sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kwa ubaguzi huu bila Senegal kufanya hivi sisi Wafrika, Sisi Weusi tungepata shida sana. Wametuheshimisha.

    Hawa Morocco huwa wao wapo Kimakosa Afrika. Wanadharau sana na kutuona sisi ndugu zao si wa maana. Jana waliumia sana. Senegal kwa kweli Mungu wetu amewasimamia vyema kabisa. Ile dharau ambayo tungeipata sisi? Mungu tu ndo anajua. Najua sisi Waarabu wa Mchambawimba, Makunduuchi hatujapendezwa...
  2. JamiiForums Tanzania Kumbe kwa wagogo kila kitu/jambo kina Mungu wake! Kweli hii Afrika bado sana

    Mimi sishabikii ukabila lakini hili la wagogo wa Dodoma limenishangaza. Eti Chatu ni nyoka wa mvua na haupaswi kumuua hata kukimkuta ndani mwako. Kenge, ni kiumbe wa mavuno na ukimuua basi wagogo watakuala sahani moja nawewe. Pimbi, ni kiumbe wa mitishamba hivyo kuharibu kumfhuru ni kutaka...
  3. JamiiForums Tanzania Ile Power Breakfast ya Akina Babra Hassan na Masoud ilikuwa ya moto sana

    Basi ikifika segimenti ya Bonge utasikia ka Brabra Boonji...then wanataniana hapo aah uendaji kazini unakuwa muruua kabisa hata foleni huioni!!! Gone are the good days!
  4. JamiiForums Tanzania Kemebos Sec.School aliyefeli sana ana Division One ya 7

    Nimepata muda wa kuperuse matokeo ya form 2 NECTA latest results, nimeona watoto wote wa Kemebos wakiwa na Division 1 Point 7. Daaah niwape hongera kubwa waalimu wa hii shule kama hakuna janja janja kwenye ufanyaji wa mitihani. Hata matokeo ya form 4 mtoto aliyefeli sana alipata Division One ya...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Watu mna Siri Sana Padri Kitima amekuwa Askofu na Hamsemi

    Nimesikiliza video ya dada Mmoja anajiita Lucy Michael mkazi wa Yombo Dovya Kata ya Makangarawe, anajitambulisha kuwa yeye ni Mkatoliki akimtuhumu Padri Kitima kwa kujihusisha na siasa, kilichonishangaza huyu Dada Mkatoliki anamuita Padri Kitima kuwa ni Askofu, hapa imebidi nijiulize yaani Padri...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Umasikini unadharirisha sana

    yaani haina haja ya kuwalaumu watu wanaofanya illegal activities kujipatia pesa as long hawaumizi mtu. UKizaliwa familia maskini..kufanikiwa kimaisha ni mtihani sana sana
  7. JamiiForums Tanzania Inasikitisha sana; Anakufa mwanasiasa, wananchi wanashangilia

    Kama ilivyo desturi kisalimia. Nimesalimia. Inanishangaza kufuatia vifo vya wanasiasa kuanzia oct 29. ukifuatilia utakuta wananchi wanashukuru. Hii ni hatari sana. Na nadhani siasa inakwenda kuwa kazi ya ajabu sana maana wanasisa watakuwa wanajificha. Sasa kama mwanasiasa anajua kabisa akifa...
  8. JamiiForums Tanzania Walimu wanafedhehesha sana, wananuka ufukara

    Hawa walimu Kuna mda huwa nawaza ni binadamu wenzetu kweli? Kuna vitu wanavifanya utafikiri hawajasoma vile. Wanakopa too much mpaka wanaacha kadi kwenye vitaasisi vya mikopo kama bayport na plutnum credit. Nipo apa duka moja la mangi ananiambia walimu wote wa shule jirani huwa wanaenda kukopa...
  9. JamiiForums Tanzania Urafiki wa polisi na raia umeharibika sana kwa sababu ya matukio kama haya ya watu kufia mikononi mwao kwa mateso na ukweli unageuzwa

    Siku chache baada ya mahabusu Michael Rambau (18), kudaiwa kujinyonga ndani ya Kituo Cha Polisi Kati-Moshi, mkoani Kilimanjaro, waombolezaji waliokuwa wamekusanyika leo nyumbani kwa wazazi wa marehemu huko Rau, Manispaa ya Moshi ili kushiriki ibada ya maziko yake, wanadaiwa kumfukuza na kumzomea...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Waafrika tuache shobo kwenye matatizo ya nchi za nje, sisi tukipatwa na shida tunapuuzwa kama takataka

    Kumekuwepo na machafuko na matatizo mengi sana hapa Afrika lakini nchi nyingi na hata vyombo vya habari vya kimataifa havitupi attention tunayostahili kwa scale ya matatizo tuliyonayo. Lakini waafrika tumekuwa na shobo sana kwa matatizo yanayotokea ncho za nje, Kinachoendelea Uganda muda huu...
  11. JamiiForums Tanzania Sishangai mzungu kuita afrika "bara la giza", ni 2026 lakini waafrika wanafanyiana unyama utafikiri sokwe porini, poleni sana wachezaji wa senegal

    Picha linaanza pale tu wametua airport wananchi wakajazana kuwatishis na kuwaita maneno ya kibaguzi
  12. JamiiForums Tanzania Kuna mshikaji wangu Desemba nilikuwa naview status zake alikuwa anafanya matanuzi/starehe vibaya sana leo kashajisahau

    Leo hii kajisahau kanitumia test ya kipuuzi sana huku sikutafutiana lawama tu, Muwe makini na status zenu mnazoweka Whatsapp na social media nyingine
  13. JamiiForums Tanzania CCM inachekesha sana. Kwamba kusomesha vijana ili wawe Baba lishe na mama lishe ndio vijana watamkubali mama Samia!

    Yuko wapi Polepole na yule kijana wa Mbeya ambae alipotea baada ya kulipiwa faini na wanaCHADEMA? Vpi kuhusu Ufisadi unaoendelea sasa hivi hapa nchini? Vipi kuhusu CCM mtandao kula keki ya taifa mpala kuvimbiwa? Leo hii mnadhania kusomesha vijana Veta kuwq mama ntilie ndio CCM itakubalika?
  14. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Jeshi la Polisi kitengo cha kufuatilia simu zilizoibwa bora kifutwe tu, hakitimizi majukumu inayovyotakiwa

    Baadhi ya Polisi wanatuibia sana, mara kumi kitengo cha kui-track simu ikipotea kiondolewe rasmi, sio uongo wala nini, mara zote tukiibiwa simu tunaenda kuripoti Polisi. Loss report kwanza kwenye vituo tunatoa zaidi ya Sh. 10,000 na kiukweli huwezi ku-report popote zaidi ya hapo. Haya unatoa...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Mbowe ni mtu wa ajabu sana

    Sijawahi kumuona mwanasiasa aliehudumu ktk siasa miaka 40 hafla kukosa uongozi akakaa kimya Kama Mbowe. Sio Tanzania, China au hata Japan
  16. A

    JamiiForums Tanzania KERO Huduma za UTT ni mbaya sana siku hizi

    Huduma za UTT ni mbaya sana hivi sasa. Watu hawawazi access funds zao wana kuwekeza kwa uaminifu sababu App haifanyi kazi na tukipiga simu tunaambiwa tutarejewa bila mrejesho. Ssa sisi ni wawekezaji au ombaomba?
  17. JamiiForums Tanzania Inachekesha sana Trump kashindwa kupambana na waandamanaji wanaodai haki eti yupo na Wairan

    Inachekesha sana Rais Trump. Kashindwa kuwapa haki wamarekani ambao wanafanya maandamano makubwa katika miji ya Marekani baada utawala wa Trump kuwakandamiza. Trump anasema anawalinda waandamaji wa Iran😀 https://x.com/haiderali099/status/2011674805972701583?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
  18. JamiiForums Tanzania Peter Madeleka: Rais aliongea kwa uchungu sana watu kubambikiwa kesi

    Peter Madeleka, amekosoa utendaji wa Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) na jeshi la polisi, akidai kuwa mchakato wa utoaji haki nchini umejaa migongano ya kisheria na matukio yanayovunja utu wa binadamu. Soma: PostGE2025 - Rais Samia: Huko Mahabusu kuna watu hawana hatia, wanafungwa kwa kesi ya...
  19. JamiiForums Tanzania Tukio hili niliamini kama nchi bado tuna safari ndefu sana

    Hili Tukio ndio niliamini Hii nchi tuna safari ndefu sana 🤣. Siasa za Kijinga sana hizi, Imagine ilikua Trending sana, Ikawa na Bango la kimkakati kabisa.
  20. JamiiForums Tanzania Nimewakumbuka sana wana JamiiForums baada ya kupotea kwa muda kwenda ujinini

    Habari wana zengo wakubwa kwa wadogo, hatimae nimerejea tena nilikuwa nimepigwa PIN akaunti yangu inagoma kuingia JamiiForums nikaenda ujinini sasa nimerudi na mambo mapya na makubwa na hatimaye nina habari nzuri kwenu. Je, kuna mpya gani huku.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…