sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Umeme ulikuwa unakatika sana tu awamu ya nne watu mmesahay. Nimeambatanisha na ushahidi

    Mzuka Wanajamvi! Mkumbuke awamu ya 4 kulikuwa hamna ukame na mvua zilikuwa zinanyesha za kutosha lakini kila wakati umeme ulikuwa unakatika. Bofya kwenye hizo linki za thread za malalamiko zilizoletwa humu JF -...
  2. JamiiForums Tanzania Hii Champion ni ngoma kali sana, huyu dogo Kontawa anajua

    Hii ngoma ni kali kila sekta wakuu. Huyu dogo ni next big thing.
  3. JamiiForums Tanzania Sisi Watanzania Mbululu Sana

    Hivi unahitaji akili gani, kuokoa watu na mali za kwenye ndege ambayo iko ufukweni mwa ziwa? Akili zetu zimejaa siasa na mpira wa Simba na Yanga tu. Kwa kweli ni fedheha.
  4. JamiiForums Tanzania Vitu gani 'vidogo lakini vikubwa sana' unavyovijua lakini watu wengi hawavijui? Share kwa kifupi sana....!

    Kila mtu ana vitu vyake fulani hivi anavyovijua lakini watu wengi hawavijui. Inaweza kuonekana kama vidogo lakini ni vikubwa mno kwa tafakuri ya kina. Au pengine watu wanajua lakini hawaipi kipaumbele stahiki. Hebu share nasi kwa kifupi sana! Naanza mimi: - Serikali halisi ni familia. Hizi...
  5. JamiiForums Tanzania Mimi ni Mzalendo sana. Ila katika hili mimi nimeshindwa kabisa

    Mimi Mzalendo sana tu. Ila ukiniambia nivae nguo yenye mirangi ya bendera yetu ntakukatalia mpaka mwisho. Bendera yetu ina mirangi mibaya. Haipendezi kwenye tai wala jersey. Kwenye tai labda iwe tu Blue au Nyeusi pekee. Lakini eti univalishe li tshirt,tai au bendera yenye ile mirangi...
  6. JamiiForums Tanzania Wanawake ni wabahili sana. Wanaume tusikubali kufanywa wajinga

    Hi! Mwanamke hata kutumia fedha ambazo amezizalisha kwenye biashara yake anaona hasara Mwanamke hata kutumia mshahara wake kununua mahitaji yake anaona hasara. Cha ajabu ukimtoa out na kumwambia awe free kuagiza chochote unaweza kuona anaagiza kuku nusu wa sh. 10000, juice ya sh. 5000. Hii...
  7. JamiiForums Tanzania Ni rahisi sana kupata kiongozi mwenye kichaa kupitia demokrasia, si njia nzuri ya kupata viongozi

    Kuna matatizo fulani ya akili humfanya mtu atamani kuwa kiongozi au kujiona yeye ndiye anafaa sana kuongoza. Tukianza na watu wenye kichaa (Schizophrenia) yenyewe. Dalili moja inayoweza fanya watu hawa waweze kupenda kuwa viongozi ni 'delusion of grandeur'. Hii ni ile hali ya mtu kujihisi...
  8. JamiiForums Tanzania Tuisila Kisinda amesemwa sana. Wazee wamesikia wameamua kumsaidia

    Sasa Tuisila Kisinda TM Master. Tayari atakuwa ameiva. Wazee waliambiwa na viongozi kumfanyia kazi kama ambavyo huwa tunawafanyia wachezaji ambao wanakuwa tayari kusaidiwa. Aziz Ki mmoja wapo na Mayele pia. Wameenda wamempika. Sasa zile kebehi zenu nyie wala mihogo na maji ya pakti...
  9. JamiiForums Tanzania Hakika niliwakumbuka sana!

    Habari za humu ndugu wana JamiiForums, Ninamshukuru Mungu kwakuwa hadi leo ni mzima, japo hapo siku chache nyuma nilipata ajali mbaya ambapo nilkuwa nikiendesha pikipiki, kwa bahati mbaya niliweza kukutana na lori japo lilinigonga kwa upande wa pembeni. Kikubwa cha kumshukuru Mungu pekee ni...
  10. JamiiForums Tanzania Kwanini jamii ya Wayahudi inalindwa sana duniani kuliko watu weusi?

    Jamii ya wayahudi imekuwa ni jamii inayolindwa sana duniani kiasi kwamba ukiongea neno lolote lenye kiashiria kibaya au cha kibaguzi dhidi yao hata kama ni cha ukweli lazima wakushughulikie. Ila jamii ya watu weusi kutwa kucha inabaguliwa lakini hatua hazichukuliwi na inaonekana ni sawa tu...
  11. JamiiForums Tanzania Kwanini Antony Mtaka anatajwa sana mbio za urais 2025?

    Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Antony Mtaka anatajwa sana kwenye mbio za urais mwaka 2025 hasa ukizingatia ni kiongozi mnyenyekevu na mchapakazi sana tangu alipokuwa Simiyu, Dodoma na sasa Njombe. Ni moja wa Wakuu wa Mikoa nadhani waliotajwa pia na RC Chalamila kuwa wako kwenye mbio za urais 2025 mimi...
  12. JamiiForums Tanzania Natafuta Tv, budget yangu 1.5m, au 2m kwa Tv kali sana

    Iwe na hivi vitu -4K -120Hz(fps) -55'/65' -HDMI 2.1 Ata ikiwa USED imrad iwe kwenye condition nzr na box lake Iwe kampuni yoyote ilimradi iwe na hvyo vigezo, karibun
  13. JamiiForums Tanzania Russia anapata faida nono ya gesi halafu mnasema atafirisika, mtasubiri sana

    Russian LNG exports rising – Bloomberg Countries are rushing to secure supplies for winter despite the push by Western nations to abandon Russian energy © VCG via Getty Images Exports of liquefied natural gas (LNG) from Russia surged in October despite the push by the West to cut reliance on...
  14. 4

    JamiiForums Tanzania Nabii Mkuu, Geor Davie wa Arusha tafadhali Sana mtumishi

    Wanajf , kila siku namtanguliza Mungu , na nikawaida kuwaombea KWA kile kidogo Mungu amenipa, Naomba mwenye no ya mtumishi tajwa hapo juu ani inbox tafadhali kazi yangu itakua wasiliana naye pale atanipa kibali , Natanguliza shukrani wakuu
  15. JamiiForums Tanzania Ni ushamba sana kutoka semina umebebelea kopo la maji uliyopewa kwenye semina, warsha nk

    Peace be upon you all, Aise waTanzania ni watu washamba sana sana kabisa. Mwanzo nilidhani ni watumishi pekee wenye huu ushamba ila nimebaini ni watu wengi wa sekta zote. Yani unakuta watu wamekwenda semina fulani alafu muda wa kutoka wamebebelea vimaji vya mia tano hako kakopo atakabeba njia...
  16. JamiiForums Tanzania NABI bado yupo sana. Ajabu wanaotaka Nabi aachwe Yanga ni Wanasimba kuliko Idadi Kubwa ya Wanayanga

    Simba wanamchukia sana Nabi. Wanamchukia mpaka unawaona usoni kabisa ukitaja jina la Nabi, Ukitana jina la Mayele, Ukitaja jina la Aziz na Ukitaja jina la Feisal. Wanaacha kula, wanaacha kunya wanaondoka hivyo hivyo. Nabi hawezi fukuzwa. Malengo ya team kwa asilimia 99 ametimiza. Asifupoteze...
  17. JamiiForums Tanzania MSAADA: Natoka usaha na mtambo unawasha sana, dawa yake nini?

    Nina wiki sasa natoka usaha kwenye vyumba vya kubadilishia nguo! Kuna pisi niliikuna sana wiki moja iliyopita sasa nahisi imeniachia unaa! Siyo kosa lake ni ubishi wangu, maana aliniomba sana nivae mpira nikagoma katakata! Nitumie dawa gani?
  18. JamiiForums Tanzania Sasa Saa Nne Usiku: Naandika leo nimechukizwa sana na huduma ofisi za Serikali

    Naandika leo nimechukizwa sana na huduma ofisi za Serikali Haina mana wote wanatabia ya uvivu. Huu ni ushuhuda wangu mimi. Siku zote Kuna watu wanadhani wao Kwa kuwa hawahusiki na hawaendi hata hapo temeke hospital wakaona weakness za watumishi, tanesco, maji wakaona upumbav wa baadhi wa...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Mliokulia kijijini poleni sana, mnakula vyakula duni sana

    Ni kudra za mwenyezi Mungu tu kuwa bado mnaishi. Niko kijiji fulani sitataja mkoa. Niko na wenyeji wangu. Asubuhi uji hauna sukari, mchana tumekula michembe. Usiku udaga na dagaa kama saba hivi kwenye bakuli. Maisha haya magumu sana kijijini. Tuwaombee
  20. JamiiForums Tanzania Mahusiano yanatutesa sana wanaume: Najitahidi nitulie nafsi inakataa

    Mahusiano yana mengi kwenye nafsi za wanaume wengi. Najitahidi nitulie nafsi inakataa, inamtaka huyu mrembo. Ndugu zanguni, najua si Mimi tu ninaesumbuliwa na mahusiano ya mwanamke mmoja wa miaka 28. Huyu mrembo hajaolewa bado. Anapenda pesa Sana, kila siku lazima nimpatie 30k uwezo wangu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…