sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. Utopolo msijisifu saana, wenyewe Simba tunaojua mambo ya ndani tunajua haikutaka kushinda derby ya jana

    Inashangaza sana kuona mtu anakaa kudai eti Yanga imeshinda kwa ubora. Ukweli ni kwamba kuna mambo ya ndani kwa ndani huko Simba yanayopelekea kupigisha timu shoti na hata mgomo baridi wa wachezaji. Turudi mechi ya nusu fainali dhidi ya Singida. Hivi unahitaji akili kubwa kiasi gani kujua Simba...
  2. Je, ni kweli Rais Samia pamoja na kukopa sana, hakuna mradi aliouanzisha?

    Salaam Wakuu, Eti ni kweli Rais wa Tanzania awamu ya Sita hakuna mradi hata mmoja aliouanzisha? Inadaiwa miradi anayopiga nayo picha ilianzishwa na Hayati Magufuli. Pia hayati Magufuli alikuwa amekopa mikopo ya kujenga miradi hiyo. Hela ambayo samia Kakopa imeenda wapi?
  3. SIMBA wamefanya utoto sana kwa hili na kipigo kwao hakikwepeki

    I salute you kinsmen Hii team yenu ya simba imejaa utoto Walifanya kukaa kimya eti ili yanga wakose mapato. Nani kawadanganya kuwa watu hawataoingia?? Msipoingia basi wanayanga wataujaza na hivi wana ugwadu na nyie Mkiingia tu tunafunga mageti hatutaki mkimbie tena. Hamna tofauti na malaya...
  4. Mrisho Gambo jitahidi hii utakayopata ya kiinua mgongo uitumie vizuri kwakuwa haurudi Bungeni umeumiza sana watu

    Mrisho Gambo kwa jinsi ulivyoumiza watu Sana , nakupa huu ushauri huu usiharibu kiinua Mg on go chako kugombea. I hope you gonna shine with another way Nigga.
  5. KERO Kampuni Ya Mabasi ABC upper class Mnakera Sana

    Naenda moja kwa moja kwenye hoja yangu Kampuni hii ya usafirishaji ina mambo ya kuudhi sana Kwanza simu zao hawapokei, unaweza kupiga simu 1hr zinaita mara busy mara zinaita mara busy Pili muda wao wa safari ni changamoto sana, mfano kama unaenda Iringa usiku wanasema basi linaondoka saa 4...
  6. Vifupisho muhimu ambavyo hutumika katika maisha ya kila siku!

    ~General & Communication 1. ASAP – As Soon As Possible 2. FYI – For Your Information 3. BRB – Be Right Back 4. OMG – Oh My God 5. LOL – Laugh Out Loud 6. BTW – By The Way 7. IDK – I Don’t Know 8. IMO – In My Opinion 9. TBA – To Be Announced 10. DIY – Do It Yourself ~Business & Office 11. CEO...
  7. Rais Samia ulikosea sana kukubali Kuingizwa 'Kichwa Kichwa' katika Siasa za UYANGA na USIMBA, na sasa Mpira wa Tanzania unaenda Kuchafuka mazima

    Na wala hukuanza leo kwani hata mwaka jana Mimi GENTAMYCINE hapa hapa JamiiForums niliwahi kuja na Uzi wa Kukusihi kuwa acha kabisa kukubali kuonyeshwa upande wa Kushabikia na huyo Mshauri wako Mnafiki na Fisadi wa Chalinze Bagamoyo kwani anakuharibia na hukutaka kunielewa kwakuwa ulidanganywa...
  8. China wanatoa vyuma vikali aisee: Imezinduliwa Li Auto i6, SUV moja ya kibabe sana!

    Li Auto i6 ni 5 seater SUV iliozinduliwa hivi karibuni, ikija na option mbili za AWD na RWD. Hii AWD ina motor mbili, moja mbele na nyingine axle ya nyuma. Inakuja na battery 102 kWh na inatoa 536 hp, na top speed yake ni 180 km/h. RWD ina motor moja kwenye axle ya nyuma, na ina total 335 hp...
  9. W

    Wanawake wa Arusha wazuri sana kuwatoa out, hawafeki maisha, wanagonga "nyeupe" kwa uhuru sio visavana, hawana tabia za kumkomoa mtoaji

    Pisi kibao za Dsm na mikoa mingi ukizitoa out huwa ni kama umempa mtoto atm card atumie kwa siku moja, matumizi yao yapo rafu na kikomoaji kununua vinywaji ghali na mavyakula ya bei hadi vya kupeleka nyumbani, atawaita pia marafiki zake ambao ni wazoefu wa kudandia out za wenzao na ni makonkodi...
  10. Wanawake mnajiamini sana

    Unamfanyakazi wako , unaishi naye unamsema vibaya ,unampiga kama mbwa halafu anapika unakula chakula chake kweli ?? Huogopi ipo siku atakuua ataweka sumu kwenye chakula ufe wewe na familia yako . Jingine unamuachia watoto akae nao hata yule mdogo . Halafu ukirudi kelele kuanzia uje hadi ulale...
  11. S

    Kama Mungu yupo anapaswa kuniomba msamaha haraka sana.

    Milango bado ipo wazi kwake.
  12. Kwanini Wakristo wanaishabikia sana Israeli? Sababu hizi hapa

    Kwa nini Wakristo wanawasifia Waisraeli? Kwa nini wanawatetea, wanawaombea na hata kuwatakia baraka? Je, si hao hao waliomkataa Yesu na kumsulibisha? Ukweli wa kibiblia ni huu: Waisraeli ni Wakristo watarajiwa. Ingawa kwa sasa hawamkiri Yesu kuwa ni Masihi, Biblia inaonyesha kuwa watamkiri...
  13. K

    Nani wa kumwambia Irani mchezo anaocheza dhidi ya marekeni ni hatari sana kwa Irani?

    Kwa tuliojaliwa kuwa na jicho la 3 la kutazama tunaona hatari kubwa katika nchi ya irani na tunaona anacheza mchezo hatari unaohatarisha uwepo wake duniani. Naona Irani ikilia kilio Cha kwikwi kali na maumivu yasiyosimulika. Ndio maana najiuliza swali hili: Nani wa kumwambia Irani kuwa mchezo...
  14. Nyumba nzuri sana inauzwa, ipo Dar es Salaam, Goba - Bei ni million 550

    Ghorofa inauzwa Iko Goba lastanza Umbali mita 300 toka lami Inavyumba Vinne (4) vyote master ,sebule 2 juu na chini,jiko kubwa dining, stoo na Choo cha public ENEO Lina sqm 900 Hati ipo Bei mil 550 🇹🇿Call/WhatsApp +255758844717
  15. M

    Msaada: Anayejua kuhusu hili shirika naomba anisaidie

    Maeneo ya kimara suka dsm, kuna shirika linaloitwa (UM) United Mission. Au jina lingine ni Foundation Mission Tanzania (FMT). Wanajihusisha na utoaji misaada kwa jamii, kama kujenga misikiti, makanisa, mashule, uchimbaji visima na mambo mengine kede kede. Wanatoa kazi na misaada kwa wanachama...
  16. Fid q ana upeo mzuri sana wa kuelewa mambo ya kisiasa na kijamii ,hongera Kwake.

    https://www.facebook.com/share/v/1B6PKnEax7/ Video inajieleza.
  17. Iran na Israel: Kutoka Mabest hadi Maadui wa Kuuana

    Iran na Israel: Kutoka Mabeste Hadi Maadui Basi hebu nikusimulie hii stori kali – kama vile tupo vijiweni tunagawana kahawa ya jioni. Zamani hizi, kabla mambo hayajaharibika, Iran na Israel walikuwa kama mabest wa damu. Walishirikiana kwenye biashara, walipigiana tafu kwenye siasa, na walikuwa...
  18. Mashine hii hapa, Iran nehi nehi, Marekani ina silaha za hatari sana ambazo dunia haijui

    Wakuu marekani imeinyesha ni namna gani ikiamua jambo lake hakuna kima anaweza tia mguu. Iran nehi nehi. Iran ameonyeshwa ni namna gani yeye ni mchumba tu kwenye masuala ya vita, wanaume wameingia kwenye anga lake wamefanya yao haooo wamesepa na kuacha vilio nyuma.Iran nehi nehi.
  19. Kuna member aliwahi kusema Iran ikiguswa, ina uwezo wa kutuma maelfu ya makombora kwa mpigo, niliogopa sana

    Mikwara ya makobaz humu kuna wakati hunibabaisha sana, muda wote nilikua na uwoga hawa jamaa labda kuna kitu wanakijua ambacho hatukijui, aidha labda Iran ina uwezo wa kubonyeza na kufyatua makombora 3,000 kuelekea Israel au kuna kitu watafanya na kuishangaza dunia. Kuna kuguswa gani kwingine...
  20. Tetesi: Hakuna Mbunge wa kuletea Jimbo maendeleo unlesss atumie pesa zake mwenyewe, Hizi Mindset ni za kijinga sana.

    Maendeleo ya nchi yataletwa na sera nzuri za kitaifa sio za Jimbo moja la uchaguzi au Mbubunge pale Jimboni kwake.Hizi hadaaa zina tucost sana. Hizi mindi set ndio hufanya wananchi mfano kule Vunjo walimchagua Kimei waki connect na CRDB Bank kwamba labda pesa za CRDB zitahamishiwa vunjo na raia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…