Habari,
Ni muda sasa utafiti kuhusu sayari ya Mars umekuwa ukiendelea, na mapitio juu ya utafiti huu unaonyesha Mars ni sehemu ambayo hamna wenyewe.
Hii inaonyesha wazi endapo wanadamu tukizichanga karata zetu vizuri basi tunaweza kuanzisha makazi.
Kupitia makubaliano mbalimbali tayari nia...
SIku 2 TU zimebaki
Je umeshachagua Jina la Sayarinje ya Tanzania (Name of Tanzania Exoplanet)
Tanzania tumepewa fursa ya kuipa jina sayari iliyogunduliwa karibuni kuzunguka nyota. Angalia maelezo yake hapa katika tovuti hii
Nenda kwenye tovuti hii kupata fomu ya kupiga kura kuchagua matatu...
Wataalam wa anga wamegundua sayari kubwa ambayo wanasema, haipaswi kuwepo, kulingana na nadharia za sasa.
Ulimwengu huo unaofanana na sayari ya Jupita ni mkubwa sana ikilinganishwa na nyota yake mwenyeji, hatua inayokinzana na wazo kuhusu jinsi sayari zinavyoundwa.
Nyota hiyo ilio umbali wa...
Piga kura kuchagua jina linalofaa kwa sayarinje ya Tanzania
Sayarinje ni sayari zinazozunguka nyota ambazo zipo nje ya mfumo wa Jua.
Tanzania tumepewa fursa ya kuipa jina sayarinje mojawapo iliyogunduliwa karibuni.
Wanafunzi wa shule na wanavikundi mbalimbali wameshindanishwa kupendekeza...
MANDHARI YA KUVUTIA ANGANI - MWEZI BAINA YA SAYARI
(For English version see below)
Kuanzia 29 Oktoba hadi 02 Novemba baada ya Mwezi kutoka kwenye giza ya mwandamo siku ya 28 Oktoba.
Kati ya 29 Oktoba na 02 Novemba, Mwezi utauona unasogea angani ukiangalia upande wa magharibi mara baada ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.