The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا), al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda amesema Serikali itagharamia shughuli zote za harusi, ikiwemo kulipia ukumbi mkoani hapo lengo likiwa ni kuvutia zaidi wageni na watalii kufika Arusha na kuwa chachu ya kukuza uchumi.
Makonda amesema masharti ya ndoa hizo ni pamoja na kati ya wawili hao...
Wizara imetulia, mambo yanafanyika vizuri kwa maneno na matendo. diaspora na wafanya biashara kimataifa kwa ujumla wao, wanakubali kazi na jitihada za wizara kupitia Waziri huyu kijana na mbunge wa Jimbo la bumbuli mh.January Makamba..
Mchango wa Tanzania kwenye forums mbalimbali duniani...
Jana au juzi Hersi ameulizwa kuhusu Aziz kuendelea kuwepo yanga ama ataondoka na akajibu vema TU kuwa mazungumzo yanaendelea na Aziz bado hajasaini huku jibu lake likionesha wazi kukata matumaini ya kumbakisha jangwani Aziz (kwangu mi sio shida maana ni kawaida wachezaji kupitia tz sababu sio...
Wakuu Habarini/asalaam/Shalom
Me ni kijana wa Miaka 25 Ila nipo kwenye mtihani ambao sijui nitatokaje
Nimekuwa nikiteswa na tatizo la mkojo kwa kipindi kirefu sana zaidi ya miaka 10+
Nikienda haja ndogo ninateseka sana kutoa mkojo, ninaweza kutumia mpaka dakika 10 au zaidi ndo mkojo utoke...
Haya mashirika ya umma sijui kwanini Watumishi wake hawako active kabisa kushughulikia kero zinazowakumba Wananchi.
Ni miaka kadhaa sasa TANESCO mkoa wa Mwanza wameshindwa kuondoa nguzo za umeme katika barabara ya Mtaa wa Michungwani Kata ya Kilimahewa Wilayani Ilemela hali iliyopelekea...
Waziri wa Kilimo Profesa Adolf Mkenda amesema yuko tayari kuachia ngazi nafasi ya uwaziri kuliko kutoa kibali kwa wafanyabiashara cha kuagiza sukari kutoka nje ya nchi.
Profesa Mkenda amesema hayo leo Agosti 30 jijini Dodoma wakati akizindua ripoti ya sensa ya kilimo, mifugo na uvuvi ya mwaka...
Ni dhahiri uwezekano wa mwanamke kuiongoza Tanzania hadi 2050 ni bayana, na ni mkubwa mno, ukilinganisha na uwezekano wa mwanaume yeyote humu nchini.
Elimu, uadilifu, uzoefu wa uongozi katika utumishi wa umma kitaifa na kimataifa, weledi katika kazi, sifa, vigezo na masharti ya kikatiba na...
Hivi ni nini huwasumbua hawa wafanyabiashara wa bongo ambao pia wanajihusisha na kutuma mizigo kwa wateja wa mikoani?
Kabla hujawatumia hela wanakuwa na customer care nzuri saana. Wanajibu message kwa wakati, wanazielezea bidhaa zao vizuri hadi mteja unaridhika na kujisemea moyoni, hivi ndivyo...
KULA SANA BATA HATA KUKU WOTE LAKINI KAMWE USIWASAHAU NDUGU ZAKO.
"Kama MUNGU amekujalia uwezo mzuri wa kiuchumi, weka nguvu kwa ndugu zako pia.
Usiwasahau ndugu zako kwasababu ipo siku utawahitaji na usipowahitaji wewe basi tutawahitaji sisi kwaajili yako.
Siku ukiumwa au kupata matatizo...
Hospitalini sasa hivi hata kama huna hela hawawezi kukuacha uteketee lazima watakutibu libaki deni, cha ajabu unakuta eti mtu kafa mtaani sababu wanadai ni uchumi mdogo ndio maana wameshindwa kumpeleka medical.
Mtu Sawa anaumwa kwanini aachwe ndani. Ni uzembe na sio umaskini, mtu unakuta yuko...
Licha ya majeshi ya maitaifa ya SADC kupambana pale DRC, hao madogo wa M23 wanaendelea kujichukulia miji.
Sijui hawa madogo wana nguvu gani ukizingatia sio hata magaidi wa dini ile ya kigaidi gaidi.
_-------------
The M23 militia group has seized another town in the war-torn east of DR Congo...
1. Simu - Ni biashara iliyoshamiri sana kwenye vitu used lakini wengi zimewingiza kwenye matatizo, mtu kanunua simu laki 4 au zaidi haoni shida kutoa elf 50 polisi waifatilie, yani ukinunua simu iliyoibiwa ukipachika tu laini yako tayari ushadakwa kwa taarifa zako ulizosajilia laini na makadirio...
Uongozi wa klabu ya Simba umempa mkataba wa miaka miwili aliyekuwa kocha msaidizi wa Raja Casablanca, Fadlu David ambaye inaelezwa atatua nchini Ijumaa sambamba na wasaidizi wake.
Kocha huyo ambaye amethibitisha ujio wake Tanzania baada ya kutumia ukurasa wake mtandao wa kijamii ‘Instagram’...
Nina Ushuhuda wa hili kwa 100% hivyo nakuomba nawe ukipata chochote penda kuwapa Watoto utakuja Kunishukuru.
Asante sana Mwenyezi Mungu kwa BARAKA zako na nakumbuka hata katika Maandiko pia umetuasa tupende Watoto.
Wakuu habari za muda huu, natumai mnaendelea vema na majukumu ya kujenga Taifa.
Kama uzi unavyojieleza hapo juu, kuna wakati inatokea tuu kuna wimbo wowote ule uwe wa dini, qaswida, au nyimbo za kizazi kipya au hata cha zamani unatokea kuupenda sana wimbo huo na pengine wimbo huo...
Vijana wenzangu acheni kiwewe cha simu, iPhone 15 Pro Max ni simu ya kawaida sana, kampuni ya Apple inauzia jina
Punguzeni tamaa za dunia tumieni fedha mnazopata kufanya maendeleo
iPhone 15 Pro Max Original ni zaidi ya 4,000,000/= kwenye Apple Store. Je hamuoni fedha hizo mnaweza kufanyia...
Kabla ya kuisha mwa msimu wa 2022-2023 nilikuja na mkeka ulioelezea jinsi Simba inavyotakiwa kubadilisha kikosi chake kwa mtiririko fulani wa kuacha wachezaji ili ndani ya misimu 3 ijayo iwe na kikosi kipya kabisa.
Lilipokuja dirisha kubwa la usajili, mkeka wangu ulionekana kufuatwa kwa 95%...
Juzi wakati wa mgomo wa wafanyabiashara mkuu wa mkoa wa dar es salaam ambayo ilizua maswali mengi sana kama tutawashughulikia kama serekali ilivyomshughulikia manji ni kauli ya hovyo sana kutolewa na mtu kama yeye
Nauhakika manji alivyosikia ile kauli ni kama iliyonesha kidonda ambacho kilikua...