samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ramaphosa sends condolences as Tanzania’s Hassan makes surprise Harare trip to mourn Chivayo

    South African President Cyril Ramaphosa has joined regional leaders in mourning Zimbabwean businessman Wicknell Chivayo, sending a condolence message to President Emmerson Mnangagwa as Tanzania’s President Samia Suluhu Hassan made a brief and closely guarded visit to Harare to pay her respects...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Bila Rais Samia Kuingia Madarakani Vijana wengi sana wangeacha kwenda vyuo Vikuu na wengine Wangekuwa wanaishia kidato cha 4 Tu. Tunamshukuru Mama

    Ndugu zangu Watanzania, Ni ukweli ulio wazi kabisa kuwa Rais Samia ametoa ajira nyingi sana katika historia ya Taifa letu ndani ya kipindi kifupi cha Uongozi wake. Ni ukweli ulio wa wazi kabisa Kuwa Rais wetu Mpendwa kainua Matumaini ya vijana wengi sana kupenda shule na kuendelea na masomo...
  3. JamiiForums Tanzania Rais Dkt Samia aendelea kuvunja rekodi

    Rais Dkt Samia aendelea kuvunja rekodi ✅️Benki ya Dunia Yaeleza kuhusu mapato. ✅️BOT ikibainisha kununua dhahabu nyingi. ✅️Utendaji wa bandari.
  4. Q

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mauaji ya 29/10 yamebadilisha sana maisha ya Samia sio yule wa 2024

    Samia alikuwa mcheshi mtu wa watu, mtu wa kuonekana hadharani mara kwa mara. Alikuwa ni mtu wa safari za ndani na za nje, Oman Dubai ilikuwa sebleni kwake, alizunguka mikoani kutembelea na kuwasalimia wananchi. Alipenda mikutano, alionekana akizunguka kukagua na kuzindua miradi hadi CHADEMA na...
  5. JamiiForums Tanzania Rais Samia Aenda Kumuaga Chivayo, Safari ilipangwa kwa usiri mkubwa

    Vyanzo mbalimbali kutoka Zimbabwe ikiwemo kutoka kwa muandishi mkubwa nchini humo Hopewell Chin'ono @daddyhope2 vinaripoti kuwa; Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ambaye leo alisafiri kwenda Zimbabwe kutoa heshima zake za mwisho nyumbani kwa marehemu Wicknell Chivayo, sasa yuko njiani...
  6. JamiiForums Tanzania SAMIA ATINGA ZIMBABWE KUHANI MSIBA WA RAFIKI YAKE Wicknell Chivayo

    Tanzanian President Samia Suluhu Hassan and her delegation have arrived at Wicknell Chivayo’s home to pay their last respects. Cameras and mobile phones are not allowed, and there is a complete media blackout, according to state security agents at the residence.
  7. JamiiForums Tanzania Hivi kwa nini serikali yetu pale wananchi wakijiwekea biashara shughuli au uchimbaji mnaingilia na kusingizia muwekezaji.

    Wakati wananchi wanajitafuta mfano wameona hapa wafanye biashara zao au mambo mengine na ilo eneo cha kushangaza wala serikali ijahusika. Baada ya mda unaona serikali imeingilia ilo eneo na kuanza kupangia watu,kufukuza watu kwa kisingizio cha muwekezaji. Leo hata mkianzisha sehemu ambapo...
  8. JamiiForums Tanzania Rais Samia Afungua Mkutano Mkuu wa IPU Arusha

    Salamu za Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika ufunguzi wa Mkutano wa 153 wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) jana tarehe 5 Oktoba 2026 katika kituo cha Kimataifa cha Mikutano Arusha (AICC).
  9. K

    JamiiForums Tanzania Angalizo: Mama Samia asipomuomba msamaha Lissu hatamaliza muhula wake!

    Angalio Mama Samia asiko omba msamaha kwa Lissu hatamaliza muhula wake! Naombeni save hii na mtakuja kuniambia. Itakuwa kama Magufuli asikofanya hivyo haya ni maono yangu. Kama wewe ni mbishi puuza lakini tulisema kabla Magu naye hajawa hayati. Poleni CCM inakuja
  10. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kwenda msibani Zimbambwe ameandika Askofu Emaus Mwamakula

    SAMIA KUHANI MSIBA WA CHIVAYO KESHO? Hopewell Chin'ono wa Zimbabwe ameandika katika ukurasa wake wa Facebook akidai kuwa vyanzo vyake vya taarifa vinasema kuwa Rais wa Tanzania, Samia Suluhu anatarajia kuruka kesho kwenda Zimbabwe kuhani msiba wa Wickenell Chivayo aliyeuawa katika ajali ya...
  11. JamiiForums Tanzania Kwani Korona imerudi? Samia ahutubia Bunge la IPU Arusha kwa njia ya Video🤣🤣

    Samia Suluhu Hassan ameutaka Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), kuimarisha nafasi ya mabunge katika kushughulikia changamoto za dunia, akisema mvutano wa kisiasa na kijiografia, migogoro na kutokuwa na uhakika kiuchumi vinazidi kuhitaji ushirikiano wa kimataifa. Ujumbe huo wa Samia ameutoa usiku...
  12. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, alivyowasili kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC) ambapo amemwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, alivyowasili kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC) ambapo amemwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika ufunguzi wa Mkutano wa 153 wa Umoja wa Mabunge Duniani IPU. Mkutano huo unaofanyika leo Oktoba 5, 2026 jijini Arusha...
  13. JamiiForums Tanzania Niitieni Samia aje na makonda

    Msikiti wa bilioni ngapi vile Haya ndio maisha ya watanzania walio wengi Vipaumbele ni kujenga misikiti na makanisa Hawa watasali na kuswali sangapi ?wakati hawana hata uhakika wa kulala?? Shame on you
  14. Q

    JamiiForums Tanzania Samia hajaonekana kwenye ufunguzi wa mkutano wa 153 wa IPU jijini Arusha

    Mkutano wa 153 wa Umoja wa Mabunge duniani, Inter-Parliamentary Union (IPU) umeanza kwenye ukumbi wa AICC Arusha, hadi juzi TBC walikuwa wanatangaza kuwa utafunguliwa na Samia, mbona Ikulu na TBC wamekuwa waongo?
  15. M

    JamiiForums Tanzania Je Samia kutawala kama Mojtaba

    Kuna namna mambo hayako sawa, au kakikundi kadogo ndio kanashika nchi kama Iran
  16. JamiiForums Tanzania Chivayo Death: From ‘Faked Death’ Claims to Prophecies and Political Theories

    The death of Zimbabwean businessman Wicknell Chivayo and his wife, Lucy Muteke, in a helicopter crash has sparked a wave of conspiracy theories online, with some social media users questioning whether the businessman is actually dead, while others suspect political foul play or believe the...
  17. JamiiForums Tanzania Mbunge ataka Wanaompinga Samia CCM Washughulikiwe

    Ataka Dotto Magari aachiwe kazi ya kumsafisha Samia Kenya. https://youtube.com/shorts/ON_WpZu8iGA?si=GzigTRdyde9LV3_4
  18. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan je ndio kiongozi anayependwa kuliko wanasiasa, viongozi na marais wote waliowahi kuwepo Tanzania tangu tupate uhuru?

    Hapa jukwaani naona sifa zake zimejaa na kusheheni, kuanzia asubuhi hadi usiku, kina Lucas Mwashambwa, Tlaatlaah , kavulata, Pascal Mayalla , ChoiceVariable na CHAWA wengine wengi kutwa kumsia. Je hizo sifa ni halisi na wanamaanisha au wanafanya kumpamba ili wapate ugali wao wa kila siku...
  19. JamiiForums Tanzania Serikali ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ipo kazini hamna kupoa

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…