samsung

  1. M

    JamiiForums Tanzania Sim INAUZWA SAMSUNG galaxy A32

    Samsung Galaxy A32 GB 128 Ram 4 Sim Mpya Kabisa Aimjui Fundi Bei 240 Maongezi yapo Kidogo Pia Nafanya Exchange Na Samsung A15 TU BASI Piga sim chapu 0612323330
  2. M

    JamiiForums Tanzania SIM INAUZWA SAMSUNG A12

    Samsung A12 Gb 64 Ram 4 Bei 125 Sim Ina Clek ambayo Aina madhara piga sim chapu 0612323330
  3. S

    JamiiForums Tanzania TV4Sale Nauza TV Samsung inch 55, bei kitonga

    TV imetumika miezi 4, bei 1,200,000 Tu. Location: Jet Lumo (Dar es salaam) Contact: 0620813101
  4. JamiiForums Tanzania Wakuu naomba kuuliza Hivi hizi simu za Samsung gt e1207 bado zinafanya kazi mpaka miaka hii

    Naitaji kununua na nimeiona dukani ila ni simu za mda mrefu sana, so najiuliza na naomba mnisaidie watu wa tech, je ni bora na zinafanya kazi vizuri tu au ninunue tecno ya elfu 20?!
  5. JamiiForums Tanzania Samsung A05

    Simu imezima ghafla na haiwaki tena. Mafundi wamejaribu kuwasha imegoma. Tatizo nini labda wangwana
  6. O

    JamiiForums Tanzania Huawei wangekuwa namba 1 kwenye soko kisha Samsung. Shida figisu

    Huu ndo ukweli. Checki wanavyo emerge https://youtube.com/shorts/LU34ylP10eo?si=lDy4ipNGT3emQO13
  7. JamiiForums Tanzania Kosa Hili Liliwagarimu Samsung, Google Pixel Wakawapiga Bao

    Samsung baada ya kushika soko kwa muda mrefu wakajisahau na kuona wanaweza kufanya wanachojisikia sokoni , google pixel wakaja wakawapiga bao na sasa vijana wengi hupendelea zaidi kuliko Samsung. Ona mbaka nasahau kusalimia , Habari gani mwanakidigitali ? Naitwa Baraka Mkisi mnazi wa...
  8. JamiiForums Tanzania SAMSUNG FAST CHARGE

    OFFER 🔥OFFER ‎SAMSUNG FAST CHARGE ‎Rejareja:Tsh12,000/= Jumla:Tsh8,000/=Kuanzia pc10 TYPE C TO C ‎Brand: new ‎Cont:+255682697124 ‎Delivery: 🚚 Ipo Mikoani tunatuma✅ ‎Delivery juu ya mteja ‎Instagram:Mrnokia_Tz ‎Facebook:Mrnokia_Tz ‎Tiktok:Mrnokia_Tz ‎Tunapatikana Dar es salaam at mikocheni 'a'
  9. JamiiForums Tanzania SAMSUNG SMART 4K CRYSTAL UHD INCH 55

    SAMSUNG SMART 4K CRYSTAL UHD INCH 55 TV NYEMBAMBAA 950,000 0744680670 LOCATION ILALA
  10. JamiiForums Tanzania Kwanini watu wanapenda simu za Samsung?

    Sure situmii Samsung na wala sio kampuni namba moja ya simu kwenye moyo wangu, ila ukitoa kampuni ya simu ninayoipenda kuliko zote, basi Samsung ndio inafuatia moyoni mwangu Kuna sababu nyingi sana, licha ya kuwa midrange za Samsung hazitumii sana zile strongest processor ukifananisha na simu...
  11. JamiiForums Tanzania SAMSUNG B310

    OFFER 🔥OFFER ‎Samsung B310 ORIGINAL ‎Earphone,Charge ‎Fm Radio ‎Bei Tsh30,000/= ‎Brand: new ‎Batter: 1000mAh ‎Cont:+255682697124 ‎Delivery: 🚚 Ipo Mikoani tunatuma✅ ‎Delivery juu ya mteja
  12. Q

    JamiiForums Tanzania SAMSUNG NOTE 10+

    Samsung Galaxy Note 10+ inauzwa kwa Tsh 300,000 tu! 🔹 Hali: Ipo katika hali nzuri sana, haina tatizo lolote 🔹 RAM: Kasi ya hali ya juu kwa multitasking 🔹 Storage: Nafasi kubwa kuhifadhi picha, video & apps 🔹 Kamera: Picha safi kama za kamera ya kitaalamu 📸 🔹 Battery: Inadumu muda mrefu –...
  13. Q

    JamiiForums Tanzania Samsung note 10 plus

    Nauza Samsung note 10+, haina shida yoyote. Bei Tshs. 300,000/= kwa mwenye uhitaji tafadhali anipigie kwa namba 0685063688. Karibuni sana.
  14. JamiiForums Tanzania Phone4Sale Nauza nokia 106 rejareja na jumla

    Nauza nokia 106 kwa tsh24,000 bei ya rejareja na jumla tsh18,000 tupapatikana dar mikoani tunatuma pia +255682697124 Tunapatikana Dar-Mikocheni. Mikoani tunatuma na Dar delivery pia ipo ni juu ya mteja. Karibuni
  15. JamiiForums Tanzania Samsung earphones tuned by akg bei poa sana

    🎧 Samsung USB-C Earphones – Tuned by AKG 🎧 💯 Sauti Safi, Ubora wa Hali ya Juu! ✅ Imetengenezwa kwa ushirikiano na AKG – wataalamu wa sauti duniani ✅ Sauti ya kina, bass laini na treble ang’avu ✅ Inafaa kwa simu zenye USB Type-C ✅ Inakaa vizuri masikioni – haichoshi ✅ Bora kwa muziki, mazungumzo...
  16. A

    JamiiForums Tanzania Simu ya zamani Samsung galaxy grand prime + Inasumbua

    Nimekua nikitumia simu hii kwa muda mrefu tangu mwaka 2019 hadi nilipopata changamoto ya kugoma kuwaka baada ya kuinstal App ya kudownload content mtandaoni ambayo niliitoa nje ya playstore. Baada ya kuipeleka kwa fundi aliniuliza kama naweza kukumbuka email na password za google akaunti yangu...
  17. JamiiForums Tanzania Samsung kuna mpango wa kusitisha simu zake kufungia ili kupunguza mafundi wanaotumia kubadilisha IMEI na FRP

    Samsung kutokana na kukimbizana na ushindani sasa wanakuja na mpango kama ulivyo simu za iphone kama ujawa wakala wa IT mwenye sifa zao na ruhusa ndani ya huduma zao basi uwezi kubadilisha lolote. Hii itaweza kuzuia kama mifumo ya icloud ya Iphone . Mafundi simu naona mwanzo wa kuuza kama...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Samsung washing machine ww90KK6610QX looking for power supply attached here to

    The ic on that big heat sink is shorting can not find the ic thus looking for the power control board Ic ambayo Iko kwenye hilo bati kubwa, (heat sink), imeungua nimeshindwa kuipata hiyo ic ndiyo sababu natafuta board nyingine
  19. M

    JamiiForums Tanzania Samsung A35 original kwa dar wapi ntapata

    Wakuuu nakuja kwenu nataka kununua sumsang A35 oringal full box,Niko dar maduka Gani wanauza samsung original
  20. M

    JamiiForums Tanzania Budget ya 500k-700k Samsung mpya version ipi nzuri camera quality,betri chaji mda mrefu,fast charging

    Habar wakuu nataka kuhama kutoka kwenye Xiaomi kuja sumsung ,naombeni msaada wenu nitoleo jipi hasa matoleo mapya naweza pata Samsung yenye camera quality,betri kukaa na chaji mda mrefu,na iwe fast charging na je maduka Gani Hasa kariakoo napata mpya fullbox,
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…