sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania M wekeza Raha sana aisee nasubiri mpunga tu nikiwa na Taulo kibarazani nikinywa maziwa wife akiandaa vinono

    Habari za kuhangaika barabarani Sasa hivi kwisha hela yangu ndio inaniletea pesa mwaka huu watu mtaani watajiuliza nafanya kazi Gani ni mwendo wa kugegeda watoto wakali hahaha
  2. JamiiForums Tanzania Jua kali tamthilia wamezingua sana

    Habari za Jumatatu Moja kwa moja kwenye mada ni kwamba nimekuwa nafuatilia tamthilia hii bila kufuata mtiririko. Ila siku za karibuni nimeifuatilia bila kupenda kwa kuwa nilikuwa nabembelezwa nitoe remote na kubadili chaneli. Hivyo wakati nasubiria tamthilia iishe, ilibidi kutazama ndipo...
  3. JamiiForums Tanzania Ni kweli Kipa Camara tunampenda na Katusaidia sana, ila aambiwe Ukweli kuwa Jana ilibakia kidogo tu angetugharimu hasa Kinidhamu

    Aina ya ule upotezaji wake wa Muda kuna mahala ulikuwa unaonekana kabisa kuwa alikuwa akiitafuta ama Kadi ya Njano au Nyekundu kwa lazima ili labda Timu idhoofike au asicheze Fainali ya CAFCC kama Timu ingefuzu au labda huku Kusifiwa kwingi Kwake kumeshamharibu na anajiona Peter Shilton wa zama...
  4. JamiiForums Tanzania Yanga tumeumia sana, tuandae mapokezi makubwa kwa Berkane watakapokuja

    Sisi wa jangwani tumeumia sana. Ni muda muafaka tuandae mapokezi makubwa kwa Berkane watakapokuja maana hiyo ndio kazi tunayoiweza.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Huyu mtu hafai atakutesa sana na kufanya usione thamani yako

    1.Ambaye muda wote anakukosoa kana kwamba hakuna hata siku moja umewahi kupatia hii ni dalili kuwa wewe sio yule akutakaye 2.Muda wote anakulaumu tu kana kwamba hakuna hata siku moja umewahi kuwa mwema kwake hii ni dalili HANA MUDA NA MAZURI YAKO 3.Mara nyingi anakutishia kuwa kuna watu...
  6. JamiiForums Tanzania Kama huamini uchawi kwenye biashara basi wewe bado sana kwenye biashara,sitasahau hili tukio

    Habari zenu wana jamiforum ,hakika hili jukwa linazidi kuwika kila siku maana kila unachohitaji kujifunza kipo hapa . TWENDEE KWENYE MAADA. Katika harakati za kufanya biashara yangu ya dagaa nilipata mteja mmoja ambae sijawahi na sikufikiria kuwa inaweza kuwa hivyo maana mambo ya ushirikiana...
  7. JamiiForums Tanzania CCM wanaogopa sana haki kwanini?

    Tumefikia mahala watawala kutoka CCM hakuna kitu wanaogopa kama haki. Wako tayari kuteka, kuua ama kupoteza watu ili kuzuia haki. Tumefikaje hapa? Hali itakuwaje kama wataendelea kutawala miaka 15 au 20 ijayo? Kwanini hawataki kabisa haki itamalaki hapa nchini?
  8. JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi nafasi ni nyingi mshahara mnono sana

    Kutoka kwa Rajiv J. Shah Rais wa The Rockefeller Foundation Je, ungependa kusaidia kuendeleza upatikanaji wa nishati na umeme barani Afrika? Mapema mwaka huu, serikali kadhaa za Afrika zilisaini Mikataba ya Kitaifa ya Nishati ili kupanua upatikanaji wa umeme na kukuza uchumi wa bara hili. Ili...
  9. JamiiForums Tanzania Vichekesho haviishi ,nimecheka sana

  10. JamiiForums Tanzania Waliojiajiri wana furaha sana kuliko walioajiriwa

    Za leo wakuu.Kila mtu kuna namna anapata riziki zake hapa duniani. Nimefanya uchunguzi kwamba watu waliojiajiri wana maisha ya furaha sana. Wanasiasa wengi wana hela na vyeo ila ukichunguza hawana amani. Walioajiriwa maofisini ni lazima uamke asubuhi ukasaini hata kama bado usingizi ni mtamu...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Kuna mstari mwembamba sana unaomtofautisha kahaba, mchawi na jambazi

    Hellow! Kwa mwonekano wa nje, hawa watatu kuna wakati huwa wanapingana lakini ni kitu kimoja. 1. KAHABA. IIli awapate waume kirahisi, atahitaji uchawi, awaroge wote wamuangaliapo Ili wafungwe fikra na kumtamani Kisha awatie kifungoni na kusahau ndoa zao au kuwasahaulisha vijana kuoa. Huu nao...
  12. JamiiForums Tanzania Mnisamehe sana

    Sina mengi ni hivyo... Nimekaa nimejitafakari sana Kuna kaka zangu na dada zangu tumeongea inbox. Mnisamehe sana. Nimejifunza Kwa njia ndefu ... Mbarikiwe sana. Mnisamehe ....
  13. JamiiForums Tanzania Angalizo: Viongozi wa Simba wajihadhari sana na siasa

    Natoa angalizo hili kwa nia njema kabisa kwa klabu ya Simba SC. Klabu ya Simba inapoelekea katika mechi ya kesho na kama Mungu atajaalia ikaingia fainali, ijihadhari sana sana na kujiingiza katika mitego ya kisiasa. Ni jambo moja kuishukuru serikali kwa mchango wake wa hapa na pale katika timu...
  14. JamiiForums Tanzania Boring businesses zina pesa nyingi sana

    Boring businesses zina pesa nyingi sana. Sababu? Competition ni ndogo na watu wengi wanazidharau kwa sababu “hazipendezi” Leo nakupa mifano ya biashara za “kukera machoni pa watu” lakini zinapiga hela ile mbaya. 1. Kununua na kuuza chuma chakavu maarufu kama Skrepa Umeona unavyoiona ya...
  15. G

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Samsung A34 iliyopo kwenye hali nzuri sana inauzwa bei nafuu

    Wadau nauza hii simu yangu Maelezo yake na picha hapo chini Samsung A34 Storage 128gb Inakaa na chaji zaidi ya masaa 24 ukiwasha data na mpaka siku 3 bila data Napatikana Dar es salaam Namba 0765137266 Bei Tsh 430,000
  16. JamiiForums Tanzania WaTanzania ni watu waoga na waporojo sana

    …naona wote mpo busy na msiba wa Papa, lakini hamjui kinachoendelea Tunisia 🇹🇳… Tunisia 🇹🇳 kuna Rais mwendawazimu anayeitwa Kaïs Saïd, Dikteta zaidi ya Kambare… Huyu jamaa anamiliki serikali, Bunge na Mahakama zote nchini humo… Juzi, kawahukumu viongozi wa upinzani, mawakili wao...
  17. JamiiForums Tanzania 🐔 Unataka Kuanza Ufugaji wa Kuku? Hizi Ndio Sababu Kwanini Wafugaji Wengi Hupoteza Fedha Kabla mapema sana ! Soma hizi Sababu 4 kuepuka kufeli !

    🐣 Unataka Kuanza Ufugaji wa Kuku? Hizi Ndiyo Sababu Kuu Kwa Nini 70% ya Wafugaji Huacha Kabla ya Miezi 6! 😩👇 1️⃣ Bajeti 💸 – Wengi Huanza Bila Mpango wa Fedha Watu wengi huingia kwenye ufugaji bila kujua gharama halisi za: 🔹 Chakula 🔹 Dawa 🔹 Vifaa 🔹 Huduma Matokeo? Mtaji unaisha kabla kuku...
  18. JamiiForums Tanzania Ama hakika, azamtv wamebadilika sana

    Yani kwasasa wanakupa kitu kinachouza zaidi bila kujali itikadi ya Dini, Miaka ya nyuma wakati wanaanza hawakua hivi! Safi Sana Hongera sana Sheikh, maalimu Mzee bakhresa
  19. M

    JamiiForums Tanzania Vatican ni nchi ya ajabu sana duniani. Inatakiwa iingizwe E Guinness World Records

    Hii Vatican ni nchi? Mfumo wake wa upigaji kura uko vipi? Yaani raia wake wanapiga kura kumchagua Rais Kwa mfano Iran kuna Rais ambae ni kiongozi anaechaguliwa na raia wa Iran. Kuna Ayatollah Ali Khamenei, hachaguliwi kwa kura za wananchi moja kwa moja, bali huchaguliwa na chombo kinachoitwa...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Poleni sana wapambanaji mlio mstari wa mbele kupigania UKOMBOZI wa Nchi hii.

    Naomba tusikate tamaa, kwa hali ilivyo sasa, inaonekana wamepanga kumsimika madarakani si kwa kuchaguliwa bali kwa nguvu, yaani iwe kwa kuumiza watu au kwa namna yoyote ile. Kwa hali hii, nadhani sasa kuna haja ya kupanga mikakati na njia mpya kabisa za kutafuta HAKI katika Taifa hili. Kama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…