samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu, fanya haya TRA

    Nakusalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano Tanzania. Kama nilivyosema hapo awali Mama, mimi kama Mtanzania niliyekuwa nimejitoa kumuunga mkono Magufuli kutokana na Sera na ufedhuli wa Awamu ya Tano na ambaye sasa baada ya kuona uelekeo wako mzuri, nimeamua kukuunga mkono, leo hii napenda...
  2. JamiiForums Tanzania Miaka 57 ya Muungano: Rais Samia ielekeze serikali yako ijenge taifa

    Nawasalimu kwa Jina la Jamuhuri ya Muungano. Nikupongeze wewe binafsi Mh.Rias kwa salamu ambayo inaonda matabaka na kuleta umoja ndani ya Jamuhuri ya Muungano. Hongera sana kwa ubunifu huu naamini ni mwanzo tu na mengi yatafuata. Niende moja kwa moja kwenye mada husika, Tumekuwa na awamu tano...
  3. F

    JamiiForums Tanzania Kama Katiba ingeondoa ukomo wa Urais, ingekuwaje kwa awamu hii mpya ya Rais Samia?

    Kulikuwa na mipango na kelele nyingi ya kutaka kuondoa mihula ya Urais wakati wa hayati Magufuli. Ni wazo zuri kwani mambo ya mihula ni bora zaidi kwa nchi za magharibi ambazo zimeendelea. Ktk nchi zetu tumuonapo kiongozi adhimu na wa tofauti hatuna budi kumuongezea muda wake wa kuongoza ili...
  4. C

    JamiiForums Tanzania Ni nani aliyesema Rais Samia karekebisha mambo! Kama ni hivyo basi Taifa tumepoteza dira

    Habari wanaJF, Hoja: Ni either tumekuwa taifa la WANAFIKI zaidi au TUMEPOTEZA DIRA kabisa. Mh Rais hajarekebisha chochote. Nimekuwa nikifuatilia mijadala hasa ktk mitandao ya wanajamii (Twitter, Insta na ktk majukwaa ya CCM) kwamba Mama amefanya vizuri, na kwamba sasa tupo sawa kama Taifa...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Samia atakuwa Rais bora kwa kuwa karuhusu kukosolewa

    Wote tumesikia karuhusu na kiukweli kalazimisha watu waikosoe serikali. Tumeshaona wabunge tena wa CCM wakiwa mbele kuikosoa serikali. Hawa watataka wawazidi CHADEMA na wenzao katika kuikosoa serikali na tayari tumeona wameshaanza. Wapinzani kama CHADEMA na wenzao nao wataendelea kukosoa huku...
  6. JamiiForums Tanzania Wasanii wachapisha T-shirt za kwenda kumuunga mkono Mama Samia April 30, kweli CCM ni Raha

    Nimeona wasanii wamejiongeza kwa kwenda kumuunga mkono mama Samia kupewa uenyekiti wa CCM. Nimependa ubunifu waliofanya, TShirt ni nzuri na zinaonyesha wapo tayari kumuunga mkono mama Samia. Kwa hakika mama Samia anapendwa Sana, hivyo kwa pamoja tumtakie mama Samia uenyekiti mwema kuelekea...
  7. JamiiForums Tanzania Hoja 5 ambazo viongozi wa vyama vya siasa watazungumza na Rais Samia Hassan

    Bila kuchoshana na maneno mengi, naomba niingie kwenye mada moja kwa moja. Kwa maoni yangu, nadhani hoja zifuatazo ndizo zitakuwa ajenda kuu kipindi viongozi wa vyama vya siasa wakikutana na Rais Samia Hassan ikulu ya Chamwino jijini Dodoma, kama Rais mwenyewe alivyoahidi kukutana na wanasiasa...
  8. JamiiForums Tanzania Rais Samia kukubali kukutana CHADEMA ni kuwasaliti Watanzania wazalendo

    Hiki chama cha siasa kinachoitwa Chadema kimejaa wanasiasa wanafiki na wajali matumbo yao. Hawana nia njema na taifa letu. Sio wa kuwakaribisha ikulu kabisa. Kipindi taifa letu linapambana na janga la Korona mwaka jana walitoka bungeni na kutaka tuweke Lockdown. Walikuwa wakipotosha kuwa watu...
  9. JamiiForums Tanzania Rais Samia amekubali ombi la kukutana na Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe

    Katibu Mkuu wa CHADEMA Mh. John Mnyika ametoa taarifa kuwa Rais Samia amekubali ombi la Mh Mbowe kukutana naye katika tarehe itakayopangwa baadaye. https://www.jamiiforums.com/threads/hotuba-ya-mwenyekiti-wa-chadema-freeman-mbowe-aliyoitoa-jana-aprili-11-2021.1858436/ Naomba kuwapa taarifa...
  10. JamiiForums Tanzania Upinzani bila kubadili siasa mtapata hasara kubwa Kwa Samia..

    Hakuna kitu kinaamua siasa kama 'wakati'.. Wanasiasa wazuri ni wale wanaojua nyakati zinavyobadilika na kwenda na wakati uliopo ... Watanzania walikuwa wamechoshwa mno na siasa za Magufuli...na uongozi wake kiujumla.. Kubanwa Uhuru wa kuongea Kufokewa na kukaripiwa Kutoa matamko Kwa ukali...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Naona mwanamke ndio anafaa kuongoza Bunge linaloendana na Rais Samia Suluhu. Tunao Gaudencia Kabaka, Anna Mghwira n.k

    Kiu ya Rais wetu ni kuona Bunge linajadili vitu kwa upana na kwa kuwa bunge chini ya Spika Ndugai anaonekana kuzidiwa lakini anashindwa kusema asaidiwe kwa sababu Mhe. Rais anapenda kuona kuona wanaozidiwa wanaomba kusaidiwa lakini hafanyi hivyo basi kwa niaba yake tunaomba Mhe. Rais msaidie...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CCM mtarajiwa, Mhe. Samia Suluh naomba utumie mamlaka yako ya uenyekiti utakaochaguliwa kuwadhibiti Nape na January

    Hayati Rais Magufuli alikuwa anapenda kutumia kauli"msema kweli ni mpenzi wa Mungu..." akimaanisha vitendo viovu vilivyokuwa vinaendelea na waliopewa madaraka kukaa kimya bila kusema ukweli. Ukiachana na ukweli kwamba kila binadamu ana madhaifu yake ambayo yanamfanya kutokuwa mkamilifu lakini...
  13. JamiiForums Tanzania Rais Samia asije ruhusu mikutano na maandamano vitupotezee mwelekeo

    Ni matumaini yangu tofauti na matarajio ya vyama vya upinzani Samia akikutana nao atatupilia mbali wazo la maridhiano ya kitaifa ya wapinzani. Wao kwa niaba ya mabwana zao wanataka kusimamisha agenda za CCM. CCM ina ridhaa kubwa ya wananchi isije laghaiwa kwa kisingizio cha maridhiano kuacha...
  14. JamiiForums Tanzania Vyama vya siasa mkikutana na Rais Samia mtamwambia nini?

    Sio vema mkazungumze hoja zenu binafsi kama vile nilipigwa, nilivunjwa mkono, biashara yangu ilifungwa, na mambo kama hayo kwa Rais ambae ni mpya na ambae yuko serious kutaka kujaribu kunza ukurasa wake mpya. Kunzia sasa kila chama kirudi kwa wanachama wake wakusanye maoni yao juu ni mambo gani...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Mbatia: Nampongeza Rais Samia kwa ubunifu, salamu za Asalam Aleykum, Bwana Yesu asifiwe na Mwanakondoo zililigawa Taifa

    Mwenyekiti wa Nccr mageuzi amempongeza Rais Samia kwa kubuni salamu mpya ya taifa ya " Nawasalimu kwa Jina la Jamhuri ya muungano wa Tanzania " Mbatia amesema salamu za kidini za asalam aleykum Bwana Yesu asifiwe, Tumsifu Yesu Kristo na Mwanakondoo ameshinda tumfuate zilikuwa zinaligawa taifa...
  16. JamiiForums Tanzania Rais Samia na hotuba ya matarajio kwa Watanzania

    RAIS Samia Suluhu Hassan, amezidi kuonyesha ni kiongozi mwanamageuzi, mtu bora na sahihi aliyeandaliwa kuwa kiongozi madhubuti kwa namna anavyowasilisha hotuba zake, ambazo zimekuwa zikivutiwa watu na kutoa mwelekeo thabiti wa Tanzania bora, ambayo inakwenda kufanikiwa chini yake. Hii...
  17. W

    JamiiForums Tanzania Rais Samia akutana na Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Katibu Mtendaji wa SADC)

    IKULU Dodoma Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa katika mazungumzo na Katibu Mtendaji wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika SADC Dkt. Stergomena Lawrence Tax mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dodoma leo tarehe 23 Aprili, 2021
  18. JamiiForums Tanzania Mji mdogo wa Himo usipopewa hadhi ya Halmashauri chini ya Rais Samia wananchi watamkumbuka sana Hayati Magufuli

    Kupitia mgombea wa ubunge wa Vunjo Dkt. Charles Kimei aliahidi kuishawishi serikali iweze kuufanya mji mdogo wa Himo kuwa halmashauri ili kupanua mji huo unaokuwa kwa kasi na pia itafanya maendeleo kuja kwa haraka sana sababu baadhi ya huduma wananchi wanalazimika kwenda mpaka Moshi (manispaa)...
  19. JamiiForums Tanzania Mchoraji wa picha hii ya Raisi Samia Suluhu Hassan apewe alama ngapi?

    Kati ya 100% unampa ngapi? Source: Global-Publishers Instagram.
  20. JamiiForums Tanzania Malisa GJ: Rais Samia anawakaanga MATAGA

    Dig Deeper-Hotuba ya Mama Na Malisa GJ Kimsingi mama anaisuka Tanzania mpya, lakini hataki sindano iwaume sana wale chawa wa mwendazake, hivyo anachoma halafu anawapuliza kwa kuwaambia kuwa yeye na mwendazake ni kitu kimoja. Wakishangilia anaongeza sindano nyingine. Wakishtuka anapuliza tena...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…