sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kuna ndoto tatu niliota zilinistaajabisha sana

    Ndoto ya kwanza Niliota mimi flani nimezaliwa mwaka 1800's na ukijimlisha miaka 100 ni miaka ya 1900's ndo utapata mwaka niliozaliwa hii ndoto niliota kwa msisitizo mkubwa sana na ilinistaajabisha sana Ndoto ya pili Niliota niko sehemu ila kuna nyoka wengi wametapakaa kila mahali najaribu...
  2. G

    JamiiForums Tanzania Kwanini migodi ya mkoa wa Mara watu wanauliwa sana kuzidi migodi ya mikoa mingine ?

    Imekuwa kawaida sana kusikia vijana wanauliwa na polisi kwenye migodi ya mkoa wa Mara wilaya ya Tarime. Kwanini hatusikii haya migodi ya Geita, Chunya, Kahama, n.k.
  3. C

    JamiiForums Tanzania SoC04 Kwanini hatunufaiki sana na ubunifu wa Watanzania

    KWANINI HATUNUFAIKI SANA NA UBUNIFU WA WATANZANIA Ubunifu Ni uwezo alionao mtu au kikundi cha watu,kuvumbua/kugundua kuanzisha kitu Fulani kipya au cha tofauti chenye kuleta tija kwa jamii. Profesa Bessant ubunifu ni kile unachofikiria nakukifanya unavyotaka, ni kipawa alichonacho mtu.Ubunifu...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Vijana acheni kuwekeza sana kwenye decorations za duka badala ya stock

    Mojawapo ya kosa kubwa sana la kiufundi kwa vijana wengi wadogo wanaoanza biashara ni kuwekeza pesa nyingi kwenye vitu ambavyo havirudishi pesa kwa haraka au pengine havirudishi kabisa. Vijana wanafungua maduka ila wengie hawafikishi mwaka mmoja wamefunga baada ya kushindwa biashara. Vijana...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Wapi nitapata Virtual Reality kwa hapa Bongo? Mimi ni mdau sana wa hizi kitu

    wadau mnaopenda kutumia technology mimi ni mpenzi sana wa Technology. Nlikuwa na VR moja mwaka 2019 akaja mtu akaomba na amekuwa mgumu kurudisha nimeona tu nitafute nyingine. Ile ya kwanza nilinunua Dubai. Now natafuta kwa hapa Dar. Nitapata wapi? Nahitaji ambayo itakuwa compatible na android...
  6. JamiiForums Tanzania Uelekeko wa CCM na Tanzania kwa ujumla

    uelekeo makini sana wa Tanzania kama nchi, chini ya chama tawala CCM, ulibainishwa, ulichambuliwa, ulifafanuliwa na kuelezewa kwa kina, kwa kirefu sana kinagaubaga, na kwa umakini na uwazi wa kipekee mno, na makamu mwenyekiti wa ccm bara, comrade Abdulrahman Kinana. kwamba, kama nchi tupo...
  7. JamiiForums Tanzania Mwanzo huwa mtamu sana. Sijui ni nini huwa kinavuruga mambo?????!!!!!

    🤔🤔🤔
  8. JamiiForums Tanzania Tuache utani, wachaga wana bahati na wanajua sana biashara

    Siyo mzaha jamaa kwa biashara wako vzr sna Kuna mtaa naishi hapa dodoma Basi kulifunguliwa vi car wash Kama mbili tatu hv na baadae mchaga mmoja ambae Ni Dr wa Benjamin mkapa nae akaja kuanzisha yake pmj na kufungua min market na barbershop kwenye jengo moja ,,, yaani ndni ya barbar shop Hakuna...
  9. JamiiForums Tanzania Kwanini Uchaguzi Mkuu nchini Tanzania hufanyika sana Mwezi Oktoba na siyo Miezi mingine?

    Wakati mkijiandaa Kunijibu GENTAMYCINE naendelea Kusisitiza kuwa tuacheni sana Imani za Uchawi / Ushirikina Okay?
  10. JamiiForums Tanzania Kwanini nafurahishwa sana na nazikubali mno Nyodo na Dharau za Dotto Magari ambazo ni Chungu Kwetu Wasomi, Wabaguzi na wenye Dharau kwa Masikini?

    1. Wasomi wengi tuna Dharau kwa wale Wasiosoma 2. Wasomi wengi ni Wabaguzi hasa kwa wale Wasiosoma 3. Wasomi wengi tunadhani Kusoma sana ndiyo kuyapatia Maisha 4. Wasomi wengi tunaishi Maisha ya Kuigiza wakati kiuhalisia tuna Shida Milioni kidogo 5. Wasomi wengi tuna Roho Mbaya iwe Makazini...
  11. JamiiForums Tanzania Uchawa umezidi sana kwenye siasa hadi kero hawa wanaojita machawa wa mama mh kazi ipo

    Uchawa umezidi sana kwenye siasa hadi kero hawa wanaojita machawa wa mama mh kazi ipo Miongoni mwa kipindi cha Urais chenye machawa na vikundi vya uchawa ni kama hivi sasa ni balaa sana je hili ni jambo sahihi katika siasa zetu
  12. JamiiForums Tanzania Lissu anaipenda sana Zanzibar lakini hawajitambui

    Hebu tumsikilize hapo akiwa Zanzibar Mheshimiwa Lissu, ni dhahiri anaipenda Zanzibar ijitambue na kupata uhuru wake wa kweli badala ya kukubali kutawaliwa na Tanganyika (Dodoma) na kuveshwa kilemba cha ukoka. Wazenji wamuunge mkono ndio ukombozi wao uko hapo. PIA SOMA - Muungano wa Tanganyika...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Jambo gani ulikuwa ukikatazwa utotoni na mzazi/mlezi ukahisi sio sawa ila huku ukubwani unashukuru sana kuwa yale makatazo yamekusaidia kuwa mtu bora?

    Nilipokuwa mtoto kuna wakati nilikuwa naona wazazi hasa baba kama wamezidisha unoko ila kwa sasa ndo nimekuja kuelewa nilikuwa najengwa kuwa mtu bora. Haya hapa makatazo ambayo nilidhani ni ya kinoko kumbe yalikuwa mema sana. 1. Giza likiingia halafu usiwepo nyumbani balaa lake lilikuwa zito...
  14. D

    JamiiForums Tanzania Tungekuwa na waandishi kama hawa wachache tu tungekuwa mbali sana

    Huyu mzee namkubali sana, Haya mahojiano yake nahisi ni sehemu ya kwanza, KIkubwa ninachomkubali nikuwa sio mramba makalio, na yupo straight forward. https://www.youtube.com/watch?v=4-bEP38bqD8&t=1309s Pascal Mayalla Unamzungumziaje huyu mzee wetu
  15. JamiiForums Tanzania Ila wanaume tuna shida, hali ya kuomba namba na kunyimwa ni mfadhaiko mkubwa sana

    Wakuu habari za Jumapili, Kama kichwa cha thread kinavyosema, ile hali umemsimamisha msichana unamuomba namba halafu anakunyima, daa inaleta stress sana ila basi tu.
  16. JamiiForums Tanzania CCM bila kujua Wanakuza Popularity Ya CHADEMA na Kuifanya iwe Juu sana baada ya Kupoteza Popularity kwa Muda Mrefu hii Haiko sawa

    Chadema Ina Mbunge Mmoja Bungeni kama Sio wawili Hiyo inafnya Kiwe ni CHAMA chenye Umaarufu Mdogo licha ya Kujitutumua na Kufanya Maandamano ili kupata Ridhaa ya Wananchi kukiamini Tena.. Kitendo cha CCM na Serikali kuanza kukizungumzia Kunafanya Vyombo vya Habari kuanza kukifatilia na Bahati...
  17. JamiiForums Tanzania Ukweli Usemwe Ali Kiba hajawahi kuwa na Enzi ya Ufalme kwenye Bongo Flavor sana sana Amedumu kwenye Mziki wa Bongo tu

    Kulikuwa na wafalme kama hawa 1.. Joseph Mbilinyi SUGu, Mr II, 2proud, Taita 2. Professor J 3. JUMA Nature 4. Inspector Haroun 5. Ferouz 6. Mr. Nice 7. Mr. Blue 8. Mangwea 9. Afande Selle 10. 20 Percent 11. Fid Q 12. G.Nako na Clue yake yote 13. Dully Sikes (Huyu ndio Mr. Bongo Flavor) 14...
  18. JamiiForums Tanzania Sababu halisi kwanini ni ngumu sana kwa Mbantu kufanikiwa kwenye biashara

    Hata hivyo, miongoni mwa wabantu wapo baadhi ya wabantu ambao wamefanikiwa ku walk out of this curse. Mfano wachagga, wakinga etc. Ila wengi wa wabantu hawawezi kabisa kufanikiwa kwenye biashara. Sababu kuu ni hii hapa chini: Wabantu wanapokuwa wanafanya biashara huwa wanashindwa...
  19. JamiiForums Tanzania Kwanini nafsi yangu imehuzunishwa sana na kifo cha Veteran Actor huyu wa Nigeria

    Imeandikwa kwenye kitabu cha Injili ya Yohana 11 kwamba " When Jesus learned about the death of his friend Lazurus his soul was troubled" This was me today after I learned about the passing away of this great man. Huyu Zulu Adigwe kwenye kitabu changu ndio Actor bora kabisa wa wakati wote...
  20. JamiiForums Tanzania Kuna watu wamerogwa vibaya sana na hawajijui kuwa wamerogwa.

    Hello! Mtu akirogwa anajijua kabisa lakini akirogwa vibaya sana hawezi kujijua. Anabaki tu kama kipepeo hajui afanye nini kutwa kutwa. Hawezi kuwa na mipango thabiti, leo atapanga hili, kesho atapanga lile , keshokutwa atapanga jingine. Mtu huyu hawezi kufanikiwa kwenye jambo lolote. Kuna watu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…