sawa

SAWA is a Japanese singer-songwriter and DJ. In 2009, she signed onto Sony Music Entertainment Japan and joined its sublabel, Epic Records. In 2012, she switched to Bellwood Records and released her 6th mini-album, ソプラノレイン (Soprano Rain).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kliniki za Matibabu ya kibingwa wilayani kutokujumisha Wafamasia Bingwa na Wateknolojia Bingwa wa Maabara za Afya kwenye jopo, Haijakaa sawa

    Salaam, mimi nilie mdogo kati yenu nawasalimu. Kwanza kabisa napenda kutambua mchango mkubwa na matokeo chanya yatokanayo na kampeni ya huduma za kibingwa katika Hospitali za wilaya na baadhi ya Vituo vya Afya zinazoendelea nchini kote. Mwezi May mwaka huu, kampeni hizo nadhani zimeanza awamu...
  2. JamiiForums Tanzania Syllabus ya shule za msingi za serikali na private inatakiwa iwe sawa na mtihani uwe mmoja kama ilivyo form four

    Nikiwa Rais shule zote ambazo zinafanya mitihani inayosimamiwa na baraza la mtihani necta kuanzia primary mtihani utakuwa ni wa lugha moja kama ni English wote ni English Sio sawa hata kidogo mtoto wa maskini anamaliza shule ya msingi hana msingi wa lugha ya kingereza ilihali watoto wa wenye...
  3. JamiiForums Tanzania Mtaturu: Wanaosema 'hatuchezi' nao ni sawa na wanaosema 'No Reforms No Election'

    Mbunge wa Jimbo la Singida Mashariki, Mheshimiwa Miraji Mtaturu, amesema kuwa wapo baadhi ya watu wanaojaribu kuonesha tofauti na kutoshirikiana kisiasa, lakini ukweli ni kwamba wengi wao wanafanana kwa kauli na matendo. Akichangia Bajeti ya Wizara ya Ujenzi, Mtaturu alisema: "Mheshimiwa...
  4. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Alichokifanya Msajili wa Vyama vya Siasa kwa CHADEMA ni sawa na mtu muoga kukupiga Konzi alafu akakimbia baada ya wewe kumchoma panapouma

    Wakuu hata msiwaze Wala kuumiza Kichwa , na Ninaomba CHADEMA Msitafute kupoteza muda na huyo Mwendawazimu. Ipo hivi , Msajili na Jeshi la Polisi na Usalama mbumbumbu ambao Sasa wametapakaa Uwanja wa Ndege wa JN kwaajili ya kufatilia Wanachadema wanaosafiri, wanachofanya ni KUICHOKONOA CHADEMA...
  5. JamiiForums Tanzania Kwanini Visiwani ambayo ni 1/383 ya JMT ina haki sawa na Bara?

    Tanzania Visiwani au Zanzibar ina ukubwa wa 2,462 km za maraba ikilinganishwa na Bara yenye ukubwa wa kilometa za mraba 944,841 ni sawa na 1/383. Je ni haki kwa sehemu hizi kuwa na haki sawa? Je nani anamnyonya au kumtumia nani? Je nini kifanyike kutenda haki kulingana na ukubwa na mchango wa...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Vita ya ushuru ya Trump ni sawa na mwizi kupiga mayowe ya mwizi

    Wakati dunia inaendelea kutafakari mantiki ya hatua zinazochukuliwa na serikali ya Marekani kuongeza ushuru wa bidhaa kutoka nje, kauli zinazotolewa na Rais Trump kuwa Marekani “imeibiwa, imeporwa na kudhulumiwa” na maadui na marafiki, inakumbusha historia iliyopitia Afrika ya kuibiwa, kuporwa...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Hivi kuwapigia kura CCM sio sawa na kulikumbatia na kuliunga mkono genge la wasiojulikana?

    Genge la "wasiojulikana" limekuwa likitamba tangu mwaka 2016 mpaka hivi tunavyozungumza. Na waathirika wa genge hilo ni upande mmoja tu wa siasa zetu. CCM ambao wameshika dola ni kama vile hawataki kuwashughulikia genge la "wasiojulikana." Katika historia ya ulinzi na usalama ya Tanzania...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Nahisi kuna kitu hakipo sawa kwa sisi Watanzania

    1. Inawezekanaje watu wanatekwa na watekaji pengine tunawafahamu lakini tuna kigugumizi cha kuchukua ngumu na za haraka dhidi ya hao watekaji? 2. Inawezekanaje wakati mwingine mtu anatekwa hadharani mchana kweupe na mbele ya umati wa watu lakini waliopo hawachukui hatua kuwadhibiti na...
  9. JamiiForums Tanzania Kumbe Hayati Mwalimu Nyerere na Mzee Mwinyi tofauti ya umri ni ndogo sana

    Sijui ni kwanini lkn siku zote niliamini kabisa kwamba Mwalimu Nyerere alikuwa kiumri mkubwa sana umkilinganisha na Mzee Mwinyi, kumbe tofauti ya umri wao ilikuwa ni ndogo sana, Mwalimu mwaka wa kuzaliwa 1922 vs Mwinyi 1925
  10. M

    JamiiForums Tanzania Rais wa Yanga tayari ameshawekwa sawa alipokwenda Dodoma

    Alipokuwa Dodoma na kufika Bungeni inasemekana mamlaka zilimuweka kitimoto na kukubali Yanga kucheza. Tatizo ni namna ya kuwalainisha Mashabiki wa Yanga. Ila tayari kuna mbinu imeshaanza kutumiwa na Ali Kamwe kuanzisha propaganda za majigambo kuwa SIMBA WASIFIKIRI KUWA YANGA INAWAOGOPA. Kwa...
  11. JamiiForums Tanzania Kumuona Xi Jinping akizungumza tofauti na kuhutubia ni sawa na jogoo kutaga

    Huyu mtawala wa China huwa ni kama roboti fulani, sijawahi kumuona akizungumza na viongozi wenzake au akifanya mazungumzo na waandishi wa habari. Huko Kremlin, Moscow ameonekana kama anazungumza na Putin japo camera bado imeficha kiupande na sauti yake kufigishwa
  12. M

    JamiiForums Tanzania KMC kusema wanacheze Dar ili kuwasaidia Simba ni sawa na kutoa penzi kwa Simba kama Zawadi ya kuingia fainali

    Kiongozi mkubwa wa KMC amedai kuwa wameamua kucheza mechi yao na simba Dar es salaaam katika uwanja wa KMC tofauti na walivyopanga awali kucheza mechi hiyo tabora kwakuwa simba wameingia fainali na wanataka wasiwachoshe simba ili wapate muda mzuri wa Kujiandaa na mechi ya Fainali. Kitendo hicho...
  13. JamiiForums Tanzania Je, ni sawa Bunge la EU kuingilia uhuru wa mahakama zetu lakini si sawa AG wetu kufanya hivyo? Kisa ni hizo USD 170 million kwa mwaka wanazotupa

    Kwa tu misaada yao kwetu ambayo ni kiduchu sana kisichofikia hata TSH trillion moja kwa mwaka, hizi nchi za EU zinatuhesabu sisi bado ni koloni lao na maamuzi ya mahakama zetu zinapaswa kufuata maelekezo yao. Hawatambui sovereign yetu. Rais wetu alishawakemea kuhusu jambo hilo. Hata rais wa...
  14. JamiiForums Tanzania Utawala wa Trump waitaka Israel iweke akili yake sawa isaini usitishwaji vita Gaza haraka

    Wakati raisi Donald Trump akijitayarisha kuanza ziara ya mashariki ya kati hivi punde,utawala huo umeonekana kubadili nia ghafla kuhusiana na vita vya Gaza. Katika ziara hiyo raisi Trump atazitembelea Qattar,Saudi Arabia na umoja wa falme za kiarabu bila kuingiza ratiba ya kuizuru Israel.Balozi...
  15. JamiiForums Tanzania Mziki mzuri toka nyikani unakuja tujiweke mguu sawa, unakuja kwa wema ulio wema, ukarimu Umoja na nguvu mpya!, yenye kasi mpya!

    Inshaallah tabarak!, dhamira ni kushika dola na nafasi za uongozi na si uana harakati! °Hata slogan yake inavutia kwa kweli, "CHAMA CHA UKOMBOZI WA UMMA"
  16. C

    JamiiForums Tanzania Je ni sawa mradi wa maendeleo unapokamilika kusubiria uzinduliwe ndio utumike?

    Miradi mingi inapokamilika husubiria kiongozi flani kuzinduliwa ,sawa ni jambo sahihi kuweka alama ya kumbukumbu ya kihistoria lakini sioni kama ni sahihi kuzuia huduma kwani ni kukosa maana sahihi ya malengo mahsusi ya MRADI. JE wewe ipi mbongo yako juu ya hili
  17. JamiiForums Tanzania Photo shoot ya namna hii ni sawa kimaadili?

    Umetoka zako kwenye mihangahiko ya kutafuta pesa, umechoka balaa ukiwa kwenye usafiri unaamua kuingia Facebook kidogo upate kutazama taarifa ghafla unakutana na picha hii ya mke wako na mtoto wako. Je utampongeza mke wako? Ama utalibeba mzima mzima?! Kiuhalisi sidhani kama kuna ulazima wa...
  18. JamiiForums Tanzania Je, ni sawa kutumia viagra ili kukusaidia kwenye mazoezi?

    Wakuu nimeona mtandaoni jambo la kushangaza kidogo nikaona niwashirikishe ili tupeane uzoefu. Majuzi huko Insta niliona body builder mmoja wa Kenya akisema hutumia viagra kabla ya kuingia Gym ili imsaidie kuwa fit zaidi mazoezini. Mwenyewe anasema hakuna madhara kwa upande wake. Binafsi...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Hongereni ITV habari, nimerudi kwenu baada ya kuhitimisha kwamba Azamtv (UTV) habari ni sawa TBC TU

    Huwezi Kuta habari kwa kina za masuala mazito yanayolikumba taifa hili UTV. Hii nchi ni yetu sote sio ya CCM pekee kuonesha habari ambazo ni za kusifia TU mama anaupiga mwingi. Kuna habari za mawakili kunyimwa ruhusa ya kuonana na kujadiliana na mteja wao Tundu Lissu kinyume na Sheria lakini...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Mh. Rais sekta binafsi ni sawa na watoto yatima nchi hii: mafao mkupuo wao 35%, sekta ya umma 40%, kima cha chini ht kikiongezwa hawatekelezi

    Kufanya kazi sekta binafsi nchi hii ni zaidi ya kuwa mtoto yatima hawana mtetezi, kamishna wa kazi yupo tu km bendera. Kuna maeneo km vyuo vikuu binafsi wahadhiri wana mishahara midogo kuliko walimu wa shule za msingi, nendeni vyuo km Chuo Kikuu cha Arusha, walimu tangia waajiriwe wana miaka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…