sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Nina mashaka sana na Mange Kimambi. Inabidi atazamwe kwa umakini mkubwa

    Sehemu ya kwanza (01) Binafsi niweke wazi, mimi si kada au mfuasi wa chama chochote kile cha kisiasa , ila huwa sikubaliani na utawala huu usiofaa wa ccm maana ni kama wamejimilikisha nchi na wanafanya chochote kile wanachojisikia . Tamani langu siku moja tuwe na nchi ambayo inajali haki...
  2. JamiiForums Tanzania Nawaombea sana moja kati ya timu za kiarabu ichukue AFCON, kila la kheri kwenu

    Nawaombea sana ndugu zangu waislamu wa Afrika ya kaskazini mmoja aibuke na ushindi/kombe. Morocco Algeria Egypt Tunisia Sudan Senegal Especially hao wa juu mmoja aibuke mshindi na wawakate midomo haters, maana kuna watu weusi hawawapendi waarabu, mara utasikia wanabebwa, mara wanajiangusha...
  3. JamiiForums Tanzania Hii nyimbo harmoniza umeua sana, Haswa kwa sisi tunaopenda nyimbo za taratibu

    "Leo" by Harmonize featuring Mbosso, produced by Mafia, is a heartfelt Bongo Flava love anthem that captures the raw honesty of falling deeply for someone at the most unexpected time. Harmonize opens the song with a nostalgic confession, remembering the first moment their eyes met, the...
  4. JamiiForums Tanzania Ninaumia sana Jeshi langu linapogeuzwa kama kondomu.je tufanyeje? Nashauri badilikeni kbla ya kubadilishwa.

    Simba chawene na matangazo ya kubadili Jeshi la POLISI liwe Jeshi la huduma, Badala ya keshi la vulumai, swali fikirishi nani anae toa amri JESHI liwe hivyo? Tumekubali Jeshi letu limetumiwa kama kondomi kwa kujua ndugu zetu na ndugu zao Leo tunangaza mnatangaza reform reali? Polisi walifanya...
  5. JamiiForums Tanzania Amani inaongelewa sana na viongozi wa serikali lakini utekaji unaendelea nashindwa kuelewa amani ipi wanahubiri

    Viongozi wa serikali kila kona ya nchi hususani waziri mkuu anahimiza amani najiuliza hiyo amani inapatikanaje huku watu wanachukuliwa na kupotea kusopojulikana? Kiongozi unaongelea rasilimali huku ukijuwa kuna watu wanapotea kwanini usikemee tabia hizo zikakomeshwa? watu wakikumbuka ya tarehe...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Miaka inaenda na ninazidi kuona umuhimu wa kuwa na ndugu, nimebaki na marafiki wachache sana watu waliobaki ni ndugu

    Zamani nilikuwa na marafiki wengi, lakini kwa sasa nina rafiki mmoja wa karibu sana. Wengine waliopo ni watu wa kushirikiana nao kazini au mtaani, ni mahusiano ya kijamii yanayosaidia kubadilishana mawazo na kuondoa upweke, lakini si ya kina sana. Katika maisha yangu ya zaidi ya miaka 30...
  7. JamiiForums Tanzania Ubachela kazi sana Mimi mkristo lakin Chrismas nimekula vya kula vya waislam

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Usiombe uwe bachela ni kazi si kidogo aisee Jana kama mnavyojua ilikuwa ni Christmas hivyo asubuhi nimeenda zangu kanisani kama kawaida Kisha kwenye saa sita nikarudi zangu home nikiwa na mawazo nikale wapi maana magenge yote yalikuwa...
  8. JamiiForums Tanzania Bado siku chache sana tumalize mwaka, ni msemo gani uliokubamba mwaka huu 2025

    Wakuu, niko hapa nasoma comment, ni misemo gani au maneno gani yaliyotrend sana huu mwaka.
  9. JamiiForums Tanzania BBC: Habari za Polisi wa Tanzania kuhusu ukatili wa Oct 29 zimesomwa sana kwenye chombo chao hicho cha kimataifa

    BBC: Habari za polisi wa Tanzania kuhusu ukatili wa Oct 29 zime somwa sana kwenye chombo chao hicho cha kimataifa cha BBC.
  10. JamiiForums Tanzania Caesar Nero Alikuwa katili sana alimuua mama yake kwa kumcharanga mapanga, mke na akachoma maadui zake ili tu atawale kwa Raha

    Nero Claudius Caesar aliingia madarakani mwaka 54 BK akiwa na umri mdogo sana, takribani miaka 16. Hakuingia kwa bahati mbaya. Mama yake, Agrippina the Younger, alikuwa mwanamke mwenye ushawishi mkubwa ndani ya siasa za Roma na ndiye aliyepanga kila hatua ili mwanawe apate kiti cha ufalme...
  11. JamiiForums Tanzania Je, Mabeyo anaenda kusimama na wananchi ukiona anaongelea maji ujue anamengi sana maji na mauwaji, ni wazi mauwaji ni tatizo kubwa sana

    Je, Mabeyo anaenda kusimama na wananchi ukiona anaongelea maji ujue anamengi sana maji na mauwaji, ni wazi mauwaji ni tatizo kubwa sana.
  12. JamiiForums Tanzania Kuna wana JF humu wanajitapa kama "GREAT THINKERS", ila ni wahanga wa itikadi ya kumezeshwa na kuletewa waliofanya izidi utashi na tafakuri yao

    Sina mengi ila nina mfano tu mdogo, Mtu anakuambia "mpige huyo mtoto mchanga" Kwa kawaida utashi uliozaliwa utakuambia hii sio vyema kabisa, tafakuri yako itasaidia usute nafsi yako thus utaacha kabisa kumpiga huyo mwana. Lakini kuna huyu "great thinker" nafsi itamsuta lakini ataanza kwa...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Warioba kuwa Iddi Amin aliua Watanzania wachache kuliko serikali ya Samia; Jeshi lijitazame sana

    Nimemsikiliza Mheshimiwa Warioba, amesema kuwa vijana wetu waliouawa na Iddi Amin ni wachache kuliko watanzania waliouawa na utawala wa samia kwa kutumia majeshi yetu. Taarifa ya jambo hili imenitafakarisha sana, kunihuzunisha sana na kushangazwa sana kuona kuwa majeshi yetu yanaweza kufanya...
  14. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Asante sana Mzee Warioba, umeongea kile ambacho CCM imeshindwa kuongea

    Mzee Warioba ameongea mengi ambayo sasa yamenukuliwa mitandaoni Aliyoongea CCM ya sasa haina ubavu wa kuyaongea kwa vile sasa CCM si chama cha wananchi, bali viongozi ambao hawafai kuitwa viongozi. Dondoo muhimu Serikali inahusika na mauaji Waliouwawa ni wengi hata kuliko waliouwawa vita ya...
  15. JamiiForums Tanzania Je, mimi ni mrembo sana au wa size ya kati?

    Kwa wanaume tu naombeni mnipe sifa zangu. Ila mimi ni single mama
  16. H

    JamiiForums Tanzania Asili ya Mwanadamu ni Mchukia Dhuluma. Serikali Dhulumati Itatengeneza Maadui Wengi Sana Dhidi Yake kwa Kukumbatia Dhuluma

    Asili ga binadamu ni kupenda haki, mwanadamu kupenda dhuluma ni kitu ambacho huwa kinapandikizwa na kutengenezwa. Kazi ya kupandikiza dhuluma huwa ni ngumu sana na huwa haishindi kwa sababu inapingana na asili ya binadamu. Siku zote, mwanadamu ambaye dhamira yake haijaharibiwa, husimama na...
  17. JamiiForums Tanzania Mabondia wa TZ ,ukimtoa Mwakinyo 96% ni machawa hatuna budi nao kuwafungia vioo. Wana hiyo wanaita Knockout ya mama wanajimaliza sana

    Mabondia wa Tanzania wengi ni machawa wa CCM , tangu waletewe hiyo knockout ya mama wanazidi kujimaliza kumsifia mama abduli na chama chao cha ccm. Mwakinyo kwenye mkumbo huu kaukataa na mara kadhaa amekuwa akilaani matukio yote ya kihalifu yanayotokea hapa nchini haswa matukio ya kitekaji...
  18. D

    JamiiForums Tanzania Nisiwe mnafiki, napendezwa sana na Usayansi wa kiuongozi wa serikali hii

    Hii serikali kwa Sasa Ina uongozi flani wa kisayansi sana........kwa mwenye akili tu ndo atanielewa lakini kwa mimburura itaishia kutukana tu hapa kama kawaida yao. Nimependa approach zao... Narudia, hakuna serikali itafanya maendeleo makubwa kuizidi hii......hutaki nenda Kenya ukaungane na...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Bila Mange Kimambi nchi ingekuwa na amani sana. Kwa muda mchache aliofungiwa taifa limetulia sana

    Tangu Mange Kimambo afungiwe taifa limetulia sana, Mange alikuwa na mtandao mpana sana wa kupata taarifa zilizokuwa zikizua taharuki kila siku, hii ilimpa nguvu kubwa sana ya kufuatiliwa na hata kusikilizwa. Kila siku alikuwa anaweka vitu vinavyoleta taharuki, mikataba ya rasilimali, utajiri wa...
  20. JamiiForums Tanzania Katika umri huu najitahidi sana angalau kila wiki niangalie movie moja mpya! Katika soko la china hii movie ndo the best kwangu

    Epiphyllum Dream: hii movie ina story line bora sana katika movie zote za china nlizowahi kuziona, Sjajua mtunzi na director ni nani ila walifanya kazi moja kubwa sana hapa, japo ni ya mda kidogo
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…