sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. Mwanasimba mwenzetu micky jnr ameumia sana simba kukandwa.

    I salute you kinsmen. Huyu mwandishi kanjanja na tapeli tapeli kutoka Ghana na shabiki kindakindaki wa simba yetu aka chupi upande naona wazi kaumia sana na matokeo ya jana sanaa. Kumbuka aliahidi hatokuja kuwapost yanga kwa lolote, inshort amekuwa akiweka habari negative tu za yanga jla zile...
  2. W

    Gari Brevis tamu sana kwa safari ndefu!

    Nina gari Brevis Cc 3000 hii chuma nikitangulia usinifuate aisee, gari inakimbia sana na imetulia kabisa safari ndefu huwa nakimbiza huku nacheka tu jana nimetoka Dar asubuhi mpaka Mwanza gari imetulia kabisa ukiwa speed 150 unaona kama iko speed 50. Nina prado ila prado huwa naliacha nasafiri...
  3. C

    Uwezo wa Israel unakuzwa sana

    Ndani ya wiki moja tumeshuhudia makombola ya Hezbollah yakitwanga kambi ya jeshi ya Israel na kusababisha vifo vya wanajeshi kadhaa na majeruhi wengi. Leo kumeripotiwa shambolio jingine lililolenga makazi ya Netanyahu. Haya makombora yanapita wapi ikiwa taifa hili linasemwa kuwa na mifumo...
  4. A

    Ayatollah Khomen Anasena Israel ni Mtoto Mdogo Sana Mbele Ya Hezbullah

    https://youtube.com/shorts/ieBLRTPg-xE?si=Mf1qykB9kyqh8kt3 Ujumbe ndio huo leo kutoka kwa Ayatollah Khomen, asema Israel ni watoto sana mbele ya Hezbulla. Hawaiwezi Hezbullah. Hivi kuna kuna dharau kama hi tena. Ayatollah anasema Israel lazima wakuze akili zao wasifikirie hata siku moja...
  5. L

    Akili inakataa kuwa Camara kauza gemu ile, Nakuomba sana Magori msifikie huko

    Bw Magori amepost kwenye page yake akionekana kumtuhumu Kipa wetu Camara kuwa hakuwa sababu ya kuurukia ule mpira akiamini Camara alifanya mchongo Magori wewe ni mtu makini sana na watu wanakuamini mno, kwamba Camara kachonga ishu sikubaliani na ww hata kidogo Kama lawama basi apewe Kijiri...
  6. Camara ni Golikipa mzuri tena sana ila Kujiamini kwake kunatuponza

    Golikipa mzuri anajua kudaka kiwango chake ni cha juu sana footwork yake pia ni nzuri ishot ni aina ya golikipa wa kisasa ila tatizo la golikipa wetu hakubali kwamba sio kila mpira unaomjia ni wa kuhangaika nao. Shuti kama lile lilikuwa na haja gani ya kukomaa nalo kulirudisha uwanjani? Kwann...
  7. Siku hiyo alikuwa romantic sana, kumbe njaa ilimzidi

    Mwanaume "mwenye kila kitu" kuna mtihani kidogo kumjua mwanamke mwenye mapenzi ya kweli. Wanawake wengi mapenzi kwa vitendo ni feeling experession na availability yake kwako, mbali na hayo basi ni kukupa dudu. Tofauti na mwanaume mwenye ziada nyingi za kuonyesha kukupenda. Sasa kwa mwanaume...
  8. Ni ngumu sana kumpa Mwanamke anaeweze kuvumilia kila hali ngumu za maisha unazokumbana nazo Mwanaume

    Intro: Bila salamu. Literature Review: Ni kwamba ni ngumu sana kwa mwanaume kumpata mwanamke mvumilivu wa kila hali, hapa nieleweke ninaposema kila hali hususani hali ngumu za maisha yaan ukata, hali ya kutokuwa na kitu mfukoni, umepigwa ukapigika, umepigwa ukapauka ukafubaa, hali ya kukimbiwa...
  9. Jiji la Arusha lina watu nadhifu na wasafi kuliko majiji yote

    Nimetembea Dar, Mwanza, Mbeya, Dodoma, Tanga na Arusha yenyewe ambako kuna yanayoitwa majiji ya nchi yetu, niseme tu watu wa jiji la Arusha wanaongoza kwa unadhifu na usafi wa binadamu na mazingira. Yani hata ukipanda daladala (wenyewe wanaita hiace/Haisi) za Arusha harufu ya kwenye daladala...
  10. B

    Mwanzoni mtaishi kwa amani sana. Akishapata pesa tu amani inatoweka

    Kama unadhani nasema uongo muulize Nikki wa Pili. Ama nasema uongo ndugu zangu?
  11. Ama kwa hakika, jamaa aliye kwenye hii gari anakula maisha sana

    Yani Kwanza jamaa unaonekana hela ipo, demu mkali anae, halafu demu mwenyewe bado mdogo Mali mpya kabisaaaaa. Na demu mwenyewe yupo romantic kuliko mademu wengi Sana hapa nchini Natamani wanawake wengine mngekua kama huyu
  12. Baada ya Jaja Mwizi kuuliwa, Chadi Maela naye afariki kwa kipigo cha Wananchi huko Mikocheni

    ASSLAHAM ALHEIKUM USIKU WA LEO TUMEMPOTEZA MWIZI MASHUHURI WA KAWE CHADI MAELA NA DREVA MMOJA WA PIKPIK KIJANA BAADA YA KUMKOSA KOSA HUKU KAWE WALIAMUA KUFUNGA NIA KWENDA MIKOCHENI JANA WAKAFANIKIWA KUFIKA WATATU DUKA MOJA LA JUMLA WAMEFANIKIWA KUFUNGUA Duka WAKANZA KUTOA MIZIGO MWENYE...
  13. Pssf..nssf hawa madafa muwabadilishe vituo wanajisahau sana kwa dharau

    Inavyoonekana kunamadafa wamekaa mda mrefu sehemu moja hizi ofisi ushauri tu muwe mnawabadilisha vituo wawe na akili Niliwahi.lalamika mwakajana hapa unakuta moo foleni anakuja mtu.mmija ama wawili hawakai folen kisa wameshambiwa kwa msg njoon akitoka huyu Sasa wimbi lingine limeibuka mko 14...
  14. Kongole sana Muleba Ibin Kagera kwa kujisimamia vizuri

    Anaandika Mo Mlimwengu. Wakati tunasoma shule kuna watu walikuwa hawana juhudi za kuzingatia masomo na wengi wao walikuwa ni watoro hata darasani. Walikuwa na nidhamu mbaya kwa walimu wao. Lakini ilipofika kipindi cha matokeo wote walikuwa makini kufuatilia matokeo yao. Na walivyopata matokeo...
  15. Kinachoniuma ni kwamba Bunge la Tanzania halina hata mamlka ya kumuhoji mkuu wa wilaya

    Bunge la Tanzania halina mamlaka hata ya kumuita na kumujoji mkuu wa wilaya na wakimuita haendi na hawana cha kumfanya. Hili ni bunge la wapiga makofi na wakitoka hapo zile Posho zao wananunua Bati na mifuko ya cement wanaenda kuhadaa wajinga jimboni mwao. Sasa angalia ni tunahitaji miaka...
  16. Tuache utani Wanayanga Simba ni team hatari sana, naogopa

    I salute you kinsmen. Kwa kweli Simba ya sasa ni hatari sana mpaka wanayanga tunaogopa sana hata match yenyewe. Yaani mimi naona wazi kabisa siku hiyo matokeo hayatakuwa upande wetu kama mzunguko uliopita walipokula 5. Mzunguko simba wamekuwa hatari sana uwanjani kuliko yanga tujipange sana...
  17. Mwenye Mama amheshimu sana

    Na kama ameshatangulia mbele ya haki, basi isipite siku bila kumuombea Dua. Ni hayo tu kwa Leo.
  18. Kwa nini content creators wanapata wakati mgumu sana kufikiria maudhui mapya?

    Septemba 16 2024 Dunia ilipata taarifa kuwa Sean Combs ametiwa nguvuni na mamlaka na kuzua gumzo kubwa sana katika vyombo vya habari duniani, siku chache baadaye chombo cha habari cha TMZ kilitangazia dunia kuwa katika nyumba ya Combs kumekutwa zaidi ya chumba elfu moja za mafuta ya watoto (Baby...
  19. M

    Israel imetuangusha sana. Ule mkwara tukajua kisasi kitalipwa kesho yake tu

    Sisi wayahudi wa Matosa, Chamwino, Goba na kijichi hatuamini kama kweli umeogopa kulipa kisasi kama ulivyoahidi. Mkwala wote ule tukajua kesho mapema tu F 35 zinakwenda kuisawazisha Iran. Aaaaaah !! Jamani Yahudi tunavyokujua kuwa hauguswi . Imekuaje sasa. UNAJUA UKIMYA WAKO UMEMPAISHA SANA...
  20. E

    Natafuta gari ambayo ni ya zamani ila haijachoka au kutumika sana

    Popote ulipo mrembo mwenye miaka 26-30 , isiwe single mother Nimechoka kuishi peke yangu karibu tusaidiane maisha uwe mke wangu Uwe wewe au una mdogo wako au rafiki yako mjulishe taarifa hii
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…