samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    GE2025 Tetesi za ndani: Ndani ya saa chache zijazo, INEC wanataka kumtangaza Samia kuwa Mshindi

    Chanzo cha uhakika kinadokeza kuwa mkakati uliopo ni kumtangaza haraka na kumpa hati ya Ushindi Samia Suluhu usiku huu kama Mshindi halali wa “uchaguzi” uliofanyika juzi. Wanachotaka, ni aapishwe mapema iwezekanavyo kisha ‘Kina Mzee Butiko’ waongoze the so called “Maridhiano”
  2. Samia akikamatwa kama asipomaliza ashtakiwe kwa kosa la kuihujumu Jamhuri ya Muungano ktk Mahakama ya Kijeshi

    Ukiwa kiongozi wa Nchi kosa kubwa zaidi unaloweza kulifanya ni kuingiza askari wa kigeni kuua raia wako. Kosa alilolifanya samia kuchukua askari wa Uganda kuua watanzania ili abaki madarakani ni kosa kubwa zaidi kuwahi kufanywa na kiongozi yeyote yule. Askari hao wa Uganda wanatumia facilities...
  3. Chanzo kutoka UN: Samia yupo mpaka wa Tanzania na Uganda. Jeshi malizeni kazi, mkamateni mkabidhini kwa Wahaya wamalize kazi

    Inaelezwa kuamkia jana Samia alikimbilia Uganda na kuhifadhiwa kwa Museveni. Chanzo kutoka UN kimedai amehifadhiwa mpakani mwa Uganda na Tanzania. Wazalendo wetu mliotukuka JWTZ tunaomba kikamateni hicho kikaragosi na mkikabidhi kwa Wahaya wakishughulikie kwa damu alizomwaga za kina Mdude...
  4. M

    KUMBUKIZI: Ushauri alioutoa Humphrey Polepole kwa Samia ukapuuzwa

    Hebu tujikumbushe:
  5. GE2025 Uchaguzi haukuwa huru na wa haki. Nchi itawaka moto hii Samia akitangazwa, hatutokubali

    Uchaguzi haukuwa huru na wa haki nchi itawaka moto hii samia akitangazwa hatutokubali
  6. Hawa Wakenya, Wana nini na Tanzania?! Wanatutukania Rais Wetu kuwa She Was Nobody na Kumuita Dikiteta Iddi Amini Mama!, Tusikubali na Tusiwanyamazie!

    Wanabodi Hebu msikilizeni huyu jamaa, Mkenya anaitwa Rodgers Kaka Sungura https://youtu.be/FFVNsTEI690?si=g-1g15frbAOn6yYz Anatema uongo kumhusu Rais Samia, Anamtukana na kumuita Dikteta Iddi Amini Mama, amemtukana Rais wake Ruto kuwa ni Dikiteta Iddi Amini Baba, na kusema Uganda kulikuwa na...
  7. GE2025 Yuko wapi mwamba Samia kwa sasa?

    Kuna machawa nataka kujua walipo wanafanya nini au wamefanywa au watafanywa nini. Na kwanini hawajatembelewa na kutembezewa kichapo? Ni wafuatao: Samuya Sululu Hassami Njaa Kaya Kiwete Abduli toto la mama Wanu Moody Mchengererwa Rizone Kiwete Salma Kiwete Daudi Albert Bashiti Albert Chalamila...
  8. M

    Mtanzania usije ukakubali kupokea hela kutoka barabarani eti unamuunga mkono Samia.

    Hivi vimchezo vya madikteta tunavijua
  9. U

    INEC - Tanzania: Nani kampigia kura Samia Suluhu? Nani kapiga kura? Acheni ujinga huo mara moja wa kutangaza hayo mnayoita "matokeo ya uchaguzi"

    Wenye nchi (wananchi) hawakwenda wala kujitokeza kupiga kura kwa sababu tulisema toka mwanzo NO REFORMS NO ELECTION na mlitubeza na kudharau... Sasa hayo mnayoyaita "matokeo ya kura za udiwani, ubunge na Rais mmeyatoa wapi...? Bado mnaamini kuwa mtaendelea kututawala kwa uongo na udanganyifu...
  10. Mwananchi amjibu Samia: "Nywi Nywi Nywi Hiyo Hapo".

  11. JWTZ msiendekeze mazungumzo na Samia wala CCM. Tume ikimtangaza Jeshi la Uganda linaingia full force kumsaidia kutawala

    Nasema kwa mara ya mwisho. JWTZ msiendeleze mazungumzo na Samia wala CCM. Msikubali Nchimbi ndo awe Rais. Nchi hii haihitaji tena CCM kwa sababu wao ndo wametufikisha hapa. Wananchi hawawataki CCM wote sio Samia tu. Chukueni uongozi wa hii nchi kwa kipindi cha Mpito. Simamieni mchakato wa...
  12. K

    Kosa na Mama Samia ni kupuuza wazee sasa nani atakuongelea! mwenye busara

    Kosa na Mama Samia ni kupuuza wazee sasa nani atakuongelea! mwenye busara. wazee kama Warioba na Kimiti wangeweza kuongea na kunyamazisha vijana lakini dharau na kejeli za viongozi wa CCM na ubinafsi wa Raisi Mstaafu Kikwete sasa nchi haina mtu mmoja wa kuongea na kusikilizwa mwenye busara...
  13. Mange Kimambi: Wasimamizi wa Uchaguzi Walipewa Maelekezo Wamtiki "Samia" Katika Karatasi za Kupigia Kura (Video za Ushahidi Zipo)

    Ameandika Mange Kimambi kwenye mtandao wa Instagram, "Wasimamizi wa uchaguzi walikuwa wanatiki wenyewe na sasa wameaniza kunitumia video walivyokuwa wanatiki. Na kwenye semina walikuwa wanaambiwa kabisa kama kituo chako kina watu 400 lazma urudishe kura 400 za Samia."
  14. GE2025 Usiku wa terehe 29/10/25 ni usiku mzito (Dark Night) kuwahi kutokea hata kama Samia Suluhu Hassan atatangazwa mshindi na kuapishwa rasmi

    Maandamano yemeendelea kusambaa katika baadhi ya miji mbalimbali ya Tanzania Da-es-Salaam ukiwa ni mji wa kwanza kushuhudia maandamano ambayo yamejumuisha uharibufu mkubwa wa mali na majengo. Miji mingine kama Arusha, Mwanza, Morogoro na Mbeya nako kumetokea matukio mbalimbali ya uvunjaji wa...
  15. F

    GE2025 Tanzania mmenifurahisha, Samia aondoke la sivyo akikamatwa atatafunwa kama karanga. Tumechoka na hawa CCM

    Tumechoka na huyu Samia na wapumbavu wenzake, Huyo hana hata ile elimu ndogo ya form IV, amefeli kama walivyofeli police wake wauaji, wafiraji na wabakaji. Leo mmetutambua kuwa enough is enough, ameshaharibu na hatutaishia hapo, serikali ya CCM imetunyanyasa sana.....tumechoka. Niwatahadharisha...
  16. GE2025 Ushauri mfupi na muhimu kwa CCM na Samia

    Nawashauri CCM na Samia kusitisha uchaguzi, kupendekeza iundwe serikali ya mpito ikiongozwa na jaji Warioba, kuwaomba radhi watanzania na kutubia ili mambo yaishe. Mmeshindwa, mmekataliwa na mmeona wenyewe. Shukrani kama mtasikiliza na kuzingatia ushauri huu mfupi na muhimu katika wakati huu...
  17. GE2025 Kikatiba, Utawala wa Samia mwisho wake ni leo. JWTZ chukueni nchi na wakamateni kina Mafwele na wengine wote

    Kikatiba utawala wa Samia umefikia kikomo leo. Baada ya leo anapaswa kuachia kiti cha Urais maana si Rais tena. Kwa namna alivyoivuruga nchi na kuwavuruga Watanzania ikiwemo kuwaua huku akisigina Katiba tunaomba JWTZ mchukue nchi usiku huu wa leo au hadi kesho Pia tunawaomba muwakamate Mafwele...
  18. GE2025 Wito: Tume ya Taifa ya Uchaguzi Ifute Uchafuzi Mkuu, Isiharakishe Kumuapisha Samia

    Inatakiwa ndani ya siku saba baada ya kutangazwa mshindi wa uchaguzi wa Rais aliyetqngazwa kushinda anatakiwa kuapishwa. Baada ya kuvurugika kwa uchaguzi mkuu INEC isiruhusiwe kutangaza matokeo wala kuzamisha kuapisjwa kwa Rais. Wakiamua kulazimisha hawa vijana hawa ..ambao leo wamevunja mwiko...
  19. Samia must go hasitulazimishe, watanzania endeleeni kujitokeza kwa wingi ili kubatilisha huu uchaguzi wa wizi

    Samia must go hasitulazimishe, watanzania endeleeni kujitokeza kwa wingi ili kubatilisha huu uchaguzi wa wizi
  20. GE2025 Mabango ya Samia yachomwa Masenze, safari ya kuelekea Ikulu inatengenezwa

    Wakuu, Kama inavyoonekana kwenye video, ni mwendo wa kuondoka na mabango ya Samuya tu, tunasafisha barabara na kurudisha hadhi yake stahiki. Jiji letu halipaswi kuwa na sura za Samuya hata kidogo kwa udhalimu alioacha uendelee kufanyika nchini. Safisha kila kitu chenye chembe chembe ya Samuya
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…