sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. B

    JamiiForums Tanzania Urgently: Rais Samia nakuomba fanya jambo hili haraka sana uwasaidie wazazi wanao somesha Kayumba

    Walimu wa shule za Kayumba wamegeuza watoto mitaji.. Mtoto bila kwenda shule na Mia tano ya chakula plus Mia tano ya mitihani anapigwa sana au haruhusiwi kuingia darasani. Shule zingine bila buku getini mtoto haruhusiwi kupita getini. Mbaya zaidi hadi wakati wa likizo kama huu walimu...
  2. JamiiForums Tanzania Simu za mikopo chanzo cha wanawake kugongwa sana

    5000 Tu watu wanakazwa balaa mixer michezo ya yas.mikopo vikoba imekuwa mingi sasa kwa kuwa kazi hawana wanaishia kuambukizwa ukimwi kwa Kasi ya ajabu.USAID toka asitishe hela hata kampeni za tacaids zimepungua na kuisha hii NI hatari Sana cheza salama ndugu zangu.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Mademu wamekua cheap sana siku hizi.

    Yani imefikia point mtu anaforce mwenyewe kukuletea mzigo. Noma sana hii.
  4. D

    JamiiForums Tanzania Ndugu/Watoto wa kishua ni changamoto sana. Msaada please..

    Ndugu/Mtoto wa kishua ukimuweka close anaona kama vile unataka kumuomba pesa zake, hivyo anaanza kukukwepa. Ndugu/Mtoto wa kishua ukimuweka mbali bila kuwasiliana naye anaona kuwa inferiority complex inakusumbua kwa kuwa wao matajiri na wewe ni masiki hivyo unawaonea wivu. Yaani ni changamoto...
  5. JamiiForums Tanzania Leo nimenusurika kuuwawa kwa kugongwa hapa Australia kisa Wivu wa wanaume kwa mademu, midemu mitamu sana

    Nikafunga safari baada ya kupata likizo nikaja Brisbane airport kuingia queens land aisee (ila kuingia Australia ni pagumu kama hujajipanga kwa maelezo airport, itakuwa topic ya siku nyingine) Nikafika hotel moja maarufu sitataja Jina, nikakuta mademu wakali tu Nikaanza ku move around ili...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Jezi za Yanga ni mbaya sana. Uongozi wa Club MMEZINGUA

    Injinia Hersi unajulikana jinsi ulivyo Makini lakini katika hili UMEHARIBU . Wenzenu Simba Jezi zao ni nzuri sana na quality ya juu sana, kwanza zinavutia na ukivaa unapendeza. Au jukumu la kutengeneza mlimuachia Ali Kamwe . Ukute katengenezea Kiboroloni kule Moshi WAKAPIGA HELA HAWA
  7. JamiiForums Tanzania Inasikitisha sana na kuonesha hatuna Utu. Majini yametutawala kichwani. Kumuua huyu Dogo?

    Maskini. Wala hakuwa na silaha au kundi la kusema anatishia maisha kiongozi yeyote. Tunamuua kwa sababu za kipuuzi kabisa. Na kunywa damu yake ili kusafisha nyota zetu. Mwangalie hapa anatabasamu.
  8. JamiiForums Tanzania Hivi kwanini watoto wa mke mdogo, watoto wa kambo na watoto wa nje ya ndoa huwa wana visa na nongwa sana?

    Ushawahi kuona mtu ana lalamika na asie na shukrani zaidi ya mtoto wa kambo. Ushawahi kuona mtu ana kihele hele zaidi ya mtoto wa nje ya ndoa? Ushawahi kuona mtu ana roho mbaya zaidi ya mtoto wa mamdogo? BASTARD CHILD.🚮
  9. JamiiForums Tanzania Salamu ni kitu cha muhimu sana hata kama hutaki kuongea na majirani zako

    Hata kama uko busy sana jitahidi kusalimia majirani zako na sio kuwapita kama huwajui Siku ukiugua ghafla na huwezi kushika simu kupigia ndugu ndio utajua umuhimu wa kuishi na majirani vizuri. Note: Maisha ni yako sawa ila matanga ni yetu.
  10. JamiiForums Tanzania Hii picha za Hayati Magufuli msibani kwa Kijazi ilizungumza mengi sana

    Jua lilikuwa limefichwa na mawingu mazito siku ile ya mazishi ya Katibu Mkuu Kiongozi, Dk. John Kijazi. Uwanja wa mazishi ulikuwa kimya, ukitawaliwa na sauti za ndege wachache waliokuwa wakiranda angani, kana kwamba nao walihisi huzuni ya siku hiyo. Viongozi na wananchi walikusanyika, wakivalia...
  11. JamiiForums Tanzania Hongera sana mwanariadha Gabriel Geay na inabidi serikali ikuunge mkono

    Hii ndo maana halisi ya kurudisha kwa jamii. Kijana baada ya kufanikiwa kwenye mchezo wa riadha kaamua kurudi kijijini kwao na kujenga kambi ya kisasa ya mchezo wa riadha kisha kuwaweka kambini vijana wadogo wenye vipaji anaowahudumia kila kitu. Ila kanishangaza mno kwa uwekezaji anaoufanya...
  12. JamiiForums Tanzania African Internet Exchange System (AXIS) Project ilikua wazo bora sana, sjui kwann haliendelei

    Mwaka 2010, AU(African union) ilipitishiwa wazo bora sana kuanzisha miundo minu kwa ajili ya internet ya kiafrika, wazo hili lililenga afrika kujitoa kwenye makucha ya internet ya kikoloni, kwa wale ambao hawaelewi internet ya kiafrika namanisha ivi fikiria afrika ikaanzisha mtandao mpana wa...
  13. JamiiForums Tanzania Polepole anaongea kisomi sana, CCM msikurupuke kumjibu

    Yale mambo yenu ya kutegemea waropokaji kumjibu Humphrey Polepole, CCM acheni... Huyu mwamba anaongea kisomi Sana, kiasi kwamba hata wale "Spin doctors" wenu wanapaswa kurudi darasani ili waweze kupimana ubavu na huyu mwamba.
  14. JamiiForums Tanzania Sema watu wana ujasiri sana jamani. Hapa Mtanzania angetoboa kweli?

    Wakuu, Hawa wenzetu wana ujasiri sana mtu unawezaje kuendesha chombo kama hiki kwenye eneo hatari kama hili? Mimi hii sijaribu labda mnipeleke mental hospital Alafu Watanzania sionagi tukifanyaga video za aina hii, kwanini hatupendi kujaribu risky stuffs
  15. JamiiForums Tanzania Kitu ambacho wanawake hawajui ni kuwa Wanaume tunawajua wanawake vizuri sana ila tunazuga hatuwajui kwa Maslahi yetu

    Hamjambo! Moja ya mambo ambayo Wanaume tumefanikiwa kuwarubuni na kuwashawishi wanawake ni ile dhana ya kusema hatuwaelewi wanawake wanataka nini. Na hatuwajui wanawake. Ila kimsingi hiyo ni trick tuu. Wanaume wengi tunajua wanawake wanataka nini. Na tunawaelewa vyema kabisa kuliko hata wao...
  16. JamiiForums Tanzania Tanzania ina watu wengi magenius sana wenye IQ kubwa hususani vyuoni lakini serikali halijui jinsi ya kuwatumia

    Mbeya University of Science and Technology (MUST) Hiki chuo mnakifahamu? Moja ya vyuo vyenye watu magenius hapa Tanzania ni pamoja na hiki chuo. Ubunifu unaofanyika kwenye hiki chuo unaweza sema ni wanafunzi wa Kichina, kumbe ni wa hapahapa Bongo. Kwa mtu anayejua chuo cha MUST nadhani...
  17. JamiiForums Tanzania Kwa wale ambao mlimpenda sana Hayati Magufuli, basi David mwaijojele wa CCK, Ndiye!

    High quality copy ya hayati Magufuli pekee ni bw. David Mwaijojele, trust me or not, kwa wale watu wa msimamo mkali mmepata mtu mwenye wajihi sahihi, mfuatilieni nyendo zake na sera zake pamoja na msimamo yake!, kwa wale ambao bado mnamisimamo mikali pitieni njia hiyo jiungeni kwa wingi...
  18. JamiiForums Tanzania Hata Mitume walikuwa Waisrael / Wayahudi napata shida sana katika hili hasa kutokana na Imani yangu

    Makabila 12 ya Wana Israel 1. Ruben – mzaliwa wa kwanza wa Lea. 2. Simeon – mwana wa Lea. 3.Lawi/Levi – mwana wa Lea → kutoka hapa ndio anatoka Nabii Musa na Harun. 4. Yuda (Judah) – mwana wa Lea → kutoka kabila hili walitokea manabii wengi na mfalme Daudi na Suleiman. 5. Isakari (Issachar)...
  19. JamiiForums Tanzania Shule ya uongozi ya Hamphrey Polepole (Kataa Wahuni) inatufungua kwa mengi sana

    Tangu Polepole ameanza series yake kali kabisa ya kataa wahuni, kuna mengi sana nimejifunza na ninaendelea kujifunza. Hakika ni kama jambo la heri sana kwa bwana huyu kutokea na kuendeleza ile shule yake kipindi cha Magufuli. Ni kama vile roho ya Magufuli imemwingia na sasa imentuma kuzungumza...
  20. JamiiForums Tanzania Polepole ana akili kubwa sana anachofanya NI kujitengenezea mazingira mazuri Sana ya kuja kuwa mgombea urais 2045.

    Kwa sababu kausoma mchezo kaona asilimia kubwa ya Hilo kundi la wanamtandao anaowataja wengi wao NI watu wazima wenye zaidi ya Miaka 60 na kama mnavyojua umri tuliopewa na Mungu average NI Miaka 70 so ashajua Miaka 20 ijayo wengi wao watakuwa washarudisha namba kwa mola. Hiyo NI move nzuri Sana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…