mwombaji. Kwenye mfumo mtu anawajibika kuupload copy za vyeti zilizokuwa certified. Kwanini mfumo usiwe intergrated na necta directly. Kwanini sehemu ya...
  15. JamiiForums Tanzania Sekretarieti ya Ajira, mnayajua haya?

    Nimesikitika sana baada ya kusikia kwamba pamoja na ajira zote za umma, ukiacha waalimu, kusimamiwa na tume ya ajira, eti kuna taasisi za umma ambazo usaili ukifanywa na tume ya ajira, bado nazo zinakuwa na vigezo vyake kuwachukua waliopita katika usaili wa tume ya ajira. Hili likoje? Mtu...
  16. JamiiForums Tanzania Takukuru na sekretarieti ya ajira chunguzeni haraka kinachotokea DUCE, ni aibu

    Wakuu nimetimba hapa Duce aisee ni aibu. Kuna mazingira yote ya urasimu unaendelea kwenye interview zilizofanyika jana. Tulitegemea matokeo yawekwe kwenye sekretarieti ya ajira lakini haikuwa hivo. Nimefika hapa asubuhi naambiwa eti waliofaulu walipigiwa simu. Mpaka sasa hatujui waliopiga...
  17. JamiiForums Tanzania Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kuna shida sana kwenye mfumo; mfumo hauruhusu watu kuomba kazi pamoja na kuwa na vigezo

    Sekretarieti ya Ajira, hivi hamna mtu wa quality assuarance? ili akague adverts zenu kabla ya kuwekwa kwa portal na kwenye webiste? hivi hamnuoni kwamba kuna kazi nyingi zina makosa? Unakuta kazi ipo kwenye category yako na programme yako iko listed lakini huwezi kuomba kazi unaambiwa programe...
  18. JamiiForums Tanzania Sekretarieti ya ajira tupeni ufafanuzi kw hizo ajira za PURA wasipewe watu waliosomea Petroleum Geology, Petroleum Engineering na Petroleum Chemistry?

    Sekretarieti ya ajira tupeni ufafanuzi kwanini hizo ajira za PURA wasipewe watu waliosomea Petroleum Geology, Petroleum Engineering na Petroleum Chemistry? Serikali ilipokua inaanzisha hizi kozi ililenga watu hawa waajiriwe kwenye taasisi zilizojikita zaidi kwenye mambo ya mafuta na gesi. Sasa...
  19. JamiiForums Tanzania Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma hampo makini katika recruitment system yenu

    Wadau kwema, niwapongeze kwa kufanikiwa kuiona siku mpya hakika Tumepata kibali cha siku mpya. Katika pita pita zangu ktk.mfumo wa fursa za ajira utumishi wa umma, nimekutana na kitu ambacho kimenifanya niwaze na kutilia shaka uweledi wa sekretarieti. Nimeambatanisha picha za moja ya nafasi za...
  20. JamiiForums Tanzania Hivi unaweza kuitwa kwenye interview Sekretarieti ya Ajira bila 'ku-certify' vyeti?

    Habari wakuu, Kwa mliowahi kutuma maombi ajira portal ya sekretarieti ya ajira. Hivi unaweza kuitwa interview sekretarieti ya ajira bila kusatifai vyeti.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…