sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. F

    JamiiForums Tanzania Nawasikiliza wabunge wa Katavi wakiongea na Rais Samia; wanalalamika sana, wanamshukuru sana na wanampongeza sana Rais

    Hizo ndio siasa zisizoeleweka za Tanzania. Sasa hivi hapa nawasikiliza wabunge wa mkoa wa Katavi wakizungumza na Rais Samia aliyemaliza ziara yake mkoani Katavi. Nawasikiliza wabunge hao wakilalamikia sana mambo mbalimbali ya mkoa wao, wakati huo huo wanamshukuru na kumpongeza sana rais kwa...
  2. JamiiForums Tanzania Kwanini Dubai ni maarufu sana? Kipi cha kuvutia zaidi katika huo mji?

    Huu mji wa Dubai umaarufu wake umetokana na nini kiasi cha kujizolea umaarufu mkubwa sana kwa celebereties wa dunia, sehemu kubwa ya Afrika, kwa wabongo matajiri na hata wale wa kipato cha kawaida wanaodunduliza fedha za hapa na pale au kupata ufadhili wakiwa kama chawa kutembelea mji huu...
  3. JamiiForums Tanzania Mbona Maafisa wa Habari wa Timu za Tanzania zilizoshiriki 'Kagame Cup' ya mwaka huu hawatuambii imekuwaje 'Wametepeta' mapema sana?

    Itasaidia sana kama wakisema kile Kilichowaponza ili Vilabu vingine vya Simba, Azam na Yanga vijifunze kwa baadae.
  4. JamiiForums Tanzania Kongole Simba SC kwa Awesu Awesu tumelamba Dume na natamani sana Kocha awe anamchezesha hasa 'Wing Midfield' atatusaidia sana

    Sasa naona kabisa ule muda wa Wazee Majini FC Kupimwa Umri umekaribia na kuna Watu wataikimbia hiyo 8.08.24.
  5. JamiiForums Tanzania Rais wetu mpendwa wateule wako wanakudharau sana sisi wananchi tunaona aibu..

    Kwa yanayoendelea ni dharau na kejeli kwa mkuu wa nchi hawa wateule wanamdharau sana wanakula hadi wanavimbiwa sasa wanalopokaa vile wanavyojisikia usalama msaidieni mhe. Rais jamani haiwezekani watu wanatolewa jalalani ili wamdharau rais wetu na mama yetu...
  6. JamiiForums Tanzania Nape na Mwigulu wanatumika sana kuonesha Rais ni dhaifu, hana uwezo.

    Mara nyingi Nape akilewa huwa anasema " sisi ndo tunamweka Rais na tukiamua tunamwondoa, sisi ndo CCM." Haya maneno watu wake wa karibu wengi pia watakuambia. Ni mtu anayependa sifa za Kipumbavu. Ana utoto mwingi sana Nape. Yeye na Mwigulu mara nyingi wanapenda Kumbagaza Rais. Kuonesha wao ndo...
  7. JamiiForums Tanzania Vijana tupo kwenye kizazi kigumu sana

    Hivi hawa dada zetu mtaani ni nani kawaambia kuwa mwanaume akiwatongoza muda huohuo waanze kuomba pesa? Hivi mtu nimeonesha nia tu ya kukutaka hata papuchi nimeona sio kipaumbele kwanza...sababu nataka tujenge mahusiano kwanza mtu anashindwa kujikaza kusubiri hata wiki iishe wakuu. Yani kwa...
  8. JamiiForums Tanzania Maisha yanabadilika sana

    Maisha Yana Badirika sana Kuna Muda unaweza kufikiri kwamba umefika mwisho Kila kitu kimeisha na hakuna tena TUMAINI la maisha. Lakini MUNGU anavyobadirisha maisha ya MTU ni kwamba ... Muda uleule unaofikiri kwamba Kila kitu kimeisha na umefika mwisho ndipo anafanya muujiza. Unashangaa...
  9. JamiiForums Tanzania Nahisi ni baya mno na ndiyo maana Kakataa au Kakataa kwakuwa liko Vijijini kwa Washamba, ila lingekuwa liko Mjini angekubali haraka sana

    Rais Samia Suluhu Hassan amekataa daraja kuitwa jina lake, akisema ni vema liitwe Mama Maria, mjane wa Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere, ikiwa ni sehemu ya zawadi ya kazi ya kupigania uhuru wa Tanzania. Awali, mbunge wa Kalambo, Josephat Kandege (CCM) alimuomba Rais Samia akubali daraja...
  10. JamiiForums Tanzania Hii ni Aibu Kubwa sana kwa Wanaume wa Mkoa wa Dar es Salaam

    Hofu imetanda kwa baadhi ya wazazi kuhusu usalama na ustawi wa watoto wao kufuatia matukio ya ukatili yanayowatokea watoto ambapo kwa mujibu ripoti ya polisi kwa mwaka 2023 imeonyesha matukio 30 hutokea dhidi ya watoto kila siku. Hatua hiyo imewafanya wazazi wa Mtaa wa Kibonde maji Mbagala, Dar...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Nawakubali sana hawa members wa jf, Mzee wa kupambania, Natafuta ajira, Extrovert, Equation x, mzabzab, DeepPond, Robert mtibeli, Analyse na Umughaka

    Shout out to you brothers, wengine kati yenu mna vipaji vya kuelezea story k.v Eric shigongo, wengine mnatoa post zenye falsafa iliyo timamu, wengine kati yenu huwa nikisomaga comments au post zenu mara nyingi huwaga nacheka kabla ya kujibu, wengine majina yenu ya humu yanachekesha, mara...
  12. H

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Noti za tsh 1000 na 2000 zibadlishwe material ya utengenezaji huwa zinachoka sana katika mzunguko

    Salama humu. Sijui ni lini hizi noti zilianza kutengenezwa na kuanza kutumika, naona ni muda mrefu sana umepita. Na ni muda sasa muafaka wa kupata noti mpya hasa hizi za tsh 1000 na 2000. Unajua hela ya noti kwa nchi ni kama nembo ya Taifa. Zinawakilisha nchi na wageni mbalimbali wanazitumia...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Wazungu ndo race yenye stress zaidi duniani

    Hawa jamaa historia inawahukumu sana, 60% ya wazungu wote wana depression ambayo imekuwa affected na historia ya hio race. History ya slave trade imeeathiri sana akili za current generation ya wazungu. Uzuri wazungu sio wanafiki ulaya yote mashuleni wanasoma history yenye slave trade ndani...
  14. JamiiForums Tanzania Polisi wa Tanzania wana vipaji sana! Wanaweza kubaini matokeo kabla hayajatukia.

    Huyu "alimtabiria" Mbowe kutokushinda uchaguzi kiti cha ubunge Jimbo la Hai 2020 na ikawa hivyo!
  15. A

    JamiiForums Tanzania KERO Inashangaza sana: Afisa Elimu adai walimu wanaoomba kuhamia CHAKUHAWATA ni wanaharakati wa vyama pinzani!

    Juzi kati hapo baadhi ya walimu wanaojitambua halmashauri ya Muleba mkoani Kagera walimwendea mkurugenzi kudai haki yao kuhama CWT kwenda CHAKUHAWATA kwenye makato nafuu (elfu 5 tu haijalishi unapokea ngapi tofauti na CWT wanaokataa 2% ya PAYE yako). Wakiwa ofisini wakiendeleza mazungumzo na...
  16. JamiiForums Tanzania Tofauti ya ulaya na bongo ni vichekesho sana

    Ulaya umri mdogo tu! Unakuwa maisha yako safi. Bongo umri mdogo upo darasani unasoma aina ya nomino ona utofauti ni vichekesho sana
  17. JamiiForums Tanzania Kwanini waliotuletea mahindi wao hawali ugali?

    Ugali ni chakula cha kushangaza ambacho hupendwa sana na watu wengi Africa Mashariki, kati na magharibi. Tatizo la ugali ni kwamba hauna ladha, hauliki wenyewe bila chakula cha ziada. Wazungu waliotuletea mahindi Africa karne ya 17 wao hawali ugali, wachache wanaokula wameendelea kula mahindi...
  18. G

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ni ngumu kwa mtu ambitious kuridhika na Ukuu wa Mkoa, 2025 Makonda anaingia bungeni kwa kutumia jimbo gani?

    Makonda ni very ambitious, ni ngumu sana kutosheka na cheo cha RC, ili kuwa na vyeo venye power kubwa zaidi kama Uwaziri njia ya uhakika ni kuwa mbunge. 2020 alikurupuka ila round hii itakuwa kajipanga vilivyo swali, je atatumia jimbo gani?
  19. JamiiForums Tanzania Iringa ni pazuri wakuu?

    Sijafika Iringa mkoa naousikia mzuri sana mimi napenda kujua upande wa mito inayotiririsha maji mwaka mzima na vipi kuhusu majengo yaliyopo Iringa majengo ya kweli yamekwenda hewani. Naombeni picha za mji wa Iringa wakuu kuanzia Ruaha na Mjini na maeneo ya mabonde yanayoleta maji Rufiji.
  20. R

    JamiiForums Tanzania Tudadavue kauli hiiya Rais Samia: Polisi hongereni sana, nchi imetulia

    "Nawapongeza jeshi la , polisi wanatekeleza mapendekezo ya tume, lakini wanatekeleza maelekezo yangu na kama mnavyoona pilikapilika za kisiasa zinaendelea, nchi imetulia kabisa. Polisi hongereni san sana sana... by Rais Samia Maelekezo gani? My take: Polisi wanashukiwa kutekeleza utekaji...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…