Wakuu
Hivi karibuni kumekuwa na wimbi la viongozi kutoa kauli za kutisha, kuogofya na kutia mashaka lakini ajabu ni kwamba hawachukuliwi hatua si kwenye vyama vyao wala Serikali wanayoiwakilisha.
Hii inatia mashaka na kutoa ishara kwamba kwa pamoja wameshajua udhaifu wa dereva wa gari kwahiyo...