sawa

SAWA is a Japanese singer-songwriter and DJ. In 2009, she signed onto Sony Music Entertainment Japan and joined its sublabel, Epic Records. In 2012, she switched to Bellwood Records and released her 6th mini-album, ソプラノレイン (Soprano Rain).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Rais wa Zanzibar kuwa mbadala wa makamu wa Rais katika kumuwakilisha Rais wa Tanzania katika baadhi ya mikutano ni sawa?

    Tumeshazoea Rais wetu akibanwa anampeleka Mwinyi kumuwakilisha katika shughuli na vikao vya nje ya nchi, Mfano leo Dk. Hussein Ali Mwinyi ameondoka Zanzibar kuelekea nchini Qatar kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Jukwaa la Kimataifa la tatu la...
  2. M

    JamiiForums Tanzania 2025 Rais wetu ni Lissu. Mbowe ni sawa na Zitto, wote Mamluki

    Mbowe anazunguka na Chopper. Mbowe amepewa Landcruiser V8 mbili na Samia. Ana msafara wa V8 kumi nambili, Huku Makamu mwenyekiti wake anabaguliwa. Hana hata gari moja Nadhani ni dhahiri kwamba Samia anataka Mbowe agombee 2025 ili auze ushindi. Watanzania hawatakubali. Chadema siyo mali ya Mbowe...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Kuwapiga wanawake hivi sio sawa hata kama ni wezi

    Hichi kitendo kimeambatana na Ukatili.
  4. JamiiForums Tanzania Ni sawa kwa baba au mama kuwaficha watoto kuwa ana ugonjwa wa (UKIMWI)

    Habari zenu Wana Jamii forums Wazazi wengi wanaishi na ugonjwa wa UKIMWI kwa Siri bila watoto wao kujua na wanatumia ARV kwa siri chumbani. Na wengi wao wanaogopa kueleza Hali zao za Afya kwa familia wakihofia kudharaulika,sababu watoto now days shuleni wanajifunza UKIMWI unatokana na ngono zembe.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Je ni sawa gazeti kupewa pesa na serikali ya nchi nyingine (IPPMEDIA-CHINA)?

    Kwenye gazeti la ippmedia sehemu ya Features kila toleo ni lazima waandike vitu vya kusifia China na propaganda za serikali ya China. Sasa je gazeti hilihilo hitapataje uhuru wa kuandika habari mbaya za China? https://www.ippmedia.com/en
  6. B

    JamiiForums Tanzania Naona sasa Walimu akili zimeanza kuwakaa sawa

    Huko CWT hali siyo shwari. Ni juzi tu mdau mmoja kaleta Uzi juu ya manyanyaso ya vyama vya wafanyakazi Tanzania hasa CWT (Chama Cha Walimu Tanzania). Wadau wengi tulichangia sn hapa. Sasa kumbe ni km tulitia petrol kwenye moto. Leo naamka nakutana na gazeti la NIPASHE likiwa na habari ya Walimu...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Sukuma gang ni itikadi siyo kabila

    Sukuma gang ni itikadi liyoasisiwa na Magufuli inayoamini katika ukatili unaohusisha matusi, utekaji, uporaji, mauaji na uonevu. Kwahiyo itikadi hii isihusishwe na kabila la Wasukuma. Mfano, aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, ndugu Sabaya yeye ni Sukuma gang lakini siyo Msukuma. Wengine ni...
  8. JamiiForums Tanzania Utaratibu wa Chuo cha LITI Morogoro sio sawa kwa watoto maskini

    Ni mara kadhaa Sasa Chuo cha Wizara ya mifugo LITI Morogoro kimekuwa kinawafukuza wanafunzi ambao hawajamalizia ada ya semista ya Pili. Utaratibu huu ni kuwabagua kielimu hasa wanafunzi wanaotoka familia maskini. Watoto hawa wameskika wakimtaja mkuu wa Chuo kuwa kawambia kama hawana ada warudi...
  9. JamiiForums Tanzania Je, ni sawa kuweka kitunguu maji, saumu kwenye upishi wa chapati?

    Jamii mapishi, Juzi nilipika chapati za maji aka kumimina but nikaweka vitunguu maji na saumu wa wakati mmoja pamoja na tangawizi nilikula mbili nikasikia kama nimekunywa K vanT kubwa. Je, kuna mapishi ya namna hiyo au ni hatari.
  10. JamiiForums Tanzania Saili za utumishi kufanyika UDOM ni upendeleo mkubwa, si sawa

    Habari wakuu, Kwa muda sasa hawa sekretariet ya utumishi wa umma imekuwa ikiendeshwa kwa makosa mengi sana ambayo baadhi yamekuwa yakilalamikiwa na hata kuzungumziwa katika vyombo vya uwakilishi na wala hatukuona hatua zikichukuliwa zaidi ya majibu ya "tutalifanyia kazi" Kati ya hayo naomba...
  11. JamiiForums Tanzania Kutoza 'Parking fee' Kwa sehemu Public si sawa

    Yaani umepaki gari mtaan ukaenda tu kwenye fremu za maduka kununua bidhaa ukirudi unakutana na risit ya kulipa ushuru wa maegesho. Ushuru wenyewe wanaenda kugawana psho huko Hazina na Halmashauri kisha CAG anakuta madudu matupu. Hii si sawa
  12. JamiiForums Tanzania Wenye akili hili tumelijua Kitambo tu, ila tunataka kusikia nyie kama MCT mmelitatua vipi

    "Changamoto tunayoiona kwenye Redio ni wamiliki wa Redio kuwaajiri watu Wenye followers wengi. Na mazingira ndiyo yametuhamisha. Kwahiyo huyu mtu mwenye 'followers' Mmiliki wa Redio anaona akichukua atamletea watu wengi" "Ambao hao watu watamletea pesa na yeye kulipa mishahara. Athari ya hili...
  13. JamiiForums Tanzania Goli 2 za Shirikisho ni sawa na offtarget 1 ya Championship

    Hutaki unaacha 🤣🤣🤣
  14. JamiiForums Tanzania Ni vipi nyumba inakuwa na uhaba wa vijiko vya shilingi 300 ?

    Huwa nashangaa sana baadhi ya nyumba tatizo la uhaba wa vijiko linaweza kuwepo kwa muda mrefu, vijiko unakuta ni vya kusubiriana. Hivi mtu anapungukiwa kipi kununua hata vijiko vya buku viwe hata vinne ama vitano ? Tatizo huwa ni lipi hasa ?
  15. JamiiForums Tanzania Tunapopigania haki sawa, Tohara kwa wanawake, Ubaguzi wa rangi, nk. Tusisahau pia kupinga Utoaji wa Mahari

    Utoaji wa mahari ni utamaduni ambao umekuwepo kwa muda mrefu katika jamii nyingi za Afrika na sehemu nyingine duniani. Hata hivyo, kuna sababu kadhaa ambazo zinaweza kufanya utoaji wa mahari kuonekana kuwa ni utamaduni uliopitwa na wakati. Kwanza, utoaji wa mahari unaweza kuchukuliwa kama aina...
  16. JamiiForums Tanzania Mufti Zubeir: Serikali inunue chombo cha kutazamia mwezi

    Swali, Je ni jukumu la Serikali kufanya masuala ya dini? Pili,Kuomba Serikali ifanye sio vibaya maana ni ombi. === Mufti wa Tanzania, Sheikh Abubakar Zubeir amekemea ufisadi, akihimiza jamii kulinda maadili, umoja na mshikamano, huku akiwaomba viongozi wa Serikali na wadau kusaidia upatikanaji...
  17. JamiiForums Tanzania Nipe Jina (Lako), Nikupe Jina la Kiislam Lenye Maana Sawa

    Assalamu alaikum! Eid Mubarak kwa wote wanaoisherehekea leo. Huku tukifurahi katika kipindi hiki chenye baraka, Natoa Offer ya Eid, kwa wewe mkristo huenda unashangaa (wazungu wanasema wonder), Ungekuwa Muislam kwa jina lako hilo hilo la Kikristo, ukichukua maana yake tungepata jina gani lenye...
  18. JamiiForums Tanzania Watanzania tumepewa uhuru kutokea vijiwe vya kahawa, hatuwezi kuwa sawa na walioupigania kutoka msituni

    Ukiangalia historia ya uhuru wa tanzania utaona imechangia kwa kiasi kikubwa kushape fikra za watanzania wa leo, yaani ukisoma huon struggle kabisa zaid ya watu waliokua wanakutania kwenye bao na vijiwe vya kahawa eti ndo wapigania uhuru hao Wako wanaosema historia ya Tanzania imechakachuliwa...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Hoja ya Kitila Mkumbo haiko sawa

    Serikali ikae na kuangalia kwa umakini wazo la Prof. Kitila Mkumbo. Ajira zote zipite secretariate ya ajira full stop ili na watoto wa masikini wapate ajira. Zikipita huko vyuoni wataanza kuweka ndugu na jamaa. Issue ya walimu TAMISEMI waisimamie tu kwani TSC haina huo uwezo watawekana ndugu...
  20. JamiiForums Tanzania Kikosi cha Yanga kilichofungwa na Simba ni sawa na kikosi kile kilichokuwa kinafungwa sana na mzee wa Kiminyio Madaraka Suleimani

    SIMBA VS YANGA;KIKOSI CHA YANGA KILICHOFUNGWA NA SIMBA NI SAWA NA KIKOSI KILE KILICHOKUWA KINAFUNGWA SANA NA MZEE WA KIMINYIO MADARAKA SULEIMANI. Leo 10:15hrs 17/04/20223 Mwaka 1994 timu ya Yanga ilikuwa na timu bora sana lakini kikosi hicho bora kililegezwa na mgogoro mkubwa wa Yanga asili na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…