Naam kwa fikira za kawaida tu....Wachungaji,wainjilisti,mapadre na ma sista hawa watu wamekula kiapo cha kumtumikia Mungu mpaka kufa kwao.Wameweka nadhiri.
Sasa pale wanapo staafu nini tafsiri yake?
Hasa kwa wale wanaostaafu bado wakiwa na nguvu.
Je? kwenye Biblia kuna nabii au mtume yeyote...