samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polepole yuko sahihi kuhusu utaratibu CCM kukiukwa; Ilani ya uchaguzi ya CCM iko wapi, na ikiletwa Samia ataisimamia kwa kipindi kimoja tu akiwa rais?

    Nimetafakari kuhusu kauli za Polepole akihojiana na Generali Ulimwengu, na kuona Polepole yuko right kabisa. Kimsingi, Samia hakupaswa kabisa kuwa sehemu ya uchaguzi huu unaokuja kama mgombea uraisi. Raisi Samia (nasikia kwa ushauri wa JMK) alilazimisha awamu hii iitwe awamu ya sita ili...
  2. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia kuongeza mitaji kwa wavuvi mara 50 zaidi, Geita

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, omeongeza mara 50 mitaji ya wavuvi mkoani Geita ikiwa ni ongezeko jipya la Shilingi milioni 770 Rais Samia katika kuendelea kuimarisha sekta ya uvuvi nchini, ameongeza mitaji kwa wafugaji wa samaki mkoani Geita kutoka Shilingi...
  3. JamiiForums Tanzania Hakuna mtu mwenye mapenzi na rais Samia kama mimi Ponjoro wa Kinondoni

    Mimi nampenda sana Rais wangu, sidhani kama kuna mtu ananifikia kwa kumpenda. Namshauri afanye mambo haya mawili tutamkumbuka daima. 1. Akubali kufanya reforms kabla ya uchaguzi na ahakikishe ni reforms zitakazofanya tume iwe huru kwelikweli. 2. Asigombee tena maana huku kwa wananchi...
  4. JamiiForums Tanzania Rais Samia alikosea sana kumpeleka Cuba ndugu Humphrey Polepole

    Kama umesomea Cuba na ukafanikiwa kupata angalau D 2, utafahamu kuwa mjamaa yeyote akifika Cuba (ardhi ya mwanamapinduzi mjamaa hayati Fidel Castro) lazima apate vibe la kimapinduzi na lazima atakuzingua tu kama unaendekeza ubepari. Ndio haswa kilicho tokea. Polepole amenipa sababu nyingine ya...
  5. JamiiForums Tanzania Simile motokari yangu Samia

    Kwa wale wakongwe tulisoma shule ya msingi vile vitabu vya Someni kwa Furaha tunakumbuka. Kuna ile hadithi mtoto anamwambia mwenzake simile motokaa yangu. Anamtahadharisha asimuharibie kigari chake cha kuchezea. Nalinganisha hiyo na namna Samia anakuja kuiondoa CCM kwenye madaraka. Wale wenye...
  6. JamiiForums Tanzania Kinachoendelea sasa hivi ndani ya CCM, kisitushangaze kabisa kwa sababu tulishaonyeshwa dalili zake mapema

    Kiongozi yeyote anayedogosha msahafu wa kazi yake ya uongozi, anaibua maswali mazito sana. Kinachoendelea sasa hivi ndani ya CCM, kisitushangaze kabisa kwa sababu tulishaonyeshwa dalili zake mapema. Rais Samia alipoiita katiba kuwa ni kijitabu tu, alikuwa anatuambia ni jinsi gani kwake, sheria...
  7. E

    JamiiForums Tanzania Reforms hamtaki mnasema twende hivo hivo,,,mbona Samia hamtaki agombe hivohivo na uharamu wake?

    Samia kavunja kanuni mnahaha mchakato urudiwe,,, sasa mbona sheria za uchaguzi hamtaki zirekebishwe ndo uchaguzi ufanyike!? Wanafiki wakubwa kumbe hamna utaifa bali mnapambania maslahi yenu.!!
  8. K

    JamiiForums Tanzania Makosa mawili ya rais Samia yanayotugharimu

    Mara 4R, Mara mardhiano....... haya yote ameshidwa na vigogo ndani ya CCM https://youtu.be/Ku52ZOjs0oQ?si=N3mmmLL4TrSqjbhQ
  9. JamiiForums Tanzania Samia mrudishe Khery James kwenye Chama, atakusaidia kipindi hiki

    Moja ya kitu ambacho kinahitajika kwenye kufanikiwa kwa kila taasisi ni kumuweka mtu anapostahiki, kumpa mtu sifa anayostahiki lakini kumpa majukumu mtu anayostahiki zaidi eneo alilobora zaidi. Tumekuwa na tabia ya kumpa mtu nafasi kulingana na ukaribu wetu na sio ubora wake kwenye jukumu...
  10. JamiiForums Tanzania Ndugu zangu wa Yanga tuhakikishe mama yetu kipenzi Samia Suluhu Hassan anashinda kwa Kishindo ili Yanga izidi kuwa tishio

    Nimetafakari sana nimeona kwa maslahi ya Yanga, bora nimuunge mkono mama Samia Suluhu Hassan ili kuendeleza wimbi la mateso kwa watani wetu. Wana Yanga kipindi mnafanya maamuzi fikirieni timu yenu. #NOREFORMS_NO_ELECTION Asante.
  11. JamiiForums Tanzania Nimesikia wana CCM Samia na kikwete wamevunja katika ya nchi na chama alafu wamejificha kwenye kichaka cha kuilinda

    Nimesikia wana CCM Samia na kikwete wamevunja katiba ya nchi na chama alafu wamejificha kwenye kichaka cha kuilinda. Nilimsikia samia anasema katiba ni kajitabu tu baada ya kupata madaraka kupitia katiba hiyo hiyo. Ni wazi katiba haina maana tena hapana tunaitaji mabadiliko. Tunahitaji...
  12. JamiiForums Tanzania Samia alishasema Katiba ni Kijitabu tu. Msitegemee Jipya toka kwake

    Hayo ni maneno yake muda fulani huko nyuma. Na sasa anafanya kwa vitendo. Anazarau hadi katiba ya CCM anaio ni kakijitabu tu. Iwapo atashinda tena urais, asiapishwe kwa kutumia hako kakijitabu.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Julai 31, Rais Samia kuzindua bandari kavu ya Kwala, malori kuingia mjini sasa basi

    Mkuu wa mkoa wa Pwani bwana Abubakar Kunenge kwenye mkutano na waandishi wa habari amebainisha kuwa mnamo tarehe 31 July Rais Samia atawaongoza watanzania kuzindua mradi mwingine wa kimkakati wa bandari kavu ya Kwala. Mradi huo ni wa aina yake kwani unatarajiwa kupunguza foleni jijini Dares...
  14. JamiiForums Tanzania Je, Samia Alichaguliwa kwa Kura za Maoni Kugombea Awamu Hii?

    Ni muhimu kufahamu kwamba Rais Samia Suluhu Hassan hakuingia madarakani kwa kuchaguliwa kupitia uchaguzi mkuu, bali alirithi madaraka baada ya kifo cha Rais John Pombe Magufuli mwaka 2021, ili kumalizia kipindi cha awamu ya tano ya uongozi. Hadi sasa, bado tupo katika awamu ya tano. Awamu ya...
  15. H

    JamiiForums Tanzania SAMIA: Aliyepitia Njia Haramu, Haiwezekani Awe Halali

    Kwa kipimo chochote kitakachotumika, huyu ni mgombea haramu kwa mujibu wa katiba ya chama chake kwa sababu uteuzi wake ulifanywa na wahuni waliopangwa ndani ya chama. Huyu ni mgombea haramu kwa katiba ya nchi inayotamka wazi kuwa wagombea wa nafasi ya Urais watateuliwa na vyama vyao baada ya...
  16. JamiiForums Tanzania Wanasiasa, hiyo Samia scholarship kwanini mnaitoa kwa wanafunzi waliosoma masomo ya Science?.

    Ukiswasikiliza wanasiasa wetu unagundua uwezo wa kuwaza mambo ni mdogo sana . Ikiwa mmeamua kutoa Scholarship kwanini mnatoa kwa wanafunzi waliosoma masomo ya science tu ? Ebu tuwe serious wakuu kwakuwa mambo mengine yanafikirisha Sana . na ni ubaguzi usio na sababu . Acheni siasa katika...
  17. M

    JamiiForums Tanzania ARUSHA YA KENANI Sekta ya Afya Yaimarika Chini ya Rais Samia

    Chini ya Rais Samia Upatikanaji wa dawa, vifaa tiba na vitendanishi Mkoani Arusha wafikia asilimia 93. Rekodi za Kitaifa zinaonesha kuwa Tanzania imeongeza MRI kutoka 7 hadi 13, CT scan kutoka 13 hadi 45, Digital X-Ray kutoka 147 hadi 491 na Ultrasound kutoka 476 hadi 970. Hata hivyo Mkoa wa...
  18. H

    JamiiForums Tanzania GE2025 Watu Wasitengeneze Videos! Ukweli Ni Huu - Samia Alipogoma Kutoka ukumbini

    Hii ni tofauti na mtangulizi wake alivyofanya, licha ya kutolewa fomu moja tu kwaajili ta mgombea wa Urais.
  19. JamiiForums Tanzania Dear Mama, See you later!

    Ukweli mchungu kwa Wana CCM Kwanini Samia anachukiwa Sana na wanachi masikini, Na wenye kipato Cha Kati? Ambao population yao ni zaidi ya milioni 60 nchini? Wastani wa wapiga kura 30milion. Sababu ni kwamba Samia baada ya kuingia madarakani alitaka kutumika na watu fulani fulani na sio umma...
  20. JamiiForums Tanzania GE2025 Upo uwezekano wa kuwa na mgogoro wa muungano iwapo lolote likitokea Rais samia asipo kuwa mgombea na Rais 2025

    Kumekuwepo na mjadala kwa muda mrefu dhidi ya muungano wetu Tanganyika na Zanzibar . Hivi karibuni ukiacha malalamiko ya upande wa Tanganyika kumekuwa na utulivu mkubwa. Sababu kuu ni kwa vile Rais wa jamhuri ni mzanzibar na ikumbukwe Zanzibar ndio ina ruhusa ya kupiga kura ya maoni ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…