sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    JamiiForums Tanzania Miaka mitano baada ya kumaliza chuo, hatimaye naenda kwenye mshahara wa Milioni 6, bado siamini, nawaza sana

    Wameniconferm jana, niende kituo cha kazi huko Geita ,mwezi ujao, hapa nilipo nahisi kama naota vile. Naona siku kama haziendi niende nikalipoti, nahisi kama jamaa wanaweza ahirisha vile, nawaza namna gani maisha yangu yanaenda kubadilika, nawaza namna gani naenda kuitoa familia yangu kwenye...
  2. J

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI wanachangia sana kushuka kwa elimu nchini

    Ifike mahali sasa OR-TAMISEMI wapunguziwe majukumu. Kwa kiasi fulani nadhani nao ni sehemu ya kuharibu ubora wa elimu nchini. Najua TAMISEMI wanahusika na TSC, TARURA, DART, Afya, Elimu, etc yani kwa ufupi ni kama wapo kila kona, pamoja na hayo eneo ambalo unaweza kuona wamejikita na wanasikika...
  3. JamiiForums Tanzania Ninajuta kwanini nilichelewa kujiunga JamiiForums nimekosa vingi sana

    Wakuuu za mida, Aseee mimi mwanenu katika vitu ninavyojuta maishani mwangu ni kuchelewa kujiunga humu ndani asee. JF imekuwa zaidi ya kijiwe kwangu. Namshukuru sana Maxence Melo kwa kutengeneza huu mtandao pendwa. Yaani kwanzia 2016 nilikuwa namiliki smartphone ila niliishia FB tu 😭😭😭na IG...
  4. M

    JamiiForums Tanzania FIFA irudishe sheria ya kuchomekea, vijana kwenye mpira wamekuwa wahudi sana

    Kuchomekea shati au tu kochomekea tu ni ishara ya udhanifu na heshima duniani kote. Hilo linafahamika wazi. Ukiangalia wachezaji wa mpira kabla 2005 kurudi chini walikuwa na heshima, dhanifu sana kwasababu walikuwa wanachomekea jezi. Lakini baada ya 2005 FIFA walipoivunja sheria ya...
  5. JamiiForums Tanzania Barabara ya Madale Mwisho ni mbovu sana

    Tunaomba Serikali itusaidie Barabara ya Madale Mwisho kwenda Mbopo kupitia Mikoroshini, Barabara ni mbovu sana na usafiri wa huko ni Bodaboda tu, wanapandisha bei mara iwe shilingi 2,000 mara shilingi 1,500.
  6. JamiiForums Tanzania Kilichotokea usiku huu kimenisikitisha sana, life is not fair

    Nilifika sehemu kwa ajili ya kujipumzisha na kupata moja moto moja baridi baada ya mizunguko ya siku nzima. Moja kwa moja nilifika counter nikachukua castle lite baridi, nikalipa elfu mbili tu safi, nikazungusha macho huku na kule nione wapi nitakaa, sehemu ilikuwa imejaa kidogo, ila nikaona...
  7. JamiiForums Tanzania Asanteni sana Kwa Upendo na faraja

    .
  8. JamiiForums Tanzania Mke wa Mpangaji mwezangu anasema baba Umut unaringa sana

    Katika harakati zangu za hapa na pale za kusaka elimu, kuna mpangaji mmoja ni mke wa mtu kabisa leo kaamua kufunguka eti mimi naringa sana na mke wangu (mama umut) ni wakaida na mimi skutaka kumlazia damu kwasababu hapo awali sikua na mazoea na mpangaji yeye hapa nilipopanga zaidi ya salamu tu...
  9. JamiiForums Tanzania Mpina unanipa Raha sana

    Baada ya spika kumwagiza mpina awasilishe ushahudi kwa yale aliyosema kuhusu kudharauriwa Kwa maagizi ya Waziri Mkuu, burudani ni kuwa wafugaji wenyewe watimba mjengoni na ushahidi na umewasilishwa Leo. Hadi raha.
  10. JamiiForums Tanzania Prof. Sospeter Muhongo Asisitiza Kilimo ni Biashara Kubwa sana Duniani

    MBUNGE PROF. SOSPETER MUHONGO ASISITIZA KILIMO NI BIASHARA KUBWA DUNIANI Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini Mhe. Prof Sospeter Muhongo wakati akichangia hotuba ya bajeti ya Wizara ya Kilimo iliyosomwa Bungeni na Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe amesema Wizara ya Kilimo inalo jukumu kubwa...
  11. JamiiForums Tanzania Leo nimelia sana. Kweli Cha Mtu.... Sidhani kama nitaweza kula

    Jamaa yangu aka yake KIMBU. Huyu jamaa kauli mbiu yake siku zote ni kuwa "kama huna pesa usioe mke mzuri baadaye uje wavika watu ubaya" Jamaa alikuwa na operation ya kuchakata sana wake za watu.allahmdulilah si haba kazini tunapata vijisenti vya kununua magari na kujenga. Kwa sasa anakula...
  12. JamiiForums Tanzania Mbona wasukuma na wahaya wana akili sana za darasani 🤔

    Wakuuu za sahizi, Kwenye safari yangu ya elimu nime bahatika kukutana na wasukuma na wahaya wengi kwanzia shule za msingi mpaka saivi chuoni Lakini jambo linalo nishangaza ni kuwa hawa jamaa wana akili mingi sana za darasani wengine hata hawasomagi ila combi ngumu ngumu kama PCM NA PCB...
  13. D

    JamiiForums Tanzania Hongereni sana NEMC kwa kuanza udhibiti kelele kwenye bar lakini fanyeni haya kuboresha zoezi

    Nawapa pongezi sana kwa mwanzo huu! NEMC Mkiamua mnaweza! Mmefanikiwa kufungia bar chache zinazopiga miziki mikubwa! Ni jambo jema sana! Naomba kushauri jambo moja ndugu zetu NEMC! Kuna msemo Wataalam wanasema "Good approach, Bring best Result" Hakika mmethubutu kuwaonya hawa watu wanakela...
  14. JamiiForums Tanzania Ukiwa tapeli, mnafiki, muongo na tapeli utapendwa na kusifiwa sana na watu

    Utakatishaji wa fedha, au utapeli, ni vitendo vinavyohusisha utumiaji wa mbinu zisizo halali kuficha asili ya pesa au mali zilizopatikana kwa njia isiyo halali. Hii ni aina ya uhalifu wa kiuchumi ambao husababisha uharibifu mkubwa kwa uchumi wa nchi. Uongo ni kitendo cha kutoa taarifa zisizo za...
  15. G

    JamiiForums Tanzania Hali ya umeme ni mbaya sana Mkoa wa Mara, sijui ulipo hali ikoje?

    Jana nimeanza kutafuta Generator ,biashara yangu kwa mwezi sasa imekuwa na changamoto kubwa sana ya umeme nimepata hasara ambayo siwezi kui cover kirahisi kabisa Tanesco tatizo nini jamani? Tunaomba basi Waziri zungumza na Taifa nini chanzo umeme kuwa tatizo? Sifikirii 2023 kupata changamoto...
  16. D

    JamiiForums Tanzania Prince Dube ni Mchezaji mahiri asiyesemwa sana!

    Mara nyingi utasikia hadithi na sifa kwa wachezaji wa Simba na Yanga. Ila kiukweli Mchezaji Price Dube ni bonge la Straika. Kati ya Mastraika ambao timu nyingi na haswa Simba SC, hawatawasahau basi ni Prince Dube.
  17. JamiiForums Tanzania Nimemvumilia sana mke wangu kwa tabia zake mbovu, mama yake kanipa makavu kwamba bila kipigo siwezi kuheshimika, haya mawazo yake ni sawa?

    Kwakweli huwa siamini kabisa kwenye mambo ya kupiga mwanamke ambae nimemzidi nguvu by far. Kuna binti nimemuoa sasa kuna vijitabia vimekuwa kiburi ambacho kilianza kama masikhara ila sana kinazidi. Sasa tangu nianze kumkanya, mabishano yamekuwa mengi, nikiongea neno moja kwa sauri ya chini...
  18. JamiiForums Tanzania Kulazimisha mapenzi pasipo na mapenzi ni mbaya sana

    Inatokea yule unae mpenda hana muda na wewe na anajua unampenda kwahiyo hata unapo jaribu kutafuta mapenzi kwake unakosa Unajikuta una lazimisha mawasiliano kosa dogo amekutushia kukuacha au anakuacha jaribuni kuheshimu hisia za mtu baadhi ya wanaume 😢😢 ina uma sana
  19. JamiiForums Tanzania Hivi Dar kuna baa za members only?

    Naomba kuuliza. Hivi Dar kuna baa ambazo wanaruhusiwa kuingia wanachama wa baa hiyo tu?
  20. M

    JamiiForums Tanzania Namba hazidanganyi: Bado Halaand ana safari ndefu sana kuyafikia mafanikio ya Cristiano Ronaldo, japo mwelekeo anao!!

    Tatizo ni kwamba watu warefu kwa kawaida hawakai kwenye form kwa muda mrefu , lakini pia Halaand anatumia mguu mmoja tu wa kushoto wakati R7 mashine inakubali kote kote. Halaand ni mrefu zaidi ya Ronaldo. Nafahamu exceptions huwa zinatokea. Naziachia namba hapa zizungumze!! Domestic Tournaments...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…