samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Rais Samia, Nchi umeifungua haswa, mengine yajayo ni ya kupuuzwa!

    Nchi imefunguka kisawa sawa, dunia yote macho kwa Tanzania, Tanzania hii sasa, kwa kuwa ina heshima yake, basi tuifungue na tuidumishe heshima yake sambamba. Ujio wa wageni mbalimbali kwenye kesi ya Lissu, ni moja ya mapokeo au matunda ya ufunguzi wa taifa letu kwani nathubutu kusema...
  2. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Samia vs Wakenya: This Ain’t It, Mama – Fedhea kwa Taifa, Not Classy at All!

    Yaani kweli kabisa, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anasimama hadharani, bila aibu, bila busara, na kusema Wakenya ni watovu wa nidhamu? For real? That’s messed up! Mama Samia, hii siyo njia ya kuongoza taifa lenye watu wazima, wasomi, na wenye fikra huru. Hawa Wakenya uliowazodoa...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Nimeona leo Mzee Kikwete anamshangaa Rais Samia!

    Kikwete ni kama anamshangaa leo Samia hasa aliposema Tanzania sio shamba la bibi! Kikwete naona alikuwa anamshangaa Mama maana anajiuliza huyu Mama mpaka leo hajui kwamba Lissu hawezekani? Lissu kawashinda Mkapa, Kikwete na Magufuli huyu Mama na Polisi mchara machawa hawatamweza. Lakini...
  4. JamiiForums Tanzania Inawezekana hii habari ilimkasirisha sana Rais Samia!

    Hata ungekuwa wewe!
  5. W

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Hatutatoa nafasi kwa kiumbe yeyote kuja kutuvurugia hapa

    Rais Samia Suluhu Hassan ameiomba Wizara ya Mambo ya nje, Wizara ya Mambo ya Ndani na vyombo vya ulinzi na usalama kuchukua hatua za haraka kwa wanaotumia mitandao na teknolojia vibaya, akikemea pia wingi wa wanaharakati kutoka nje ya nchi wanaojaribu kuingilia mambo ya ndani. Rais Samia...
  6. JamiiForums Tanzania Rais Samia kufungua Daraja la JP Magufuli (Kigongo - Busisi), Juni 19, 2025

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika hafla ya ufunguzi wa Daraja la JP Magufuli (Kigongo-Busisi) lenye urefu wa kilometa 3 na barabara zake unganishi zenye urefu wa kilometa 1.66 utakaofanyika tarehe 19 Juni, mwaka huu. Hayo...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Lissu: Ushauri wa Bure kwa Rais Samia, achana na hii kesi Haina maslahi yoyote kwako, CCM, wala nchi!

    Kwako rais Samia: Aibu hii ya nini? Lissu ni kama Yesu mbele za Pilato. Hana hatia. Wanaopaswa kukushauri kuachana na kesi hii wanasubiri uangukiwe na jumba bovu. Utakuwa mgeni wa nani kwa mwendo huu? Achana na kesi hili la kubumba. Wawajibishe wote wasiokutakia mema. Acha haki...
  8. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wanavyuo Mkoa wa Iringa wasema watampa Mitano Rais Samia

    Wakuu! Wanavyuo wa mkoa wa Iringa ambao pia ni Wanachama wa Kampeni ya 'Mama Asemewe' katika kongamano kubwa la wanavyuo lililofanyika katika mkoa huo lililobeba jina la Kongamano la Tafakuri ya Wasomi na Miaka minne ya Rais Samia.
  9. L

    JamiiForums Tanzania Ushindi Wa Professa Janabi Wanibubujisha Machozi Ya Furaha nikiwa Nimepiga Magoti Mbele Ya Picha Ya Rais Samia Kumshukuru kwa Ushindi huu aliotupatia.

    Ndugu zangu Watanzania, Huu ni Ushindi wa kihistoria,Ni Ushindi wa Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini...
  10. JamiiForums Tanzania Rais Samia hukubaliki kwa wananchi wa kawaida

    Ni ukweli tena ukweli mtupu. Wewe mwenyewe unajidanganya,wanaokuzunguka wanakudanganya. Angalia mikutano ya chadema inavyokuvua nguo. Hadi wananchi wanakimbiza gari za akina Heche ambaye ni makamu wa mwenyekiti. Vibe kama lote. Naamini wewe hujawahi kupata shangwe kama hilo. Wananchi...
  11. JamiiForums Tanzania Kwanini Rais Samia hakugusia utekaji kwenye hotuba yake ya funga mwaka au ni yale yale kuwa kutekwa, kuuawa na kupotezwa si tatizo?

    Kwanza, namshukuru mheshimiwa rais, Samia Suluhu Hassan. Pili, sijui watanzania wanachukuliaje hotuba yake ambayo haikugusia utekaji na mauaji vinavyoendelea? Kweli ameanza na tumeanza mwaka kinamna bila tumaini wala mipango ya kuondokana na kadhia ya utekaji ulioanza kuzoeleka nchini. Pia...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Kwa Mkapa kulifungwa kwa matengenezo ya Bilioni 30, CAF imehamisha fainali Zanzibar. Tulipohoji tulionekana wachochezi, acha tujifunze kwa uchungu

    serikali ilidhani wakosoaji tunawapigia kelele, sasa kelele zinatoka CAF! Club ya Berkene imejulishwa na CAF uwanja utakuwa Zanzibar. Simba hawajui kinachoendelea, kwenye page yao wameandika taarifa kamili ni baada ya mechi ya ugenini. Uwanja wa Zanzibar huwa ni mgumu sana kwa mechi za Simba...
  13. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mchungaji Msigwa: Ningependa Tundu Lissu ashinde Uenyekiti CHADEMA kwa faida ya demokrasia ya Tanzania na hata kwa CCM yenyewe

    Mchungaji Msigwa ameeleza wazi kuwa anamuunga mkono Tundu Lissu katika kinyang’anyiro cha Uenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Akizungumza kuhusu mwelekeo wa uchaguzi huo, amesema: "Mimi nam-support Tundu Lissu, ningependa ashinde, lakini ni matatizo yao hayo. Mimi, yeyote...
  14. JamiiForums Tanzania Je, ya Makonda tumuachie Gambo au ya Gambo tumuachie Makonda au ndiyo ile inayosemekana kuwa Mkakati wa kuendelea kuharibu mambo sana ili Samia afeli?

    ARUSHA NI VITA YA EGO; MAKONDA VS GAMBO JIVISHE uhakimu, andika hukumu ya Paul Makonda. Ametumwa na Rais Samia Suluhu Hassan, kwenda kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha. Mkuu wa mkoa ni nembo ya rais. Matarajio ya Rais Samia kwa Makonda ni kumsaidia kazi na kutunza misingi ya uongozi wake ndani ya jiji...
  15. JamiiForums Tanzania Uchaguzi ni wa watanzania na wanayo haki ya kufanya mabadiliko yoyote pale panapohitajika huu sio uchaguzi wa samia wala wa mtu mmoja

    Tutalazimisha mabadiliko yafanyike kwani huu uchaguzi sio wa samia wala wa nani, uchaguzi ni wa watanzania wote lazima tuongee lugha moja ndio uchaguzi ufanyike kwa haki hakuna haki kama mtu mmoja hajiamulie vitu kutoka chumbani kwamba uchaguzi uwe hivi au uwe vile bila wengine kutaka.
  16. JamiiForums Tanzania Mambo Rais Samia h(a)tafanya 2025/30!

    kama akifanikiwa kweli kutawala mpaka 2o3o, itathibitisha mambo mengi kwamba yote yaliofanyika yalikutwa tayari yamefanyika, hivyo mpa 2o3o haitajengwa hata km 5 za sgr kuanzia dodoma kuelekea manyoni, sgr dar-dom ndiyo mwisho na hata itakufa na kuota nyasi kwenye mataluma mpaka 2o3o, tuwekeni...
  17. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Samia asitulazimishe uchaguzi wowote kama utakuwa wa haki basi tufanye mabadiliko kama hataki ni wazi uchaguzi ni wakitapeli

    Samia asitulazimishe uchaguzi wowote kama utakuwa wa haki basi tufanye mabadiliko kama hataki ni wazi uchaguzi ni wakitapeli. Hatuwezi kushiriki uchaguzi ukawa wa haki ikiwa hata maamuzi ya uchaguzi ufanyike vipi umeegemea tu upande mmoja, kama ni haki na huru twende tukafanye mabadiliko kwa...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Sababu za copy and paste ya Rais Samia kushidwa

    Rais Samia na wapambe wake wanashangazwa na hawaelewi kwanini kwanini copy na paste mambo ya Magufuli hawaendi kama wakati wa Hayati Magu 1. Watanzania wamesha elimika zaidi 2. Kushidwa kuzuia rushwa kama wakati wa Magufuli . Watanzania walikuwa wanaona hilo 3. Mitandao imeongeza uwazi wa...
  19. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kiliba: Matatizo ya wanachuo yameisha kipindi cha Rais Samia

    Kwani Wanachuo wenyewe mnasemaje? Rais wa TAHLISO Geofrey Kiliba akiongea na waandishi wa habari jijini Dar es salaam kuhusu maslai wanayopata wanachuo kwa kipindi hiki cha awamu ya sita chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan.
  20. JamiiForums Tanzania Msafara wa Rais Samia ukitoka upareni mazikoni kwa Cleopa Msuya

    Magari kama yote
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…