sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mna siri sana huko nje

  2. JamiiForums Tanzania Gas ni nzuri sana, ni usasa wa kisasa, lakini tusiziache kanuni za ukubwa wa madirisha yetu majikoni

    Gas hutusaidia kutunza mazingira yetu, misitu yetu, pia ni salama endapo kanuni za kiusalama zitafuatwa ikiwapo, kuweka madirisha makubwa katika majiko yetu! ========== Your Gas Stove Might Be Emitting Cancer-Causing Chemicals—Even When You’re Not Cooking. And Children’s Are At Double The...
  3. JamiiForums Tanzania Bw, Mnyika kama kiongozi uliyesaidia transitional, how do you survive?, maswali ni mengi sana!

    Wenye akili zetu tumekaa tu kimya tunakuangalia, #Pole sana bw. FAM.
  4. JamiiForums Tanzania Ukiona kwenye mkutano wamejaa wanaume!! Ogopa sana

    Kwenye mikutano mingi ya kisiasa wanawake na watoto hususani wanafunzi huwa ndo wengi zaidi huku ni nadra kukuta kundi kubwa namna hii la wanaume CCM na serikali yake wana la kujifunza hapa, watu wanatembea kwa miguu wengine umbali wa zaidi ya kilometa mbili, Hawajasombwa kwa magari au maroli...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Harufu Ina nafasi Sana kwenye mahusiano,ni vile huwa tunachukulia poa!

    Umewahi kujiuliza kwanini dume la ng'ombe Huwa linanusa!!?kwanini Kuna baadhi Huwa wananusa hata nguo za ndani hata kama ni chafu tu!!?hivi unajua Kuna baadhi yetu tuliwahi nusa harufu TU ikadinda kabla hujaona hata paja!?na Kuna baadhi yetu ililalala na hatukutaka kuendelea Tena kisa harufu...
  6. JamiiForums Tanzania Mhimili wa CHADEMA katika sanaa wakatika, Ney wa Mitego akana kuwahi kuwa MwanaCHADEMA, Jumatatu ijayo atafyatua santuri matata sana

    Ney wa Mitego sasa ni rasmi kaamua kuachana na chadema. Kila binadamu ana wakati wa kung'amua mambo ya hovyo halafu akatae kutumika vibaya. Ney amewahi kuimba nyimbo nyingi lakini chadema hawajawahi kumualika hata mara moja atumbuize
  7. JamiiForums Tanzania Nafundisha kusponsa matangazo yaruke Facebook na Instagram yawafikie watu wengi sana kwa wafanyabiashara

    Kama unataka kujifunza kusponsa matangazo yaruke Facebook na Instagram yawafikie watu weng saana kama wewe ni mfanyabiashara utanichek inbox nikuunge kwenye group hilo la watu wenye nia hiyo tu 0743 257 669 Nichek whatsapp
  8. JamiiForums Tanzania Safari za kwenda India zitasitishwa na complex medical procedure zitakuwa zinafanyikia hapa Tanzania kwa bei nafuu sana

    Katika jitihada za medical tourism hizi ni baadhi ya complex medical procedure zitakuwa nafuu Tanzania kuliko sehemu yeyote duniani Bone marrow transplant Liver resection Pancreas resection lung resection Coronary Revascularization Surgical Ventricular Restoration Septal Myectomy Thoracic...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Wakenya walitusimanga sana na SGR yao, sasa wanakiona cha moto

    Tanzania ikiwa chini ya utawala wa Rais Kikwete na wakenya wakiwa chini ya Rais Uhuru mwaka 2013 wakazindua treni ya haraka (SGR) inayotumia dizeli na kuifanya Kenya kuwa nchi ya kwanza Afrika Mashariki na ya kati kuwa na treni ya mwendokasi, basi na kwa jinsi wakenya wanavyopenda majivuno...
  10. JamiiForums Tanzania Magaidi wa Hezbollah sasa hivi wanapigika sana huko Lebanon

    Majeshi ya israel sasa hivi yanawashughulikia magaidi wa Hezbollah kwa kuzishambulia kambi zao zilizoko huko Lebanon kusini.
  11. JamiiForums Tanzania Hoja za bunge la Ulaya ni za msingi sana kwasababu bunge lake lina akili kubwa sana, kuna kila sababu ya kusikiliza hoja zao na kupokea mapendekezo

    Hoja za bunge la Ulaya ni za msingi sana kwasababu bunge lake lina akili kubwa, kuna kila sababu ya kusikiliza hoja zao na kupokea mapendekezo Siku zote katika maisha tunapokuwa wadogo tukubali kuwa tumezidiwa, ni jambo la kushangaza tunapoona mabishano kati ya Wanasiasa wa Afrika na Ulaya...
  12. JamiiForums Tanzania Wanawake wa kizambia ni watamu sana jamani.

    Niko zangu huku mbeya kujitafutia riziki,katika mishe zangu nikakutana na pisi kutoka zambia,nikaiimbisha ikanielewa,sasa jana ikabidi initunuku tunda,wakuu demu ni mtamu sio poa,afu kuna raha flani hivi unaipata ukiwa unamchapa manzi ambae hajui kiswahili,yule demu alikua analia kiinglish hadi...
  13. JamiiForums Tanzania Je, kwa siku, week au mwezi April 2025 kuna Matamshi Mabaya ambayo Mdude aliyasema?Labda tuanzie hapo inaumiza sana

    Ndugu wadau wote wapenda amani naomba msaada wa post yoyote iwe maandishi au video ya mdude ambayo ilipelekea kutafutwa ama kuuliziwa na Afande Shabani na Afande Veda. Tafadhari itusaidie kujua chagizo la kupelekea hadi kuvunjiwa mageti na milango ili wampate. Tafadhari ndugu zangu si kwa...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Nakupenda sana mume wangu tajiri wa kusini

    Mume wangu tajiri wa kusini nakupenda sana jamoni yaani bila wewe siwezi kuishi japo wewe ni tajiri ila umeamua kujishusha,kunihudumia,kunilinda na kunijali jamoni wewe ndiyo umenifanya nione thamani ya Maisha tena baada ya kutendwa mume wangu Tajiri wa kusini hivi nimpende nani zaidi yako...
  15. JamiiForums Tanzania Nawakubali sana wanaume wenye six pack

    Moja ya kitu kigumu sana ni kua consistent na mazoezi, ukiona mtu ana six pack maana yale amekua na discipline ya hali ya juu na kua consistent. Consistency beat talent, so mi huwa nawakubali sana.
  16. JamiiForums Tanzania Mwanamke akikuhitaji ana code ngumu sana kueleweka

    Miaka michache nyuma tulianzisha kikundi cha sanaa ya uigizaji mtaani kwetu. Mimi ndio nilitoa hilo wazo na kuwashirikisha vijana wenzangu ambao niliona wanaweza kufanya sanaa ya maigizo. Nilitoa hilo wazo baada ya kuwa nimeacha kufanya mazoezi na kikundi cha MTWARA SUPER FILM, kikundi maarufu...
  17. U

    JamiiForums Tanzania Nimeshangaa Wasabato walijuaje ratiba za mbinguni hadi kudai Yesu alihamia chumba kingine hekaluni mbinguni 22, 10, 1844?!?

    Wadau hamjamboni nyote? Niombe moderator uache Uzi huu ujitegemee wenyewe tafadhali Sio lengo langu kubeza au kukashfu ila navyojua ratiba za mbinguni kwa maana ya siku, mwezi na mwaka hilo husalia kuwa siri ya mbingu Pale mwanadamu anapojidai kujua ratiba za Mwana wa Mungu akiwa hukoo...
  18. JamiiForums Tanzania Nimefurahishwa sana kwa jinsi msanii Said Said alivyo wakera watu

    Leo kila staa anamlaumu said said kias kwamba aliwakera kweli na kutama jana kukimbia ktk ukumbi wa masaki dom.. Ni hivi nilimsikia Said Said kwa kupita radio tbc taifa akichekesha na kuwafurahisha watu mimi sijaona kosa lolote alilo lifanya zaid San nimefurahi amewakera haswa machawa wa ccm na...
  19. JamiiForums Tanzania Kujua kama Serikali inahusika katika Matukio ya Mabaya dhidi ya raia wake ni rahisi sana!

    Wiki iliyopita nchini Kenya mbunge Charles Ong'ondo alishambuliwa na kuuwawa. Leo hii Wauaji wote wamekamatwa na kufikishwa Mahakamani hapo Kenya. Picha hii hapa👇 Huku Tanzania; Mwaka 2017 Tundu Lissu alipigwa risasi 17 kwenye Makazi ya Viongozi wanaolindwa na askari pale Dodoma. Waliofanya...
  20. JamiiForums Tanzania Miezi hii miwili ni ya muhimu sana ili kupata maridhiano ya kisiasa

    Hii miezi miwili. May na June 2025, ni miezi ya kuombea amani ya nchi, uvumilivu, na kubwa kuliko yote ni kuanza maridhiano kati ya jamii na hasa kisiasa. Tuliyoyaona katika kipindi hiki cha miezi miwili iliyopita yanasikitisha na kuashiria kupotea mshikamano wa wananchi wa Tanzania. Tanzania...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…