sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Alikiba kakumbwa na nini mbona naona anajadiliwa sana leo?

    Habari za muda naomba kufahamu kama Kuna mwenye taarifa yoyote inayomuhusu alikiba Nimekuta mahali wamepost tumuombee na kwingine tena hivyohvyo kwa anayefahamu chochote kumuhusu, kuhusu hizi taarifa. Asante.
  2. JamiiForums Tanzania Wana-Young Africans siku hizi hatuongei sana, mafanikio yetu ndio yanaongea

    Habari. Mashabiki Wa Dar Young Africans Atuongei Kabisa Wala Kupiga Kelele Ambazo Hazina Maana Katika Kukuza Sector Wa Mpira Wetu Hapa Tanzania Na Africa Kwa Ujumla. Imekuwa Tofauti Hivyo Ubora Na Mafanikio Yanayofanywa Na Mabingwa Young Africans Yamekuwa Yakijieleza Yenyewe Moja Kwa Moja...
  3. JamiiForums Tanzania Ipi ni sababu ya mwanamke kubadilika na kuwa chui baada ya kuolewa?

    Katika maisha yangu yote, sijawai kuona sherehe isiyo kua na furaha, wanandoa watakodi range, au V8 kwa ajili ya kuzurura na kupiga picha. Lakini ndani ya mwaka mmoja ndoa inaanza kukosa nuru mwisho wasiokua wavumilivu wanakimbia na kuacha ndoa zao, imenifanya niwaze kwanini watu wanaoana kwa...
  4. JamiiForums Tanzania Replacement hii haizungumzwi sana pale Yanga

    Anaitwa Jawab raia wa Morroco huyu ni kocha wa viungo pale Yanga jamaa amefanikiwa sana kujenga stamina ya team kifupi ameendelea pale alipoishia prof manywele ambae kwa uhalisia alifanya kazi nzuri sna Ukiondoa mpango kazi wa azam kuumiza wachezaji wetu lakini wachezaji wamekuwa na physic...
  5. JamiiForums Tanzania Baada ya kumuacha mke wangu amelia sana, naanza kumuonea huruma, nifanyeje?

    Wakuu naanza kumuonea huruma huyu mke wangu baada ya kumpiga chini sasa amenza kulia na kusaga meno yaani napata na huruma aisee na mimi naanza kulia na kusaga meno nakumbuka zile moment lakini moment nyingi zilikuwa za mimi kupigwa,kuchambwa na kutukanwa aiseee lakini sio kesi Wakuu nifanyeje?
  6. JamiiForums Tanzania Msanii Diamond ashambuliwa kwa kusoma Biblia

    Yale yale, ukisoma comments za kwenye hii video yaani utadhani jamaa sijui kaua au kafanya nini yaani, watu wanaishi kimajungu majungu na hasira za kufa mtu. Mfuasi yeyote wa dini ya Kiislamu akisikika kataja chochote cha dini nyingine wanamjia juu balaa.
  7. JamiiForums Tanzania Ni kwanini walimu wanadharaulika sana mitaani?

    Hili sio uongo lipo wazi kabisa moja ya watumishi wa Serikali wanaodharaulika kwenye jamii ni hili kundi la walimu. Hata muonekano wao umekuwa ni too primitive huku wakijidifence eti ni dressing code ya mwalimu lakini nguo zao huwa ni zilezile shati kubwa ndefu na suruali iliyopwalaruka. Hata...
  8. JamiiForums Tanzania Kwanini hawa rafiki zangu wanaumia sana mioyo yao

    Wakuu nipo Daressalam yapata mwezi sasa, nilitoka mkoani kuja huku kufukuzia fursa mbalimbali na kuongeza exposure. Ukizingatia mimi sio mtu wa kuishi sehemu moja kwa muda mrefu, kule mkoani kuna ishu zangu ambazo huwa nafanya na zinaniingizia pesa ya kuendesha maisha yangu. Toka nimekuja...
  9. D

    JamiiForums Tanzania Hii Clip ni fikirishi sana

    Kuna uwezekano mkubwa kuwa Kijana wetu ameshavurugwa na Bwana Ali Msomali
  10. JamiiForums Tanzania Nimeshangaa sana hili sana

    Humu nimesoma post nyingi za wanaume wanatafuta wanawake wakuishi nao sasa vigezo vinafurahisha. 1. Eti awe na chuchu zimesimama . Sasa mnawazalisha watoto wadogo hadi tigo mnawaomba sasa mnadhani sasa nani anamaziwa kama hayo . Mababa wengine wanawafukunyua watoto wawatu hadi maziwa yanakuwa...
  11. JamiiForums Tanzania Matapeli wamekuwa wengi tuwe makini ndugu zanguni

    Miezi kadhaa iliyopita kuna jamaa nilikutana nae kwenye mgahawa, alinifuata kwenye meza yangu wakati napata Kifungua kinywa, akaniambia anaomba nimsaidie chochote kwani mke wake amejifungua kwa operation na bado Yupo hospital hana msaada wowote. Kwa kifupi niliguswa na maneno yake...
  12. JamiiForums Tanzania Muarabu wa Tanzania anaiponda sana Marekani, akipewa viza ya Afghanistan hataki kwenda

    Pamoja na yoooote, ila Marekani ni nchi fulani yenye uhuru sana akifuatiwa na Uingereza. Hebu fikiria, kwao unafanya maandamano ya aina yoyote ile. Wanaruhusu bila tatizo na wakati nchi nyingine wanakataa. Ujerumani walisema mtu yeyote atakayeandamana kuhusu Palestina, tunamchukua na kumpeleka...
  13. JamiiForums Tanzania Usitupe ndizi zilizoiva sana pika hivi

    Natumaini wazima Kuna wakat tunakuwa na ndiz zimeiva sana kias umeamua huwez kuila pika hivi Kwa kutumia ndizi Mahitaji 1)Ndizi za kuiva mbili 2) nganovijiko vya chakula vitatu 3)mayai mawili 4)maziwa ukipenda mm nimetumia maji vijiko vinne JINSI YA KUANDAA 1)Toa ndiz maganda...
  14. D

    JamiiForums Tanzania CPA Makalla tunakulilia Mwanza, ulitufaa sana

    Kwa hili lililojitokeza la tengua pangua wananchi wa Mwanza tutakukumbuka sana CP Makalla kwa muda mfupi umeonyesha weledi na umakini wa kushughulikia miradi ya hapa Mwanza ie uwanja wa ndege, meli, soko kuu, timu ya Pamba, madarasa, Daraja la JPM nk kwa kweli ninakumbuka maneno ya Mbunge...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Mamelodi anabebwa sana na marefa, hii faulo wangeifanya Yanga, wangepewa kadi nyekundu. ndio maana kuna Petition za mamelodi kubebwa bebwa

    VAR ililetwa kwa ajili ya kuzionea timu zetu tu. sababu hazina majina makubwa. Caf wanapenda sana kumbeba mamelodi. sababu bosi wao rais wa caf ndie mmiliki wa mamelodi Sheria za mpira zinasema mtu wa mwisho akifanya rafu ni kadi nyekundu. ila kwa mamelodi hata VAR haijajisumbua kucheki...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Watu ambao Wanatengeneza maudhui (Content) ndio wanaopewa ajira sana zama hizi, fursa za pesa Tanzania zipo kwenye Content creations

    Huu ni ukweli mchungu, zama zimebadilika Vijana mnaomaliza chuo mjifunze kutengeneza content zitakazotrend hasa za kuelimisha, kufundisha, kuburudisha na kuchekesha watu.. huko ndipo kuna fursa za dili nyingi zama hizi
  17. JamiiForums Tanzania Kupitia mimi nimejifunza kitu kikubwa sana kuhusu hili jambo. Usioe mwanamke mwenye mtoto

    Kwanza kabisa namshukuru mh rais wetu. Anaupiga mwingi kinyama. Katika pita pita maishani nimezalisha wanake wa 4. Katika hao watatu hawa kila muda nikijisikia kutaka kulamba naomba napangiwa siku naenda nalamba. Na wote hao wameshaolewa tena. Wawili katika hao watatu wakinipangia ratiba...
  18. JamiiForums Tanzania Wakuu naumia sana, naombeni msaada wa ushauri

    Habari za sikukuu ya pasaka natumai wote ni wazima waungwana, niende Moja Kwa moja kwenye mada ni kwamba hapa kazini Kuna dada mmoja tulitokea kupendana sana Sasa juzi tukapishana kauli nikatikisa kiberiti mwenzangu kamwaga njiti kabisa. Nilikuwa nampima tu kwamba tuachane akakubali Sasa...
  19. JamiiForums Tanzania Hii picha ina trend sana. Uchumi wa Tanzania uko mikononi mwa watu wachache, wengi wanaishi maisha ya hali ya chini sana

    Hii picha ina trend sana. Uchumi wa Tanzania uko mikononi mwa watu wachache,wengi wanaishi maisha ya hali ya chini sana.
  20. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Pale upinzani unapoacha kujadili mambo msingi na kuweka nguvu zao kumjadili Makonda! Tuna wapinzani wa ovyo sana!

    Naanza kuelewa Sasa, huwenda ni kweli kwamba Watanzania ni watu wa hovyo na ambao hawawezi Kila kitu na hawawezi Kuibadirisha nchi Yao kutoka Hali mbaya ya umasikini na kuwa nchi yenye neema na uchumi mkubwa Tumeshindwa kuendesha bandari zetu wenyewe, mbuga zetu tunawapa wageni, Bado tutawapa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…