sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Nlisema haya kuhusu Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa, ni miongoni mwa Marais wenye udhaifu

    Hapa ni baadhi ya sababu ambazo watu Wafaransa wanamkosoa au kukosa upendo kwa Rais Emmanuel Macron, na kwanini baadhi wanaona “bogus” au haaminiki. Kuna mambo mengi, si yote yatakukubalika na kila mtu, lakini nitajaribu kufafanua kwa nini hisia hizo zipo. Sababu kuu za kutokupendwa kwake 1...
  2. JamiiForums Tanzania Wanawake wanapata Raha sana wakifanywa hivi

    Sasa siyo tuvitako twenyewe tuwe kama skonzi. Yawe matako kweli kweli. Unaweza piga tumatako ukaumiza mkono au kenyewe kakaumia. Ndo maana sisi wengine tunapenda wenye mahips ya kufa mtu na makalio ya haja.
  3. JamiiForums Tanzania Tunaiheshimu sana TCRA lakini hatushindwi kutumia mitandao iliyofungiwa pasipo kutumia VPN

    Kwa heshima kubwa, tungependa kuwafahamisha kwamba katika ulimwengu wa teknolojia ya mawasiliano, hatua za kuzima au kufungia domain moja ya tovuti si suluhisho la kudumu. Tunajua mna uwezo wa kufanya deep packet inspection (DPI) na kufungia domain.. Lakini hilo lisiwape kiburi.. Jamii ya IT...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Madereva wa Taksi Mtandao wananyonywa sana na Makato, wakilalamika wanaonekana wajeuri

    Jaman hebu tazameni katika suala la taksi Mtandaoni hasa huduma ya Bolt. Madereva wanalia 😢 sana kisa commission zao, na ni kweli ni kandamizi sana, 25% ya nauli kweli 😢 kwa mfano safari ya Sh 10,000 Bolt wanakata takribani Sh 2,500 inabaki 7,500. Hapo hutoa pesa ya mafuta kwa hiyo safari...
  5. JamiiForums Tanzania Siku tukimtumia Polepole vizuri, Nchi yetu itapiga hatua vizuri sana

    Kijana huyu anapoongea huchoki kumsikiliza. Hachoshi kama vile Mwalimu Nyerere Huwa hachoshi kumsikiliza hotuba zake. Polepole ana uwezo mzuri wa kujenga hoja na ana akili sana. Unajua mtu mwenye uwezo wa kuongoza na kutenda Huwa anapimwa kwa njia tofauti na moja wapo ni uwezo wa kujenga hoja...
  6. JamiiForums Tanzania Tukio la Kupatwa Kwa Mwezi Leo Septemba 7, 2025

    Habari Leo kuanzia mida ya jioni jua linapozama hadi saa 6 usiku tutashuhudia tukio la kupatwa kwa mwezi Ni vizuri kuwaonesha watoto wetu wawe wanapata uzoefu wa matukio haya Itawasaidia hata wanapokuwa wakifundishwa kujua ni kitu gani wanafundishwa Walimu wametutumia nikaona sio vibaya kushare...
  7. JamiiForums Tanzania Tusamehe sana Sheikh; tulipuuza maneno matakatifu ya Quran

    Haikuwa ni bure kuwapatia uongozi wanaume juu ya wanawake ndani ya Uislamu. Huu ni uongozi wa kimaumbile ambao unakubalika ndani ya makabila na mataifa mengi duniani; kwamba mwanamme ndio mkuu wa shughuli za mwanamke. Allaah Anasema ndani ya Qur-aan Tukufu (tafsiri): الرِّجَالُ قَوَّامُونَ...
  8. JamiiForums Tanzania Alianza Magufuli kufungia mitandao sasa ametuachia a beautiful playbook ambayo mpaka leo inatumika na itaendelea kutumika sana

    Katika mambo ambayo Magufuli alikuwa hayapendi ni uhuru wa vyombo vya habari mara zote alivichukia Alishawahi kutamka kwamba ingependeza malaika waje wafunge mitandao Tanzania na aliongea waziwazi usiniambie ni mtandao kwa sababu alitamka kwa kinywa chake Mwaka 2018 aliifungia jamiiforums kwa...
  9. JamiiForums Tanzania Ukiongalia idadi ya Guests ambao wapo online , ni kubwa sana leo licha ya watu kutumia VPN

    Muda mwingine serikalini kuna watu wanashangaza hawaoni kuwa wameipa Promo JF ya bure Ebu tazamane maudhurio yalivyo Makubwa Leo muone wenyewe.
  10. JamiiForums Tanzania Swali la wazazi: Umeshanunua kiwanja huko unakoishi? Jibu hili hapa

    Yes,Ukiwa unaishi mjini au mahali popote mbali na wazazi au nyumbani ulipozaliwa,unaporudi nyumbani swali mhimu kutoka kwa wakubwa huwa ni...; umeshanunua kiwanja?? Kama bado hujapata jibu la swali hilo,usisite kunitafuta wakati wowote ili upate kumiliki kiwanja chako kwa gharama nafuu Sana...
  11. JamiiForums Tanzania TTCL Mnazingua sana tena sana

    Hivi ninyi TTCL hii ndiyo nyumbani kumenoga? Yaani huduma za kifedha kwenu ni chamgamoto kubwa sana tena sana. Yaani mnashindwa kuunganisha na mitandao mingine. Pesa zikiingia kwenye namba ya TTCL ni lazima uende kwa wakala na mbaya zaidi mawakala wenu kupatikana ni mtihani mkubwa Hata...
  12. JamiiForums Tanzania Asanteni sana Pilot na Crew wa JamiiForums

    Safari yetu katika ndege hii ya "JF Airlines" inaendelea vyema mno. Abiria tunajisikia raha kwa sababu hatusikii mawimbi wala mitikisiko ya kututia hofu. Yote hii ni kwa sababu ya uongozi imara wa Captain wetu DoubleM pamoja na crew wake mahiri wanaojituma kuhakikisha kila abiria anafurahia...
  13. JamiiForums Tanzania Leo nimekumbuka hii stori nikasikitika sana

    Nilikuwa kanisani mwaka jana. Ikatokea wagonjwa waliokuwa wanahitaji kiti cha magurudumu cha KKKT. Nyumbani nilikuwa na viti viwili vya magurudumu vya baba na bibi. Niliamka asubuhi nikakabidhi. Waliweza kuzitumia kwa wagonjwa. Baada ya semina na mkutano kumalizika, nilihudhuria ibada na...
  14. JamiiForums Tanzania Mnawakumbuka tigo??wazee wa pikpik waliitutesaa sana wakaanza kubeba majukumu ya traffic kabla hawajatolewa resi loh

    n mda sasa leo nimewakumbuka wazee wa tigoo walikuwa wanakamata pikpik na wengine walijilimikisha kabisa mishahara vs bodaboda yaan wakifika kijiweni boda incharge anakuwa ashakusanya mafao wanawapa haitoshi wakanza kuvamia na magari yetu Mungu fundi walifanya matukio kadhaa machafu wakapigwa...
  15. C

    JamiiForums Tanzania Wasabato mlituumiza sana mlipotuaminisha nyama ni mbaya ila nafaka ni nzuri

    Kwa muda mrefu wasabato wamekuwa wakifundisha kuhusu ulaji wa vyakula ambavyo wao waliviita bora huku wakinukuu mafungu ya kitabu cha Daniel ambaye alikataa chakula cha kifalme na akaomba apewe mtama. Wasabato awali wakatafsiri mtama kuwa ni chakula cha nafaka chote na walimu wao wengine hadi...
  16. JamiiForums Tanzania Umbumbu ni tabu sana

  17. N

    JamiiForums Tanzania GE2025 Emmanuel Nchimbi anachemshwa sana sana!

    Jamaa statements zake nyingi zinamtoka sio za moyoni kabisa. Hata alivyokuwa anaongelea swala la maridhiano unaona kabisa sio sauti yake huyu jamaa. CCM mtandao unamtumia vibaya sana, yaani ni kama alivyofanywa Lowasa. 2030 utaona akina Januari Makamba wanarudi kwenye peak na yeye kutupwa...
  18. JamiiForums Tanzania Chid Benz: Wasanii wengi wanatumia cocaine, mimi nilikuwa natumia madawa ya bei rahisi sana

    Msanii wa Bongo Fleva, Rashidi Makwiro ‘Chid Benz’ alipozungumza na Clouds TV, jana Septemba 3, 2025 amefafanua aina ya madawa ya kulevya ambayo yanatumiwa na watu wengi, akichambua pia tofauti ya Heroin na Cocaine.
  19. U

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa picha mbalimbali za Kijana tajiri na maarufu sana barani Afrika Wicknell Chivayo

    Moderator uache Uzi huu uwe huru Tafadhali, mdau weka picha yako
  20. JamiiForums Tanzania Hezbollah huko Lebanon-kusini wanapata taabu sana wanapigika vibaya sana!!!

    Masikini Magaidi wa Hezbollah waliokuwa wanasifiwa na kurambwa Miguu na akina KIBWENGO Ritz Adiosamigo mdogoye gTurn Sasa hivi wanapigwa na hawadhubuti hata tu kurusha jiwe huko Israel!!! Ama kweli waswahili wakisema Tembo akisifiwa mgema hulitia maji!!!!!
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…