samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Je, CCM kumpitisha Rais Samia kuwa mgombea pekee ni mkakati wa kumtengenezea njia kiulani mtu fulani kwa 2030?

    Kiuhalisia mwaka huu Rais Samia Suluhu Hassan ametimiza miaka 10 ya mihula miwili ya awamu ya tano yaani 2015-2025 ambapo hayati John Magufuli alifariki mwezi March 2021. Lakini kilofanyika Dodoma miezi michache ilopita katika kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa kilikuwa ni kumtangaza rais Samia...
  2. JamiiForums Tanzania Chanzo cha mapato cha Samia ni kipi kuweza kutoa hayo mamilioni?

    Naona mkuu wetu wa nchi anatoa mamilioni ya fedha, mara knockout ya mama, mama goli la mama, mara achangie milioni kadhaa mfano juzi katoa kuchangia mili9ni 50 KKKT na si mara moja tunaona akichangia hayo mamilioni. Kiujumla ni jambo zuri kuonesha hamasa ya kuunga mkono, sasa je kipato chake ni...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Naomba niwaulize Polisi: Hivi nikisema siku nikimkamata mtu anataka kumdhuru Rais Samia, kichwa chake halali yangu; nitakamatwa nihojiwe?

    Kuna wakati huwa najiuliza namna akili ya Polisi wetu wa Tanzania inavyofanya kazi nashindwa kabisa kuwaelewa. Nikisema siku nikimkamata mtu anataka kumdhuru Raisi Samia kichwa chake halali yangu; nitakamatwa nihojiwe kwa kumtishia mtu atakaemdhuru Samia? Kwa nini unikamate kwa kutoa kauli...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, inatosha waamuru wahusika wafungue mtandao wa X (Tweeter)

    Inatosha, nadhani hawa wanakuharibia historia yako ya baada ya kutoka madarakani. Inatosha. Fungua kila kitu...Lisu, X, na mengine mengi yaliyowekwa kwenye mikono ya shetani. Hakuna madhara kwako wakipost wanachotaka kupost. Ni mambo ya kupita katika siasa Hayapendezi
  5. E

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aongoza kikao cha Baraza la Mawaziri cha mwisho kwa Awamu ya Sita

    Rais Samia Suluhu Hassan leo Julai 14, ameongoza kikao cha mwisho cha Baraza la Mawaziri cha Serikali ya Awamu ya Sita kilichofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma. Kikao hicho kimehudhuriwa na Makamu wa Rais Dk Philip Isdor Mpango, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim...
  6. K

    JamiiForums Tanzania NAOMBA MNIWEKEE GAWIO LANGU LA SAMIA INFRASTRUCTURE BOND

    Naomba mniwekee gawio langu. Mimi niliwekeza nikiwa na malengo yangu. Kunicheleweshea gawio langu linakwamiswha mambo yangu ya msingi. Utaratibu ulikuwa ni kuwa gawio lainawekwa kila baada ya miezi mitatu.
  7. JamiiForums Tanzania Katuni hii ya Samia na Polepole inakupa picha gani ?

  8. JamiiForums Tanzania Je ikitokea hii first eleven inaingia uwanjani, Samia atatoboa?

    Kikosi kiwe namna hii. 1. Dr Philip Mpango 2. Simbachawene 3. Mpina 4. Sugu 5. Job Ndugai 6. Dr Bashiru Alli 7. Halima Mdee 8. Josephat Gwajima 9. Kassim Majaliwa 10 Freeman Mbowe 11. Humphrey Polepole Coach Sinde Warioba Supersubs 1. Boniyai 2. Kigwangwala 3. Gambo 4. Kabudi Paramagamba 5...
  9. JamiiForums Tanzania Kama Kada Mwandamizi na Mwanadiplomasia nguli anaweza kumkosoa boss wake hadharani hivi, basi Rais amezungukwa na genge hatari sana la kisiasa

    Alianza yule spika wa mjengoni (Job) wengine wakadhani ni mzaha, sasa amekuja mzee-kijana wa Cuba (Mr. Slow) akapita mule mule. Wote hawakujali nafasi zao kisiasa wala ukubwa wa bosi wao, wameshusha mashambulizi mazito mnoo dhidi ya mama yetu mpendwa wakisema utawala wake umekosa mwelekeo na...
  10. JamiiForums Tanzania Waziri Kombo amwakilisha Rais Samia Mkutano wa AU - Malabo

    Waziri Kombo amwakilisha Rais Samia Mkutano wa AU - Malabo Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), amemwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa Saba (7) wa Uratibu kati ya Umoja...
  11. JamiiForums Tanzania Rais Samia na Jeshi la Polisi, hawataki Waumini wa Ufufuo na Uzima wamwabudu Mungu, Hata Leo ,Walituma Askari Polisi kwenda Kuzuia Ibada ya Waumini

    Video hii hapa Wakuu !. https://youtu.be/zwQUrn544As?si=5x4Ui0D4tQBilTOt
  12. JamiiForums Tanzania Samia kumfutia hadhi ya ubalozi Polepole kama ilivyokuwa kwa Slaa?

    Simu ni nyingi sana kwa vigogo wa CCM kwenda kwa mama. Wengi wanamtaka afanye suala hilo haraka sana ndani ya saa 72. Lakini Polepole hana habari na hadhi hiyo wakati anarudi Iringa kulima alizeti.
  13. JamiiForums Tanzania Adui wa Samia siyo Lissu wala Chadema.

    Nalizungumza suala hili kwa mara nyingine tena, niliwahi kulisema hili miaka 3 nyuma. Adui wa Samia na CCM yake kwa ujumla siyo Lissu wala Chadema bali ni wanachama wa chama cha Mapinduzi wenyewe. Kinachotokea sasa ni mwangwi wa mshindo mkubwa ambao umeshatolewa. Chama cha Mapinduzi kinaishia...
  14. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Vyombo vya Dola, Mna uhakika Samia hatoendelea kuwaingiza kwenye mtego wa matumizi ya Nguvu na Uvunjifu wa Haki za Raia?

    Hili Swali nililiuliza Punde tu Samia alipojiteua kua Mgombea !!. ( Unajua Mtego anaowaingiza Samia, utawafanya Vyombo Dola mnuke Damu za watu, matokeo yake mtajikuta mko Blackmailed, in turn mtajikuta nanyinyi mmeamua kutumia Mbinu za Uovu ili kuendelea kubakia Madarakani, mkiogopa kuchukuliwa...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Kulelekea Uchaguzi, natamani Samia abakie peke yake na familia yake, wengine wote wamtenge na ashindwe kwa kila kitu

    Kwanza ifahamike sielewi amefanya nini na anatupeleka wapi, mi naona anatupeleka kwenye kumfunga kila anayempinga namna anavyoendesha nchi yetu! Itakuwa furaha kuu siku moja mgombea wa ccm kuanguka na kushindwa vibaya Natamani mgombea wa CCM ashindwe na atengwe na kila mtu ili abakie peke...
  16. JamiiForums Tanzania Huu wimbo umfikie Raisi Samia sikiliza hadi mwisho Kuna watu walimwona Kabla.

    GT Sanaa ilikuwa zamani siyo sasa wanashindana kutingisha makalio tu hawana ubunivu wowote. Kwa wimbo huu nadhani Prof J alimwona Samia ndotoni anakuja yanayotendeka sasa ni yaleyale 100% kwenye wimbo huu. Kiufupi watawala kuanzia awamu ya tano hadi sasa wana dhambi nyingi sana japo...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Access Group: Rais Samia mwanamke mwenye nguvu zaidi Africa

    RAIS SAMIA ATUNUKIWA TUZO YA WANAWAKE WENYE NGUVU AFRIKA Rais Samia apokea tuzo maalumu ya wanawake 100 wenye nguvu kutoka kwa Access Bank Group. Tuzo hiyo imewasilishwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Access Tanzania Protase Ishengoma ikulu, Dar es Salaam. Tuzo hiyo imetambua mchango wa mageuzi ya...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Kassimu Majaliwa Amuwakilisha Rais Samia Katika Kuwekwa Wakifu na Kuingizwa kazini kwa Askofu Mteule wa KKKT Dayosisi Ya Mwanga.

    Ndugu zangu Watanzania, Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Kassimu Majaliwa,Leo hii Tarehe 13 Amemuwailisha Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Katika kuwekwa Wakifu na Kuingizwa kazini kwa Askofu...
  19. JamiiForums Tanzania Sasa nimeelewa kwa nini lilipelekwa Jina Moja la Samia

    Nilikuwa najiuliza Pamoja na; Mabango yote nchi nzima Fedha zote za miradi zimetoka kwa mama Machawa kila kona ya nchi Maendeleo yote haya mpaka tumezishinda nchi za Ulaya Kulikuwa na haja gani ya kupeleka jina moja? Kwa nini wengine wasingeruhusiwa ili wamchangamshe kidogo kisha apige 99%...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Mwaka 2020 kwenye Kila Vizazi hai Vya Mifugo 100 Mifugo 27 ilikufa Mwaka 2024 Vifo Vimepungua hadi Mifugo 12 tu,Tunamtaka Samia Tena.

    SASA, KATIKA KILA VIZAZI HAI VYA MIFUGO 100 MIFUGO 12 TU HUFA KUTOKA MIFUGO 27 MWAKA 2020 KUTOKA NA SABABU MBALIMBALI. Rais Samia amepunguza kwa 225% Vifo vya Mifugo vitokanavyo na magonjwa mbalimbali Kwa kuanzisha mipango ya kutoa ruzuku ya mbegu na madawa(chanjo) Kwa Wakulima | Wafugaji...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…